unasema nini?? yaani tena alilewa ila mbaya mcheki hapa na hapo alikwa anaenda kugonga 3some chezeya FaizaFoxy wewe??
hata makombo ntakula mie, kwani shida! wewe kubali tu
Di nimempa HONGERA zake huyu kijana mm nilidhani kamba imenasa mguuni kumbe ndio mchezo wenyewe kweli Watanzania nasi tumo. Mpira wa miguu vijana wetu wanavimba vichwa sana bora tuanze kuwalea vijana km hawa.Mpe hongera basi.
maskini weee kawa mpole ghafla, akomehahaahhhhaha!!!!!!!!!!!!!!
aHALOOOOOOOOOO YA FaizaFoxy ????...................tutamsema mchana usiku tutalala??? ebwanaeee ................hii imekaaa poa kimtindo.
BTW leo shostito swaumu yako ITA-SWIII?
Sasa hapo nimelewa au nnadeka tu, ningelewa si nigeidondosha hiyo chupa? Hizo ni "swaga" tu. Kwani wewe ulikuwa umelewa siku ile?
Halafu naona wewe hujabebwa hapo wivu umekujaa unataka kujiingiza mpaka kwenye kwapa. Yatakushinda!
ha ha ha ha, haya mama, umeshinda wewe, nitakununulia zawadi ya kitimoto baada ya mfungoKma vile diamond sio?
Some people lack class....ewww
huyu mbona ukienda nae sawa atakubali umwoe hata kwa kesha moja la usiku??
hapo alipo anaona bahati ya mtende atiii.................
Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
haya mama, umeshinda wewe, nitakununulia zawadi ya kitimoto baada ya mfungo
Ahhhhh FaizaFoxy, sikulitegemea hili litoke kwako.... Ukizingatia kuwa nchi yetu huwa tunawatambua watu wakishawini... We cheki akina Hasheem na wengine.... Umenisikitisha sana na ulivyomalizia post yakoWatanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Mwita Maranya kaka yanguuuuuuuuuu???Mwanamke unanuka udini wewe. Mbona amelelewa na masister lakini husemi? ama kwa hakika ubwege ni mzigo.
Hongera sana kijana Khamisi Kondo.
hahaahhhhaha!!!!!!!!!!!!!!
aHALOOOOOOOOOO YA FaizaFoxy ????...................tutamsema mchana usiku tutalala??? ebwanaeee ................hii imekaaa poa kimtindo.
BTW leo shostito swaumu yako ITA-SWIII?
Na Mwandishi Wetu
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete juzi amekutana na mtoto wa Kitanzania ambaye ni Bingwa wa Dunia wa mchezo wa kuruka kamba, Hamisi Kondo mwenye umri wa miaka 14.Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu, mbali na kukutana na Rais, Kondo na wenzake pia walifanya maonesho ya mchezo huo kwa Kikwete ambaye amefurahishwa na vipaji vya watoto hao wa Kitanzania
.Taarifa hiyo ilieleza kuwa Rais Kikwete amekutana, na Kondo pamoja na washiriki wengine waliounda timu ya Tanzania iliyoshiriki katika Michuano ya Dunia ya Kuruka Kamba iliyofanyika Florida, Marekani kati ya Julai 5 hadi 13, mwaka huu ambapo nchi 14 zilishiriki.Mbali na Tanzania, nchi nyingine zilizowakilisha Bara la Afrika katika mashindano hayo ni Afrika Kusini na Kenya. Miongoni mwa nchi nyingine duniani ziliwania medali katika michuano hiyo ya Dunia ni Marekani yenyewe, Canada, Ufaransa, Ujerumani, Mexico na Japan.
Kondo, ambaye alilelewa kwa muda katika Kituo cha Watoto Yatima cha Dogo Dogo Center cha Dar es Salaam, sasa anasoma katika Shule ya Msingi ya Seaside Catholic School, mjini Seattle, Jimbo la Washington ambako mwezi ujao anatarajiwa kuingia darasa la saba.
Mtoto huyo ambaye anaondoka nchini leo kurejea Marekani, aliondoka nchini mwaka jana baada ya kuwa ameonesha kipaji kikubwa katika mchezo wa kuruka kamba.
Kabla ya kwenda Marekani alikuwa ameshinda ubingwa wa Tanzania na ule wa Afrika Mashariki katika mashindano yaliyofanyika mwaka 2010 mjini Mombasa, Kenya.
Taarifa hiyo ilieleza kwamba kwenye ujumbe huo uliokutana na Rais Kikwete, alikuwepo pia Mama Amy Kennedy ambaye yeye pamoja na mume wake, Dennis Kennedy ndiyo wafadhili wakuu wa Kondo na wanamiliki moja ya sehemu bora zaidi za kufanyia mazoezi duniani.
"Ni wafadhili hao waliomtafutia Kondo shule kule Marekani na wanaendelea kulipia gharama za masomo yake, kugharamia mazoezi yake, kulipia gharama zake za usafiri kwenda kwenye mashindano mbalimbali," ilisomeka sehemu ya taarifa hiyo.
Wafadhili hao ndiyo waliisafirisha timu ya Tanzania, kwenda kushiriki katika mashindano hayo ya Marekani ambako pia walilipia chakula na malazi ya timu hiyo.
Source: MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: KIKWETE AKUTANA NA BINGWA WA KURUKA KAMBA
Astakafururahii, ngoja nimwambie mtu wa kitimoto aandae kwa ajili ya jioni maana naona mchana umeshamalizana naye, ila naomba akija hapa FaizaFoxy kutema cheche unitete mie nmejificha
gfsonwin naomba unisaidie kumuuliza huyo mwanamke mwenzio Faizafoxy ni kwanini huyo kijana Khamisi Kondo hasomi kwenye islamic school? na badala yake anasoma kwenye shule ya wagalatia???hahahah FaizaFoxy bwana hapo bold kumbe Hamis anasoma .................................ama kweli naamini umejifunza kitu.
FYI wakristo hawanaga roho za kimaskini bana.
Wee toa ujinga wako wa udini hapa. Kwani nani anaufuatilia mchezo huo hapa nchini ambapo unaonekana ni mchezo wa watoto. Watu kama wewe wanaoangalia kila kitu kwa mtazamo wa udini kama issa ponda ndio mnaoleta shida nchini. Kuacha huo upuuzi wako hakika mohamed amefurahisha na kuletea taifa heshima ndio maana amepewa heshima kupokewa na rais wa jamhuri.Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?