Nafikiria kuihama Tanzania kwenda mbali zaidi kutafuta Maisha mazuri kupitia fani yangu ya ufundi tiles.

M_tiler

Member
Dec 6, 2016
12
18
Habari za majukumu wanajukwaa?

Naimani Mwaka huu umeanza vizuri na matarajio yangu kwenye mwaka huu ni lazima nitoke nje ya mipaka ya Tanzania kwa namna yoyote ile iwe isiwe.

Kabla ya yote, Mimi nimehitimu shahada yangu ya Kwanza tangu. Waka 2019 ktk sekta ya Elimu (Masomo ya kufundishia ni Geography na Kiswahili) na kwa bahati mbaya sijafanikiwa kupata ajira serikalini.

Niliwahi kuajiriwa Private school mwaka 2020 lakini sikufanikiwa kuendelea na kazi kwa muda mrefu kwasababu ya ujira kidogo sana (pesa haikukidhi mahitaji). Mpaka kufikia mwisho wa mwaka 2021 nilishindwa kuvumilia kusindikiza wenzangu kwenye maisha nikakata shauri ya kutafuta fani mbadala ya kuniwezesha kuishi mtaani bila marumbamo na taasisi za wenye nacho.

Katikati ya mwezi wa 11 mwaka 2021 nikajichanganya rasmi mtaani na kuanza vibarua kwenye sekta ya ujenzi, niliegemea upande wa kujenga Tiles, Tanga stones na Marble. Nilifanikiwa kujua haraka hizo kazi kwasababu nilifanya bidii saana na nilijituma kwa udi na uvumba nikapendwa na mafundi wengi hatimaye nikazijua fani hizo mapema sana kulinganisha na wenzangu niliowakuta wanajifunza na nikawaacha wanaendelea kujifunza ilhali mimi tayari nimeshapata fani mbadala na niliyoisomea.

Nilipiga rada kusoma mazingira rafiki ya kazi hizi za ujenzi nikagundua mji sahihi kwangu ambao naweza kufanikiwa kupitia kazi zangu ni Dodoma, basi sikupoteza wakati mwezi wa 5 mwaka 2022 nikaanza safari yangu kutokea mjini Dar es salaam mpaka Dodoma bila hata ya kuwa na mwenyeji na nikabahatika kupata kazi kadhaa kutoka kwa mafundi na hatimaye nikapata pesa ya Kodi na godoro nikayaanza maisha yangu rasmi ya usela.

Mwanzoni naanza maisha yangu ndani ya jiji la Dodoma nilikutana na changamoto ya kila kazi kuwa na bei ndogo, lakini kwakuwa sikuwa na namna nyingine nilifanya bila kusitasita. Kazi nyingi nilizozifanya nilijenga kwa Sh. 4,000 mpaka 3,000 kwa 1m² (kutoka kwa fundi).

Lakini kwa kadri ninavyozidi kuizoea na kufanya kazi zangu kwa ufanisi mkubwa ndivyo bei ya ufundi inazidi kushuka na kuwa ndogo zaidi. Kwasasa bei ya 1m² inafika 2,000 kwa 2,500 (kutoka kwa fundi), ukiringa wenzako wanafanya hata kama kazi haina ubora.

Kiukweli, kwa hali ilivyo kwasasa Dodoma kazi za ujenzi zinaelekea kushuka thanami kila kukicha na kwasasa nimefikiria njia sahihi ya mimi kutoboa ni kutoka nje ya Tanzania na kwenda mbali zaidi.

Najua humu ndani wataalamu ni wengi sana na wenye uchu wa mafanikio ni wengi vilevile wengi wenu mnajua machimbo yenye kupiga pesa nje ya Tanzania. Naombeni ushauri wenu nionesheni nchi sahihi ya kwenda (niko tayari hata kuzamia). Namna ya kufika, hali ya maisha ya huko, shughuli za kuanzia kwa kujitafuta na mengine mengi. Nchi ninazofikiria zaidi ni #South Africa, #Nigeria, #DR Congo, #Ghana, na #Visiwa vya Ushelisheli

Naombeni ushauri(usinitukane please). Kama hauna cha kunishauri ni kheri ukae kimya ila please usinitukane.
 
Kwa tiles nenda nchi za ukanda wa bahari ya antlantic kuanzia kusini mpaka kasikazini. Kwa nini?
Kwa sababu bahari ile ina chumvi kali sana kuliko bahari ya hindi, hivyo majengo mengi hayapakwi rangi kwenye miji ya karibu na bahari hiyo wanatumia tiles. So matumizi ya tiles ni makubwa sana. Wanaweka ukutani kabsa...

Tembelea South Africa, Ghana, Senegal n.k Tazama picha niliyoambatanisha.

Screenshot_20240102_155142_Maps.jpg
 
Yaani utoke bongo uende nigeria?
Are serious?
Kwa wapopo?

Nenda miji inayokua kwa kasi utafanikiwa coz una fani tena yenye soko
Mfano
Mafinga
Masasi
Chunya
Katoro nk

Achana na habari za kwenda kwa wapopo
 
View attachment 2860096
Thanks sana mkuu, Ubarikiwe mnoo
 
Yaani utoke bongo uende nigeria?
Are serious?
Kwa wapopo?

Nenda miji inayokua kwa kasi utafanikiwa coz una fani tena yenye soko
Mfano
Mafinga
Masasi
Chunya
Katoro nk

Achana na habari za kwenda kwa wapopo
Tz bado kuna shida sana, tena nje ya Miji hii ndio shida zaidi.
 
Habari za majukumu wanajukwaa?

Naimani Mwaka huu umeanza vizuri na matarajio yangu kwenye mwaka huu ni lazima nitoke nje ya mipaka ya Tanzania kwa namna yoyote ile iwe isiwe.

Kabla ya yote, Mimi nimehitimu shahada yangu ya Kwanza tangu. Waka 2019 ktk sekta ya Elimu (Masomo ya kufundishia ni Geography na Kiswahili) na kwa bahati mbaya sijafanikiwa kupata ajira serikalini.

Niliwahi kuajiriwa Private school mwaka 2020 lakini sikufanikiwa kuendelea na kazi kwa muda mrefu kwasababu ya ujira kidogo sana (pesa haikukidhi mahitaji). Mpaka kufikia mwisho wa mwaka 2021 nilishindwa kuvumilia kusindikiza wenzangu kwenye maisha nikakata shauri ya kutafuta fani mbadala ya kuniwezesha kuishi mtaani bila marumbamo na taasisi za wenye nacho.

Katikati ya mwezi wa 11 mwaka 2021 nikajichanganya rasmi mtaani na kuanza vibarua kwenye sekta ya ujenzi, niliegemea upande wa kujenga Tiles, Tanga stones na Marble. Nilifanikiwa kujua haraka hizo kazi kwasababu nilifanya bidii saana na nilijituma kwa udi na uvumba nikapendwa na mafundi wengi hatimaye nikazijua fani hizo mapema sana kulinganisha na wenzangu niliowakuta wanajifunza na nikawaacha wanaendelea kujifunza ilhali mimi tayari nimeshapata fani mbadala na niliyoisomea.

Nilipiga rada kusoma mazingira rafiki ya kazi hizi za ujenzi nikagundua mji sahihi kwangu ambao naweza kufanikiwa kupitia kazi zangu ni Dodoma, basi sikupoteza wakati mwezi wa 5 mwaka 2022 nikaanza safari yangu kutokea mjini Dar es salaam mpaka Dodoma bila hata ya kuwa na mwenyeji na nikabahatika kupata kazi kadhaa kutoka kwa mafundi na hatimaye nikapata pesa ya Kodi na godoro nikayaanza maisha yangu rasmi ya usela.

Mwanzoni naanza maisha yangu ndani ya jiji la Dodoma nilikutana na changamoto ya kila kazi kuwa na bei ndogo, lakini kwakuwa sikuwa na namna nyingine nilifanya bila kusitasita. Kazi nyingi nilizozifanya nilijenga kwa Sh. 4,000 mpaka 3,000 kwa 1m² (kutoka kwa fundi).

Lakini kwa kadri ninavyozidi kuizoea na kufanya kazi zangu kwa ufanisi mkubwa ndivyo bei ya ufundi inazidi kushuka na kuwa ndogo zaidi. Kwasasa bei ya 1m² inafika 2,000 kwa 2,500 (kutoka kwa fundi), ukiringa wenzako wanafanya hata kama kazi haina ubora.

Kiukweli, kwa hali ilivyo kwasasa Dodoma kazi za ujenzi zinaelekea kushuka thanami kila kukicha na kwasasa nimefikiria njia sahihi ya mimi kutoboa ni kutoka nje ya Tanzania na kwenda mbali zaidi.

Najua humu ndani wataalamu ni wengi sana na wenye uchu wa mafanikio ni wengi vilevile wengi wenu mnajua machimbo yenye kupiga pesa nje ya Tanzania. Naombeni ushauri wenu nionesheni nchi sahihi ya kwenda (niko tayari hata kuzamia). Namna ya kufika, hali ya maisha ya huko, shughuli za kuanzia kwa kujitafuta na mengine mengi. Nchi ninazofikiria zaidi ni #South Africa, #Nigeria, #DR Congo, #Ghana, na #Visiwa vya Ushelisheli

Naombeni ushauri(usinitukane please). Kama hauna cha kunishauri ni kheri ukae kimya ila please usinitukane.
Ushauri wangu ni uende Ulaya. Ulaya Magharibi kazi za ufundi zinapatikana na malipo yake ni mazuri, japo kuna ushindani kwani wanapata wafanyakazi kutoka kwenye vile vi-nchi vya kikomunisti zamani kama Poland, Latvia, Estonia nk. Ukifika unatakiwa uanze kufanya kazi yoyote kwenye construction sites, halafu huko huko utapata connection ya kufanya hii fani unayotaka. Kwa kifupi nchi kama Finland au Norway kupata kazi kwenye construction sites siyo jambo gumu sana. Kazi ipo kwenye kupata visa. Zamani elimu kwa wanaotoka nje ya Europe (EU) ilikuwa ni bure, lakini sasa hivi inabidi ulipie, au kuwa sahihi zaidi, unatakiwa ulipie angalau semester ya kwanza, na fedha nyingine utazipa huko huko kwa kufanya kazi jioni na weekend. Gharama ya haya yote inaweza kufika hata mil. 12 (sina uhakika). Njia nyingine ni kutumia Internet utafute rafiki huko, na baada ya kuzoeana naye umwambie akupe mwaliko uje utembee na gharama ziatakuwa zako. Ukifika huko utapata maujanja mengine. Wazo jingine: Kama unapenda nursing pia ni kazi ya ulaini kuliko kufanya kwenye ujenzi (kufanya kwenye ujenzi Ulaya siyo mchezo, ukirudidi nyumbani umechoka mpaka jino, na kipindi cha baridi nacho ni kigumu)
 
Shukrani san kwa maneno ya busara sana mkuu, Vipi sites nzuri ambazo naweza kupata marafiki wa nje ni zipi? Nisaidie kunijuza kama unazifahamu.
 
Kuna nyingi tu. Jaribu ku-google maneno ''international Dating sites in Finland/Norway'', kulingana na nchi unayotaka. Ukishapata hizo sites jisajili (kuna za kulipia na nyingine ni bure, note: za kulipia ndiyo nzuri zaidi). Ukishaingia jaribu kuchagua unaooa wanafaa, hasa wamama watu wazima na kuwapekelea friend request. Pelekea wengi kadiri uwezavyo. Waki-respond usiwe haraka wala kiherehere cha kuonyesha uko desperate sana kufanya urafiki au chochote. Jenga urafiki na kuaminiana kwanza.
Mfano kuna hii EuroDate – Get Connected with Singles Ready for Dating Online
 
Nimekusoma, hiyo kweli mbinu ya kigaidi😁😁😁
 
Habari za majukumu wanajukwaa?

Naimani Mwaka huu umeanza vizuri na matarajio yangu kwenye mwaka huu ni lazima nitoke nje ya mipaka ya Tanzania kwa namna yoyote ile iwe isiwe.

Kabla ya yote, Mimi nimehitimu shahada yangu ya Kwanza tangu. Waka 2019 ktk sekta ya Elimu (Masomo ya kufundishia ni Geography na Kiswahili) na kwa bahati mbaya sijafanikiwa kupata ajira serikalini.

Niliwahi kuajiriwa Private school mwaka 2020 lakini sikufanikiwa kuendelea na kazi kwa muda mrefu kwasababu ya ujira kidogo sana (pesa haikukidhi mahitaji). Mpaka kufikia mwisho wa mwaka 2021 nilishindwa kuvumilia kusindikiza wenzangu kwenye maisha nikakata shauri ya kutafuta fani mbadala ya kuniwezesha kuishi mtaani bila marumbamo na taasisi za wenye nacho.

Katikati ya mwezi wa 11 mwaka 2021 nikajichanganya rasmi mtaani na kuanza vibarua kwenye sekta ya ujenzi, niliegemea upande wa kujenga Tiles, Tanga stones na Marble. Nilifanikiwa kujua haraka hizo kazi kwasababu nilifanya bidii saana na nilijituma kwa udi na uvumba nikapendwa na mafundi wengi hatimaye nikazijua fani hizo mapema sana kulinganisha na wenzangu niliowakuta wanajifunza na nikawaacha wanaendelea kujifunza ilhali mimi tayari nimeshapata fani mbadala na niliyoisomea.

Nilipiga rada kusoma mazingira rafiki ya kazi hizi za ujenzi nikagundua mji sahihi kwangu ambao naweza kufanikiwa kupitia kazi zangu ni Dodoma, basi sikupoteza wakati mwezi wa 5 mwaka 2022 nikaanza safari yangu kutokea mjini Dar es salaam mpaka Dodoma bila hata ya kuwa na mwenyeji na nikabahatika kupata kazi kadhaa kutoka kwa mafundi na hatimaye nikapata pesa ya Kodi na godoro nikayaanza maisha yangu rasmi ya usela.

Mwanzoni naanza maisha yangu ndani ya jiji la Dodoma nilikutana na changamoto ya kila kazi kuwa na bei ndogo, lakini kwakuwa sikuwa na namna nyingine nilifanya bila kusitasita. Kazi nyingi nilizozifanya nilijenga kwa Sh. 4,000 mpaka 3,000 kwa 1m² (kutoka kwa fundi).

Lakini kwa kadri ninavyozidi kuizoea na kufanya kazi zangu kwa ufanisi mkubwa ndivyo bei ya ufundi inazidi kushuka na kuwa ndogo zaidi. Kwasasa bei ya 1m² inafika 2,000 kwa 2,500 (kutoka kwa fundi), ukiringa wenzako wanafanya hata kama kazi haina ubora.

Kiukweli, kwa hali ilivyo kwasasa Dodoma kazi za ujenzi zinaelekea kushuka thanami kila kukicha na kwasasa nimefikiria njia sahihi ya mimi kutoboa ni kutoka nje ya Tanzania na kwenda mbali zaidi.

Najua humu ndani wataalamu ni wengi sana na wenye uchu wa mafanikio ni wengi vilevile wengi wenu mnajua machimbo yenye kupiga pesa nje ya Tanzania. Naombeni ushauri wenu nionesheni nchi sahihi ya kwenda (niko tayari hata kuzamia). Namna ya kufika, hali ya maisha ya huko, shughuli za kuanzia kwa kujitafuta na mengine mengi. Nchi ninazofikiria zaidi ni #South Africa, #Nigeria, #DR Congo, #Ghana, na #Visiwa vya Ushelisheli

Naombeni ushauri(usinitukane please). Kama hauna cha kunishauri ni kheri ukae kimya ila please usinitukane.
Labda nikuambie kitu,
Huna haja ya kuhama nchi. Kiwango unacho chaji Kwa Sqm ni kidogo sana. Kama unachaji mpaka TZS 2,000/SQM sidhan kama itakua shida kuchaji kiwango hicho hicho Kwa mteja.

Cha muhimu ni kua na kazi nzuri na kuzitangaza kwenye ma group ya ujenzi. Kuna ma group Facebook yana members mpaka laki 3+ Ongea na Admin asiwe anakubania.

Ukiweka kazi zako kadhaa kama ni nzuri utapata tu wateja tena bei zaidi ya hiyo 3,000/-. Jua soko la tiles linataka nini. Kuna tiles ukizijenga Songea au Lindi unaonekana we mtu, lakin Kwa Dar ukaonekana bado sana.

Juzi nilikua na SQM 56 nikampatia fundi 280,000/- yake safi tu. Wewe ukijitangaza hata Kwa 4,000/- kuanzia ukaweka picha kadhaa utafanikiwa tu.
 
Back
Top Bottom