Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,828
weka picha apa ya hiyo lexus tuthaminishe kama yake au laaa!!!
hajui bongo watu wana magari yasiyo yao!!
weka picha apa ya hiyo lexus tuthaminishe kama yake au laaa!!!
Mimi naona kuna jambo kubwa linafichwa hapa,kamata wadogo linda wakubwa na hii ipo planned
Wazee wa kuunganisha dot wanashajua defense mechanism inayotumika hapa baada ya programe kuvuja
Waswahili wa msemo "akimwaga ugali, wewe mwaga." Je usemi huu ni mahali pake?Mlikua wapi kusema uovu wake toka zamani, hata huyo Wema kama alijua Makonda ana mahusiano ya kimapenzi na Masogange alngoja nini kisema mpaka adakwe na msokoto ndio aseme sasa hata kama kuna ukwel nani ataamini
Kwanza tumalizane na madawa ya kulevya then tutamhoji na yeye. msitutoe kwny mstari
List nimeiona kaka,wanasema kama una husiano na mtu anaefanya kazi ya kuhuuza madawa ya kulevya kuna uwezekano mkubwa kuwa na wewe umo katika mtandao;
Kutokana na Audio na Video zilizozagaa mitandaoni Mkuu wa mkoa ana uhusiano na muuzaji mkubwa wa madawa ya kulevya ambae aliwahi kukamatwa South Africa.
Cha kujiuliza kwanini katika list huyu dada hayumo,Je mkuu wa mkoa anaogopa kuwa akimtaja huyu mpenzi wake labda atashindwa kuhimili vishindo vya polisi hatimae siri zitatoka............loading
Inasemekana...nani anasema?List nimeiona kaka,wanasema kama una husiano na mtu anaefanya kazi ya kuhuuza madawa ya kulevya kuna uwezekano mkubwa kuwa na wewe umo katika mtandao;
Kutokana na Audio na Video zilizozagaa mitandaoni Mkuu wa mkoa ana uhusiano na muuzaji mkubwa wa madawa ya kulevya ambae aliwahi kukamatwa South Africa.
Cha kujiuliza kwanini katika list huyu dada hayumo,Je mkuu wa mkoa anaogopa kuwa akimtaja huyu mpenzi wake labda atashindwa kuhimili vishindo vya polisi hatimae siri zitatoka............loading
Mkubwa ni nani? Kwa nini usitaje?Mimi naona kuna jambo kubwa linafichwa hapa,kamata wadogo linda wakubwa na hii ipo planned
Wazee wa kuunganisha dot wanashajua defense mechanism inayotumika hapa baada ya programe kuvuja
Yaani watanzania wanatakiwa kuitwa maajabu ya dunia ...eti kisa Makonda kawatia sekeseke sasa wanaanza kumsema, ni kwanini hamkusema mda ule wa tukio mmesubiri leo?
Ndio wameibuka sasa muwasikilize sasa na muwape haki ya kuchunguza haya kama mlivyochunguza wale aliowataja Makonda tupate mizania ya haki. Hii inaitwa mwaga ugali nimwage mboga. Wewe uliyemwagiwa mboga usianze kusema kwa nini hawakumwaga jana
wema sepetu,msukuma.......loadingInasemekana...nani anasema?
Ndiko Tanzania inakoelekea.........loadingKwahiyo ukisikia audio yangu inasema wewe una uhusiano na Mangwea polisi waje wakukamate?
Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je, Petitman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je, kwanini Makonda ajichukulie sheria mkononi na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya?
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani?
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?
7. Bwana Makonda hii LEXUS LX Nyeusi umeitoa wadi?
8. Ni kwa nini Kila unachokifanya kinadhaminiwa na GSM Foundation. Mnamahusiano gani?
9. Umekamata mateja na wasambazaji. Kwa nini haujamkamata wala Kumtaja Agness Masongange? Punda maarufu Tanzania
10. Kwa nini Petitman apigwe, kwa nini apigwe nyumbani kwako. KWa nini watuhumiwa wengine hawajapigwa?
11. Je Mahusiano ya Kajala na Petitit man kimapenzi unayajua, na Je ushawahi kuwa na mahusiano na Kajala?
12. Umegawa pikipiki nyingi za GSM. Umeyagawa kwa lipi?
Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni suala zito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi
Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwanini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?
wako wenye kazi hizo za kuwataja raia kutokana na tetesi,,,,,,,,loadingsasa si ukamtaje??
Soma comment yako halafu urekebishe kwa uzuri tuu lakiniNatumai jibe litaatikana pamoja na haki
Nilishasema kitambo, kuna kitu kimejificha hapa.hayo majina 65 aliyoyataja leo ni zuga tu.kashechanganyikiwa kijana wa watu. Sema anajuwa hata wakimpeleka mahakamani watamlinda kwa amri toka juu.Haya sasa kuna kitu kimejificha hapa
Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je, Petitman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je, kwanini Makonda ajichukulie sheria mkononi na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya?
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani?
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?
7. Bwana Makonda hii LEXUS LX Nyeusi umeitoa wadi?
8. Ni kwa nini Kila unachokifanya kinadhaminiwa na GSM Foundation. Mnamahusiano gani?
9. Umekamata mateja na wasambazaji. Kwa nini haujamkamata wala Kumtaja Agness Masongange? Punda maarufu Tanzania
10. Kwa nini Petitman apigwe, kwa nini apigwe nyumbani kwako. KWa nini watuhumiwa wengine hawajapigwa?
11. Je Mahusiano ya Kajala na Petitit man kimapenzi unayajua, na Je ushawahi kuwa na mahusiano na Kajala?
12. Umegawa pikipiki nyingi za GSM. Umeyagawa kwa lipi?
Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni suala zito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi
Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwanini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?
Kinachosumbua watanzania ni kuanza kusema maovu ya mtu pale anapoingilia anga zao. Mimi ni kati ya watu ambao wanadhani Makonda ni mwepesi sana kwenye kazi ya mkuu wa mkoa, anapaswa kuwa kwenye uenyekiti wa mtaa au vijiji. Ila kuanza kusema maovu yake baada ya aka ka-operesheni kake ka madala ya kulevya itaonekana kama ni kutaka kumpunguza nguvu, mimi nadhani kuna haja ya kuwa-expose watu waovu mapema kabla ya kusubiri hatua kama hii ya Makonda.