pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,035
- 15,244
Ila kweli GSM hajawai fanya hii biashara ya 'ngada' kweli? kama kafanya basi 'kuna kitu nyuma ya pazia.'
Kwa nini yasikuhusu? Shutuma lazima ifanyiwe ucjunguz na kusafishwa kama hakuna uozo.Sisi haya hayatuhusu, na kwa nini hamkuyaibua haya mapema au mlikuwa mnasubiri haya yatokee ndo na nyinyi muibuke!?
Nataka nimtafute Huyu kibibi gagula, anaishi wapi hapa USHivi Huyu mange kimambi haya anayapata wapi?Hawa ni akina Nani?![]()
Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je Pitiman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je kwa nini Makonda ajichulie sharia mkononi, na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?
Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni swala znito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi
Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwa nini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?
Jamaa una kumbukumbu mujarabMakonda alimpiga warioba itakuwa petit man?
Kwa sababu KIPOFU mmoja anawanyooshea vidole vipofu wenzake kuwa wao ni VIPOFUMbona toka mwanzo hawakusema?
Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je Pitiman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je kwa nini Makonda ajichulie sharia mkononi, na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?
Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni swala znito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi
Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwa nini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?
Basi fanyeni kama alivyofanya yeye na si kukaa nyuma ya keyboard na kuanza kupiga makelele haisaidiiKwa nini yasikuhusu? Shutuma lazima ifanyiwe ucjunguz na kusafishwa kama hakuna uozo.
Kila kitu lazima kikuhusu ili kuendana na falsafa ya HAKUNA JIWE LITAACHWA.
Kaza mwendo kurudi nyuma mwika PMHuu upupu mnaoleta hapa hausaidii kwenye hizi harakati. Makonda usikatishwe tamaa na hao watu. Endelea kukamatia chini
Mbona toka mwanzo hawakusema?
RC Paul Makonda mwaka 2015 alikuwa anaishi kwa Membe
Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je, Petitman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je, kwanini Makonda ajichukulie sheria mkononi na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya?
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani?
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?
Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni suala zito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi
Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwanini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?