TANZIA Mtanzania Johnson Mdoe auawa kwa risasi Marekani. Polisi watangaza dau kwa yeyote mwenye taarifa

7-11 au Family Mart unataka ukute wafanyakazi wawili ndugu? Hivi ni Grocery store au duka za Mangi zilivoadavance viko kwa mamia huwezi weka wafanyakazi wengi

Familia iende kuishitaki 7-11 for gross negligence and wrongful death.
Watumishi wa 7-11 au convenience store nyingine hawaachwi peke yao hususan mida mibovu, wanakuwa wawili kwa sababu za kiusalama.
 
Kuna watu wako nahizo kazi ila bongo wamewekeza vibaya na maisha yanaenda

wapo watu na hawapo watu pia..inawork kotekote

najaribu kuwapa moyo vijana waliopo hapa, wanaweza kufanya kazi kwa bidii pia na kufanikiwa fursa zipo pia nyingi kama unakwenda ughaibuni kusaka life nenda vizuri usiende kifalafala..
 
Yule mvamisi wa studio hawakuthubutu kutoa ile video kama ushahidi.
Wenzetu wanatumia kama ushahidi.

Ok balozi wa Marekani atuhakikishie usalama wa jamaa zetu
Usalama wa nini wakati huko ni full democracy
 
R.I.P. Hakupenda kuwa shoga,sema kwenda US ndo kulimfanya awe hivyo. Huyo mzungu alikuwa boss wao huko Njiro. Inaonekana walimla sana. Naona Mzungu akajichagulia Johnson ili amuoe. Ugumu wa maisha ya Bongo ikabidi akubali tu.
Huyu marehemu ana watoto kabla ya kuoa huyo mzungu.
Huyu mzungu alikua na lodge arusha?
 
Pull up and let’s shoot the fair one.

I won’t hit your daughter.

I will, however, deflower her.

How ‘bout that?
This statement is just you hiding behind the keyboard, while in reality you get fucked in the ass on the daily in your real life.
 
Back
Top Bottom