Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Status
Not open for further replies.
...

(Deuteronomy 17:12 NLT)



(Exodus 22:17 NAB)



(Leviticus 20:13 NAB)



(Leviticus 20:27 NAB)



(Exodus 21:15 NAB)



(Leviticus 20:9 NLT)



(Leviticus 20:10 NLT)



(Leviticus 21:9 NAB)



(Exodus 22:19 NAB)



(2 Chronicles 15:12-13 NAB)
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza

 

2.27 Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato.

2.28 Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.

 
Tuwe na busara na kufikiri kabla ya kufata mkumbo hasa sisi vijana katika matendo tunayo fanya tusijiingize kwenye vurungu zisizo na misingi yoyote-
 
Wavaa makubaz washakua matatizo duniani kote. Wanapenda shari kuliko hata............
 
hapana kaka tz misconception,verily mtume wetu Mohammadi rehma na amani ziwe juu yake hakufundisha kudharau dini nyingine,na kwa kweli ni makosa kwa muislam kumvamia mtu tu na kumpiga!

how about judaism and jews in general
 
Death for Adultery
If a man commits adultery with another man's wife, both the man and the woman must be put to death. (Leviticus 20:10 NLT)
8.3 Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati.
8.4 Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.
8.5 Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?
8.6 Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi.
8.7 Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.
8.8 Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.
8.9 Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.
8.10 Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?
8.11 Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.]
 
Aaah! Eti mtawa yaan hawa jamaa kwa kujipa promo tu, nyie jiongopeeni kwa majina mazuri ya kujipa wenyewe ila mwisho wa siku motoni, eti sister wakati wengi wao mabibi.
 
Anayejiuliza kwamba Nyerere aliwezaje kuudhibiti udini jibu lake ni kwamba,Nyerere aliweza kuudhibiti udini kwakuifanya dini moja kuwa ni bora zaidi kuliko nyingine kati ya dini kuu mbili zilizopo Tanzania.Alifanikiwa kiasi kikubwa sana kuwakandamiza waislamu na kuandaa mazingira ya kuwapotezea haki ya elimu ili kuwatawala vizuri, mfumo ambao unaendelea hadi leo na ndicho ambacho Sheikh Ponda na wanaharakati wengine wakiislamu wanakipinga, lakini walioachiwa mfumo wa Nyerere wanawabambikizia majina machafu wanaharakati hawa kama kuwaita wachochezi, magaidi na kadhalika.Hivi ndivyo Nyerere alivyofanikiwa kudhibiti udini.

Kama Nyerere alikuwa kikwazo kwenye elimu kwenu basi ameshakufa tuone basi mnabadilika maana mnalalamika midomoni lakini maisha yenu na matendo yenu ya kila siku yanaonesha hamuipendi kabisa ilmu ya makafiri.......yani ata mwaka keshokutwa mtaendelea kumlaumu marehemu kuwa ndio anawakwamisha maendeleo yenu wakati alishajifia zake,,ivi ushawahi kujiuliza uko shuleni ulimopita kina nani walikuwa wanafanya vizuri darasani kama sio watoto wa kikristo je walikuwa wanapendelewa na walimu??sasa unashangaa nini ukuwaona baadae wako wengi kwenye system ya elimu!!!elimu ni misingi bila misingi utalaumu watu mpaka mwisho wa dunia na utabaki hapo hapo ata Ponda akiwa rais,,,,,na hapo Nyerere kosa lake ni kuwa mkatoliki sijui angekuwa ameongeza na uchaga ingekuwaje.,,yani uyu Nyerere aliwapeleka hadi kwa lazma mashuleni mkaficha watoto zenu eti watabatizwa na maeneo ya kusini lindi mtwara na pwani walipokuwa awafikishi passmark tokana na IQ ndogo aliwashushia alama za ufaulu ili nao waione shule bado mnatakaga nyie mbebwe kama yatima vilema au wanawake viti maalumu watu wa ajabu san nyie..
 
Kama Nyerere alikuwa kikwazo kwenye elimu kwenu basi ameshakufa tuone basi mnabadilika maana mnalalamika midomoni lakini maisha yenu na matendo yenu ya kila siku yanaonesha hamuipendi kabisa ilmu ya makafiri.......yani ata mwaka keshokutwa mtaendelea kumlaumu marehemu kuwa ndio anawakwamisha maendeleo yenu wakati alishajifia zake,,ivi ushawahi kujiuliza uko shuleni ulimopita kina nani walikuwa wanafanya vizuri darasani kama sio watoto wa kikristo je walikuwa wanapendelewa na walimu??sasa unashangaa nini ukuwaona baadae wako wengi kwenye system ya elimu!!!elimu ni misingi bila misingi utalaumu watu mpaka mwisho wa dunia na utabaki hapo hapo ata Ponda akiwa rais,,,,,na hapo Nyerere kosa lake ni kuwa mkatoliki sijui angekuwa ameongeza na uchaga ingekuwaje.,,yani uyu Nyerere aliwapeleka hadi kwa lazma mashuleni mkaficha watoto zenu eti watabatizwa na maeneo ya kusini lindi mtwara na pwani walipokuwa awafikishi passmark tokana na IQ ndogo aliwashushia alama za ufaulu ili nao waione shule bado mnatakaga nyie mbebwe kama yatima vilema au wanawake viti maalumu watu wa ajabu san nyie..

Hata kama nyerere kafa tatizo 'system' a.k.a mfumo kristo.
 
Wana lao jambo!... Sasa siwangempiga mbwa badala ya kumshambulia mtumishi wa kanisa?
 
Ifike mahala watu washenzi wanaochochea udini wapigwe risasi au wanyongwe..bila kubagua ni dini gani...! Watu wananyamaza wengine wana roho za mashetani wanafurahia wenzao kushambuliwa?

Kunatofauti kubwa sana kati ya "MUNGU" na "mungu". Sisi wakristo tunamwamini MUNGU na kwenye biblia kuna neno "MUNGU" hakuna neno "mungu". MUNGU wetu tunaye muamini haruhusu mambo kama hayo. Ukiona watu wanaamini majini...inabidi utafakari marambili kuwa wamejazwa roho zipi. Maana sisi Kwa jina la YESU majini na mapepo yanayo wasumbua watu tunayaseta kuzimu.
 
8.3 waandishi na mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati.
8.4 wakamwambia, mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.
8.5 basi katika torati, musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?
8.6 nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi.
8.7 nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.
8.8 akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.
8.9 nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.
8.10 yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?
8.11 akamwambia, hakuna, bwana. Yesu akamwambia, wala mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.]

ameeeeeen.....................................
 
Chanzo ni mbwa wa masista kumng'ata kuku wa majirani. Ndipo kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawala na kumuumiza. punde nitawawekea picha. Ni tukio la kusikitisha sana.

Bwana Manyerere utuwekee hizo picha sio unasema tu soon naleta picha halafu huleti kitu hii sio sehemu ya udaku tunaomba uwe serious utupe habari
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom