Mchangiaji Malumbano ya Hoja ITV na Radio One: Wanawake wengi Walioajiriwa Maofisini walitoa na wanatoa bado Rushwa ya Ngono

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,638
108,996
"Wanaume mlioko hapa katika hiki Kipindi cha Malumbano ya Hoja naomba niwaambieni Ukweli kama una Mke au Mpenzi wako anafanya Kazi Ofisi yoyote ile jua ya kwamba kapata hiyo Kazi na Cheo kama anacho kwa kutoa Rushwa ya Ngono na bado anaendelea kuitoa mpaka sasa ili Kulinda hiyo Ajira yake na hicho Cheo chake" amesema Dada Mchangiaji wa Kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV na Radio One ambacho kwa Siku ya Leo kilijikita zaidi katika Suala zima la Rushwa na Udhibiti wake.

Sasa kama Mwanamke Mwenyewe ameshakiri kuwa Wake za Watu na Mademu zao Walioko Maofisini wamepata Kazi (Ajira) hizo na Vyeo walivyonavyo kwa Kubanduliwa na Wakubwa ( Mabosi ) na kwamba mpaka leo bado (Wanabanduliwa) bila Huruma Mimi GENTAMIYCINE ni nani nibishe au nimpinge?

Mlio na Wake na Mademu zenu huko Maofisini huku Wengine wakiwa ni Mabosi nawapeni Pole nyingi kwani huenda Usiku mkiwa nao Majumbani mwenu huwa mnakula Makombo tu kwani tayari naniliu zao zinakuwa zimechakazwa na kutifuliwa mno na Mabosi zao huko Maofisini.

Ndiyo maana wenye Akili hatutaki Wake na Mademu zetu wakafanye Kazi Maofisini ila tutajichanga na Kuwafungulia Miradi Majumbani au Kushirikiana nao Ng'adu kwa Ng'adu katika Shughuli zetu huku tukiwa tunawaona na Kuwadhibiti kiurahisi.

Yaani kabisa GENTAMIYCINE niwe na Mke / Demu mkali kama Shunie na cocastic ambaye Boss adriz anawatamani katika Kampuni / Ofisi yake halafu nimruhusu akatafute Ajira (Kazi) kule?

Hivi siionei Huruma kweli hiyo ( Naniliu ) yake kwa jinsi itakavyochakatwa bila Huruma kisha Jioni ikirejea Kwangu nakuta Makombo tu ya Mabosi / Wakubwa wa Maofisini?

Kesho tarehe 7 July ni Public Holiday ( Sikukuu ya Saba Saba ) hivyo zinapumzishwa na Mabosi hawazipati hivyo GENTAMIYCINE nawasihi kuanzia Usiku huu zitumieni vizuri tu huko Majumbani / Maghettoni mwenu kwani kuanzia Jumatatu ijayo hadi Ijumaa ijayo itakuwa ni zamu za Mabosi / Wakubwa zao Maofisini na nyie Waume na Mabwana Kula tu Makombo na wakati mwingone hata ukipangiwa Idadi ya Mabao ya Kupiga kwakuwa anakuwa ameshachoshwa sana Kingono Ofisini na Mkubwa / Bosi.
 
Mwanamke ni Victim katika kila upande. Binti kapiga zake msuli kapata division one kaenda zake Udsm kapata zake degree kapambana mtaani mungu sio Athumani kapata zake kazi kawa Strong, Smart and Independent Woman.

Ghafla anatokea mtu asiyejua hatma yake ya maisha anaenda kutafuta attention kwenye vituo vya kitaifa vya habari na kuongea Nonsense kuhusu Wanawake kwa sababu anawaonea wivu.

Mkuu akili yako usiifanye kama gari la taka kubeba kila unachosikia fanya tathmini ya kina kwanza.
 
"Wanaume mlioko hapa katika hiki Kipindi cha Malumbano ya Hoja naomba niwaambieni Ukweli kama una Mke au Mpenzi wako anafanya Kazi Ofisi yoyote ile jua ya kwamba kapata hiyo Kazi na Cheo kama anacho kwa kutoa Rushwa ya Ngono na ba
Tatizo linaanza kwa hao wanawake wenyewe, wengi wanapenda kutumia miili yao kupata hizo nafasi na wanapopata hutumiwa kukandamiza wanaume na wanawake wa hao waume wasio rasmi...Hii tabia imeshamiri sana huku kwenye ajira hasa ofisi za umma....Na wanaume wenye vyeo na wakuda nao wanatumia hiyo advantage kuwatumia hao akina dada poa...
 
Hata huyo mke wako uliyenayo ashakuwaga demu wa mtu.
Je ulipomuoa mke wako ulikuta na bikra??
Basi juu kashanduliwa toka alipovunja ungo mpaka sasa anabanduliwa
Sema wewe popoma huwezi kujua.

Huwezi kuwa na mwanamke wa kwako pekee yako labda kama upo mwenyewe duniani,akienda sokoni anatongozwa.
Akienda dukani anatongozwa
Akienda kusuka anatongozwa
Akienda kanisani anatongozwa
Sasa jiulize atawakwepa wangapi??

Kaa ukijua mke wako anabomolewa tena vinzuri tu,sema wanawake wasiri sana,mbunye zao zinabana chapu anaweza akagongwa kwa siku hata mara 3 lakini hakuna hata mwanaume mmoja atajua katoka kuliwa.
 
Mwanamke ni Victim katika kila upande. Binti kapiga zake msuli kapata division one kaenda zake Udsm kapata zake degree kapambana mtaani mungu sio Athumani kapata zake kazi kawa Strong, Smart and Independent Woman.

Ghafla anatokea mtu asiyejua hatma yake ya maisha anaenda kutafuta attention kwenye vituo vya kitaifa vya habari na kuongea Nonsense kuhusu Wanawake kwa sababu anawaonea wivu.

Mkuu akili yako usiifanye kama gari la taka kubeba kila unachosikia fanya tathmini ya kina kwanza.
Walio wavumilivu na smart hawapewagi vyeo kirahisi rahisi, utakuta kasingiziwa skendo kibao...Mifumo yetu ya M&E ni dhaifu sana....
 
That's the truth bro. Women tend to sleep with men who are better than them in all aspects. Haijalishi ana one ya tatu na 4.5 G.P.A , ukimuoa alafu wewe huna cha kujivunia, huna accomplishment yoyote ambayo itamfanya aone una zaidi ya kumuimprove, atakusaliti bro kisirisiri, regardless unamkaza sana.

Women will remain to be women, nimeshuhudia mengi sana na Kwa experience yangu , wanawake usipowazidi almost 90% ya kila kitu, wanamtafuta mtu ambaye ataona ni kama saizi yake ya mguu wake uliopwaya na kiatu ambacho ni wewe.

Kuna jomba mmoja apa mtaani, ana kazi yake ila alioa independent woman aliyefanikiwa kielimu, kikazi na biashara pia( n muajiriwa) aisee anateseka mpaka akaamua aondoke nyumbani, karudi juzijuzi baada ya usuluhishi wa kifamilia ila naona mwendo ni uleule kaamua kumute. What a waste.
 
Tatizo linaanza kwa hao wanawake wenyewe, wengi wanapenda kutumia miili yao kupata hizo nafasi na wanapopata hutumiwa kukandamiza wanaume na wanawake wa hao waume wasio rasmi...Hii tabia imeshamiri sana huku kwenye ajira hasa ofisi za umma....Na wanaume wenye vyeo na wakuda nao wanatumia hiyo advantage kuwatumia hao akina dada poa...
Wanawake wanataka wanaume bora bro, ni nature tu hii.

Ni sawasawa na wewe Leo umuoe mwanamke ni lecturer wa chuo Kikuu alaf wewe hata 3.5 G.P.A hujafikisha na hujamzidi yeye Kwa mshahara, lazima akudharau.

Mi nilishuhudia hiki kitu, demu aliwahi kututongoza wote wawili , Mimi hakunipenda sana kwa kuwa sikuwa na ubora katika elimu kama jamaa yangu ila alinijaribu ikiwa atamkosa jamaa, demu alikuwa anamtumia pic akiwa na kanga tu tena ni msichana wa Kiislamu. Hapa nikaelewa kitu, kuwa bora, uta-attract wanawake na wao ndo watatumia nguvu ya kuwa na wewe na watakupenda sana.
 
Walio wavumilivu na smart hawapewagi vyeo kirahisi rahisi, utakuta kasingiziwa skendo kibao...Mifumo yetu ya M&E ni dhaifu sana....
Ni Cheo kipi kinapatikana kwa Urahisi?? Rushwa ya ngono ipo na itaendelea kuwepo. Kuwahusisha wanawake wote wenye vyeo na rushwa ya ngono ni fikra zilizojaa chuki sio kila Boss wa kiume ni Bazazi anayetanguliza sex dhidi ya kazi kuna Maboss wengi wanaojitambua wanaangalia utendaji wa mtu.

Kusingiziwa skendo ni sehemu ya kazi kwa maana wanaume pia ni victim wa chuki makazini ambazo zinatokana na uswahili wetu.

Kwa dunia ya sasa ambayo wanawake wameelimika na wanajua haki zao ukitaka dunia uione chungu msumbue mwanamke anayejitambua kwa kumuomba ngono ili umpe favor brother utapoteza kila kitu tena kwa sasa palivyo na NGo nyingi zinazolinda maslahi ya kazi na wanawake.
 
Mbona povu hivyo, au na wewe ni mhusika? Nimesema wengi, si wote!
Kwa sample ya niliowafanyia usaili ni more than 60% Hatari na nusu, jaribu kufanya utafiti kama mimi utashika kichwa chako!
 
"Wanaume mlioko hapa katika hiki Kipindi cha Malumbano ya Hoja naomba niwaambieni Ukweli kama una Mke au Mpenzi wako anafanya Kazi Ofisi yoyote ile jua ya kwamba kapata hiyo Kazi na Cheo kama anacho kwa kutoa Rushwa ya Ngono na bado anaendelea kuitoa mpaka sasa ili Kulinda hiyo Ajira yake na hicho Cheo chake" amesema Dada Mchangiaji wa
Kuhusu Mada naafikiana na wewe.
Walio wengi maofisini naamini kabisa kuwa wako pale sababu ya ngono.

Mkuu ila kuhusu Cocastic tutagombana.
 
That's the truth bro. Women tend to sleep with men who are better than them in all aspects. Haijalishi ana one ya tatu na 4.5 G.P.A , ukimuoa alafu wewe huna cha kujivunia, huna accomplishment yoyote ambayo itamfanya aone una zaidi ya kumuimprove, atakusaliti bro kisirisiri, regardless unamkaza sana.

Women will remain to be women, nimeshuhudia mengi sana na Kwa experience yangu , wanawake usipowazidi almost 90% ya kila kitu, wanamtafuta mtu ambaye ataona ni kama saizi yake ya mguu wake uliopwaya na kiatu ambacho ni wewe.

Kuna jomba mmoja apa mtaani, ana kazi yake ila alioa independent woman aliyefanikiwa kielimu, kikazi na biashara pia( n muajiriwa) aisee anateseka mpaka akaamua aondoke nyumbani, karudi juzijuzi baada ya usuluhishi wa kifamilia ila naona mwendo ni uleule kaamua kumute. What a waste.
Hoja ilikuwa kila mwanamke anayefanya kazi au ana cheo basi hiyo kazi ama cheo kakipata kupitia rushwa ya ngono.. Hiyo ndio hoja ya mchangiaji wa Malumbano ya hoja.

Wewe Ulichoandika kipo Nje ya Mada.
 
Back
Top Bottom