TANZIA Mtanzania Johnson Mdoe auawa kwa risasi Marekani. Polisi watangaza dau kwa yeyote mwenye taarifa

Tunaishukuru serikali ya Marekani kuonyesha thamani ya kupigania haki ya Mtanzania mwenzetu aliye poteza maisha.
Na Mmarekani siku zote amekuwa akijitolea kwa dhati kwaajili ya maisha ya Watanzania.
Tofauti na mchina mm hapa mchina namuona ni sawa na gedere tu.

Lakini Watanzania kupitia hili tujiulize kitu kwamba hivi kama huyo Mtanzania angepigwa risasi Tanzania serikali ingechukua hatua kama ambazo zimechukuliwa marekani na ikiwa Tanzania matukio mengi yametokea na serikali haijachukua hatua zozote kwa mfano tundu lissu kupigwa lisasi kuuwawa kwa Mawazo watu kuokotwa kwenye vipeto nk.
Na tujiulize kila Mtanzania kwa anathamani ya sh. Ngapi?
Kwa maana wamarekani wenyewe wanasema kila mmarekani anathamani ya dollar billion 1
 
R.I.P. Hakupenda kuwa shoga,sema kwenda US ndo kulimfanya awe hivyo. Huyo mzungu alikuwa boss wao huko Njiro. Inaonekana walimla sana. Naona Mzungu akajichagulia Johnson ili amuoe. Ugumu wa maisha ya Bongo ikabidi akubali tu.
Huyu marehemu ana watoto kabla ya kuoa huyo mzungu.
 
Wasambaa na vijana wa Tanga mjini ni watu wawili tofauti.. Wasambaa nawaheshimu ni watu wa kazi kweli aka wapambanaji.. Vijana wa Tanga mjini ndio wapenda mteremko sana kwa kutamani maisha mazuri na kuwa washangiliaji wa vijana wa kihindi na kiarabu pale Tanga.

Wasambaa kiukweli ni wapambanaji nashangaa kusikia huyu kijana wao amekuwa na tabia za hovyo sina mashaka nao kwenye harakati ila wale vijana wa Tanga mjini pale ndio huwa nina mashaka na harakati zao..
 
R.I.P. Hakupenda kuwa shoga,sema kwenda US ndo kulimfanya awe hivyo. Huyo mzungu alikuwa boss wao huko Njiro. Inaonekana walimla sana. Naona Mzungu akajichagulia Johnson ili amuoe. Ugumu wa maisha ya Bongo ikabidi akubali tu.
Huyu marehemu ana watoto kabla ya kuoa huyo mzungu.
It's so simple: Hao wote waliokuwa wakimla huyo mzungu, pamoja na marehemu, ni gays pia. Hakuna kisingizio chochote kinachoweza kuhalalisha uharamu wa namna hiyo. Marehemu hakuwekewa pistol kichwani akalazimishwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
 
Duh, una maanisha makaratasi ndio yamemfanya afunge ndoa? Mbona Marekani kuna Wanawake wabaya kama gari moshi ambao angeweza kuoa na kupata makaratasi huku akilinda uanaume wake. Mie nadhani huyu alikuwa hasara tu sema alivumilia mpaka akapata nafasi.

FYI: I have a crush on ur brain.
 
Tumeambiwa waziwazi " the victim's husband" yaani "mume wa marehemu" ikionesha kwamba marehemu alikuwa kaolewa na huyo mzungu.

It's so simple: Hao wote waliokuwa wakimla huyo mzungu, pamoja na marehemu, ni gays pia. Hakuna kisingizio chochote kinachoweza kuhalalisha uharamu wa namna hiyo. Marehemu hakuwekewa pistol kichwani akalazimishwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
 
Narudia tena, vijana fanyeni kazi kwa bidii.. Kazi ndio msingi wa mafanikio na maendeleo.. Kazi kwa bidii bila kuchoka ndio msingi wa kila kitu ndugu zangu.. Maisha ya haraka haraka bila bidii hayana faida ya kweli na huacha historia mbaya kwa vizazi vyako na wewe mwenyewe..

Kazi kazi, hii nchi haiwezi kujengwa kirahisi rahisi bila jeshi kubwa la vijana kujituma na kuweka misingi imara.. Vijana wafanye kazi kwa bidii nchi hii ina eneo kubwa na mapoli mengi yanayohitaji vijana kujituma na kuzitumia hizo resources kuiweka Tanzania kwenye ramani.

Ulaya na USA zimejengwa kibabe na wenyewe wazungu usiku na mchana, jua na mvua na kuifanya miji yao kuwa mizuri na sehemu salama wao na vizazi vyao kuishi...Ni jukumu letu vijana wa KiaAfrica kuijenga Africa na kuifanya sehemu nzuri na salama kwa wajukuu zetu kuishi..
 
Ameuliwa.

"Apigwa risasi" inatumika kwa ambae hakufa.

Afisa upelelezi kasema, baada ya kutii amri za awali za kumpa hela, marehemu alijaribu kumpora bastola jambazi. Ikapelekea kuuawa kwake. Labda hapo kuna somo la kujifunza.

7-11 nao nadhani wana kesi ya uzembe ya kujibu. Mtumishi alikuwa peke yake dukani. Hakupaswa.
7-11 au Family Mart unataka ukute wafanyakazi wawili ndugu? Hivi ni Grocery store au duka za Mangi zilivoadavance viko kwa mamia huwezi weka wafanyakazi wengi
 
Back
Top Bottom