Mtandao wa GSM Foundation, RC Makonda na kinachoendelea...

Mtandao wa GSM Foundation, RC Makonda na kinachoendelea...

Dunia hii nimejifunza jambo Moja kubwa kama haupo msafi usiseme uchafu wa Mwenzio Kwa kutumia kipaza sauti mnong'oneze kwa sauti ya chini ili Kesho nawe akutowe uchafu Kwa faragha"
Makonda sasa anajuuta kumjua Wema maana ndoa yake ipo shakani baada ya mke wake kusikia Masogange anamega penzi lake, madhambi ya makonda yote yapo wazi, yy alidhani watu hawajui mambo yake kumbe wanajua sana bali waliamua kumsitili tu.
 
Ila kweli GSM hajawai fanya hii biashara ya 'ngada' kweli? kama kafanya basi 'kuna kitu nyuma ya pazia.'
Walikwepa Kodi kwa 5 years wakaja kujisafisha Kipind cha Uchaguz kwa kudhamin zile billboard za kampen zinazowaka masa 24 ndo wanaojenga ofisi Mpya za Bakwata
 
GSM ndo wamempa Lexus coz yeye alipewa Land Criuiser V8 2016 la Serikali Mnafiki tu huyu ana hangaika na End user akahagaike na Big Cartel
Sasa anahaha kuficha kila kitu kwenye majina bandia na ya ndugu zake kisha aje na uongo kuwa mali si zake bali wamempakazia tu.
 
Walikwepa Kodi kwa 5 years wakaja kujisafisha Kipind cha Uchaguz kwa kudhamin zile billboard za kampen zinazowaka masa 24 ndo wanaojenga ofisi Mpya za Bakwata
Hata nyumba za makonda na kila kitu wanagharamia wao, GSM kwa makonda ni kama mbwa akimwona chatu.
 
weka picha apa ya hiyo lexus tuthaminishe kama yake au laaa!!!
1a83e5a06794247838eadb8381ad7d08.jpg

Before was V8 2016 ya Serikali
0f7db315a83e552f4474b6d5a7f511f5.jpg
 
Ninaimani kuwa wengi wetu tunalaani vikali biashara ya madawa ya kulevya,

Kwa tuhuma zinazotoka sasa juu ya makonda si zote tuziamini mf hizo gari zote nimeona zina namba za RC DSM inawezekanaje mtu akafiche gari ya serikali?

Hebu tulete au tutoe mada zenye mashiko sio tu kwakua una bando basi urushe tu vitu pasipo kufikiria, alafu cha pili hizi tuhuma zingetolewa kabla hajaanza hii vita zingekua na power zaidi kwa wenye uelewa mpana lazima wajue ni siasa chafu dhidi ya wanaopambana na unga.

Leo mtu unaongelea kusafiri kwenda marekani kwani ni mbinguni ambapo watu hawafiki wakiwa hai?

Ndugu zangu mi binafsi pasipo kuongelea personal issues namuunga mkono pamoja na kamati yake yote ya ulinzi na usalama ya mkoa Akiza kama mwenye kitu.
Bora hata hii nusu shari kuliko shari ambayo tuliishia kusikia majina ninayo na ntawataja.
 
Mimi naona kuna jambo kubwa linafichwa hapa,kamata wadogo linda wakubwa na hii ipo planned
Wazee wa kuunganisha dot wanashajua defense mechanism inayotumika hapa baada ya programe kuvuja
Au ndio njia ya kudhohofisha vidagaa ili mapapa yaendelee kudominate biashara?
 
Duuuu Kweli nimeamini Kuna watanzania wanapenda kuona vijana wakiangamia kwa madawa YA kulevya, na wasiwasi hawa wanaopinga juhudi za RC Makonda na Wao watakuwa washirika wakubwa wa Hii biashara
Hamna aliepinga juhudi..swala analofanya Ni la manufaa... Tatizo Ni moja..linafanyikaje? Hawa wakubwa wa biadhara hii wamechukuliwa hatua gani? Maana natumaini hadi kuja kukamatwa watumiaji..ilishafanyika research ya kitosha kutambua wauzaji...wamechukuliwa hatua gani?
 
GSM biashara zake zinamlipa kuliko hata biashara ya madawa ya kulevya nadhani
Zipi? Mabati..bodaboda..magodoro..biashara zina upinzani Kama nini hizo...we ushaona financials zake hadi kusema zinamlipa?mambo mengine Ni kuyaacha Kama yalivyo...utaifa kwanzA
 
Iko hivi...RC alimkamatisha petitman kwa kumwambia aje na Kazi(unga)...jamaa bila ya kujua akaenda nao...baada ya kufika kwa RC baada ya dk chache wazee wakatia timu...
Jamaa akakamatwa na kidhibit ubaoni...
....jamaa kalegezwa kinoma noma(kupigwa) kabla ya kumpeleka kituoni....

RC kamsalit petitman maana ni rafik yake...

Hii ndo Tz bana.....NIMEOTA.
Petit asingepeleka kazi kirahisi hivyo Kama hamna mazoea ya hio biashara..inamaana ilikua business as usual
 
Yeye alikuwa wapi siku zote? Kwani issue ya Madawa ya Kulevya imeibuka baada ya Matokeo ya Form Four? Shule sita za Mwisho kitaifa zisingekuwa zinatoka Dar hii vita tungeisikia kweli? Wewe ni Wa Kupuuzwa, tuhuma kama zipo,haijalishi zinatolewa lini, any time, Criminal Offences have no Expire Dates! Be warned!
Hahahhahaha mama ndalichako naye ahoji ili swala...we have all the facilities.. Lakini ndio tunashika mkia...tukipata majibu..tuje kwa mashoga..omba omba..yani first in first out...hatujamaliza haya tumehamia pengine..tumalize haya kwanza
 



Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je, Petitman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je, kwanini Makonda ajichukulie sheria mkononi na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya?
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani?
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?
7. Bwana Makonda hii LEXUS LX Nyeusi umeitoa wadi?
8. Ni kwa nini Kila unachokifanya kinadhaminiwa na GSM Foundation. Mnamahusiano gani?
9. Umekamata mateja na wasambazaji. Kwa nini haujamkamata wala Kumtaja Agness Masongange? Punda maarufu Tanzania
10. Kwa nini Petitman apigwe, kwa nini apigwe nyumbani kwako. KWa nini watuhumiwa wengine hawajapigwa?
11. Je Mahusiano ya Kajala na Petitit man kimapenzi unayajua, na Je ushawahi kuwa na mahusiano na Kajala?
12. Umegawa pikipiki nyingi za GSM. Umeyagawa kwa lipi?

Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni suala zito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi

Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwanini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?


Hii movie yote nadhani ilikuwa ya wema sepetu na petiman Hawa wengine wote ilikuwa gelesha kweli huyu katumia madaraka vibaya Mje simu Wa Alia goalie hilo
 
1a83e5a06794247838eadb8381ad7d08.jpg

Before was V8 2016 ya Serikali
0f7db315a83e552f4474b6d5a7f511f5.jpg
Hapo ndiyo maana naamini watanzania wanaiamini CCM ni watu wafu! Yaani wanaamini kabisa CCM inapigania maslahi yao?!? MaCCM yanasema nchi yetu maskini, lakini yenyewe hayaishi kama kweli nchi ni maskini! Umeona Makamu wa Rais anaendeshwa kwenye Mercedes GL class!!!
 
Wana si hasa bwana ....Magari yote hayo ni mamilioni ya hela....wakiwa majukwaani ohhh ohhh tunawatumikia watu maskini ..bla bla bla
Yaani RC ana gari mbili za mamilioni ya fedha!! Hakika sisi ni watu wafu! Kama anavyosema Salary Slip, sisi si binadamu!!
 
Duh! Kama ndio yamegeuka hivi ningemshauri aandike barua ya kujiuzulu na kujiuzulu kama yule mkuu wa wilaya ya uyui kwani kamkosea sana aliyemteua na anaowaongoza.
 
Ninaimani kuwa wengi wetu tunalaani vikali biashara ya madawa ya kulevya,

Kwa tuhuma zinazotoka sasa juu ya makonda si zote tuziamini mf hizo gari zote nimeona zina namba za RC DSM inawezekanaje mtu akafiche gari ya serikali?

Hebu tulete au tutoe mada zenye mashiko sio tu kwakua una bando basi urushe tu vitu pasipo kufikiria, alafu cha pili hizi tuhuma zingetolewa kabla hajaanza hii vita zingekua na power zaidi kwa wenye uelewa mpana lazima wajue ni siasa chafu dhidi ya wanaopambana na unga.

Leo mtu unaongelea kusafiri kwenda marekani kwani ni mbinguni ambapo watu hawafiki wakiwa hai?

Ndugu zangu mi binafsi pasipo kuongelea personal issues namuunga mkono pamoja na kamati yake yote ya ulinzi na usalama ya mkoa Akiza kama mwenye kitu.
Bora hata hii nusu shari kuliko shari ambayo tuliishia kusikia majina ninayo na ntawataja.

No no nooooo please!
Hilo la magari ya kifahari si la kupuuzwa. Hivi serikali inaweza kumbadilishia rc gari kutoka v8 hadi lexus? Kama wanunuzi wa magari ya serikali ni GPSA, hilo sidhani kama litawezekana. Ninavyojua serikali imenunua magari mengi sana ya Prado new model kwa viongozi mbali mbali.

Hili la Lexus limekaa ndivyo sivyo. Yawezekana GSM ndio wafadhili.
Makonda achunguzwe. Anaonekana mtata sana kijana huyu.
 
Back
Top Bottom