Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley: Wanaume Dereva Bodaboda wanajua Mapenzi na Wanajali kuliko Wengine

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,034
Akizungumza katika Kipindi Kizuri na ambacho GENTAMYCINE nakipenda na nimejiteua Mwenyewe kuwa Balozi wake Kivuli cha Mazungumzo ya Familia ya Radio One kila Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu hadi Saa 4 Kamili Mtangazaji Kinara na Mrembo wa Radio One na ITV katoa Kali na ya Kufungia mwaka.

"Hakuna Wanaume wanaojua mapenzi ( mahaba ) na Wanajali kama Madereva Bodaboda. Kwanza wana Miili iliyojengwa vyema kwa Shughuli na Wanashughulika kweli kweli kuliko Wanaume Wengine ambao hawajali na wapo wapo tu na Migoigoi"

Kuna Bodaboda Mmoja anakuja baadae kumchukua Demu wangu na Demu wangu anampenda mno hataki mwingine hivyo huenda akija hiyo baadae akakutana na hali ya tofauti na aliyoizoea Kuikuta.

Na kuanzia leo hii GENTAMYCINE natangaza rasmi Vita ya Kudumu na Madereva Bodaboda wote nchini kwani nimegundua wengi wao na kwa Kusifiwa huku na Mtangazaji Farhia Middley wa Radio One na ITV inathibitisha kuwa 'Wanatuchapia' sana na tena bila Huruma na Uwoga Wake na Mademu zetu.

Kudadadeki......!!
 
Kuna kisasi al hakh....hapo nakiona.....wakubwa wameelewa!!
 
Back
Top Bottom