Mtandao wa GSM Foundation, RC Makonda na kinachoendelea...

Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je, Petitman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je, kwanini Makonda ajichukulie sheria mkononi na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya?
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani?
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?
7. Bwana Makonda hii LEXUS LX Nyeusi umeitoa wadi?
8. Ni kwa nini Kila unachokifanya kinadhaminiwa na GSM Foundation. Mnamahusiano gani?
9. Umekamata mateja na wasambazaji. Kwa nini haujamkamata wala Kumtaja Agness Masongange? Punda maarufu Tanzania
10. Kwa nini Petitman apigwe, kwa nini apigwe nyumbani kwako. KWa nini watuhumiwa wengine hawajapigwa?
11. Je Mahusiano ya Kajala na Petitit man kimapenzi unayajua, na Je ushawahi kuwa na mahusiano na Kajala?
12. Umegawa pikipiki nyingi za GSM. Umeyagawa kwa lipi?

Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni suala zito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi

Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwanini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?

Rais hatokaa asikie lolote juu ya RC. Jamaa anatumika vyema ktk vita hii. Wacha tuendelee kuisoma japo kimya kimya.
 
Huyo rice mtetezi wa wanyonge ndo kampa baraka awaangamize wanyonge.
NB najua kuiandika vizuri ila nimeandika Rice kwa sababu za kiinteligensia
 
Mlikua wapi kusema uovu wake toka zamani, hata huyo Wema kama alijua Makonda ana mahusiano ya kimapenzi na Masogange alngoja nini kisema mpaka adakwe na msokoto ndio aseme sasa hata kama kuna ukwel nani ataamini
angesema kwa lip hasa
 
kinakushangaza nini kama kasema sasa hivi, hiyo ni hulka ya biniadamu kuongea anayoyajua baada ya tukio fulani kutokea na limemgusa haina maana lazima liwe uongo alichotaka haya masuala yachunguzwe.
 
Dah... Safi sana.. Ila kwa sasa ni bad timings... Akili zote zipo kwenye Vita... Subiri Vita iishe....
 
Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je, Petitman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je, kwanini Makonda ajichukulie sheria mkononi na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya?
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani?
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?
7. Bwana Makonda hii LEXUS LX Nyeusi umeitoa wadi?
8. Ni kwa nini Kila unachokifanya kinadhaminiwa na GSM Foundation. Mnamahusiano gani?
9. Umekamata mateja na wasambazaji. Kwa nini haujamkamata wala Kumtaja Agness Masongange? Punda maarufu Tanzania
10. Kwa nini Petitman apigwe, kwa nini apigwe nyumbani kwako. KWa nini watuhumiwa wengine hawajapigwa?
11. Je Mahusiano ya Kajala na Petitit man kimapenzi unayajua, na Je ushawahi kuwa na mahusiano na Kajala?
12. Umegawa pikipiki nyingi za GSM. Umeyagawa kwa lipi?

Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni suala zito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi

Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwanini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?

Inakua ngumu kujadili hiki kitu
 
Mlikua wapi kusema uovu wake toka zamani, hata huyo Wema kama alijua Makonda ana mahusiano ya kimapenzi na Masogange alngoja nini kisema mpaka adakwe na msokoto ndio aseme sasa hata kama kuna ukwel nani ataamini
Hivi watanzania tutapona lini ugonja Wa kufikiria. Hivi ulitaka wema aingilie mahusiano ya mkuu Wa mkoa hivihivi alafu wamuache salama?? Saivi mboga imemwagwa na kamwaga........
 
GSM pia wanasimamia zoezi la kutoa tiba kwa kushirikiana na MOI. Ajabu pesa za msaada zipo kwenye account ya Kaimu Mkurugenzi MOI Dr. Othman, akiwalipa watumishi mwenyewe!!!
hatari sana hii
 
Hivi watanzania tutapona lini ugonja Wa kufikiria. Hivi ulitaka wema aingilie mahusiano ya mkuu Wa mkoa hivihivi alafu wamuache salama?? Saivi mboga imemwagwa na kamwaga........
Kosa mali utarith hata ukweni lkn sio kukosa akili
 
Hivi watanzania tutapona lini ugonja Wa kufikiria. Hivi ulitaka wema aingilie mahusiano ya mkuu Wa mkoa hivihivi alafu wamuache salama?? Saivi mboga imemwagwa na kamwaga........
Hawa si jinsia mbili tofauti
Wema ni Ke
Makonda n Me

Inawezekanaje hapo
 
hii defensive machanism inayotumiwa na waliotajwa. hii sawa na mwanafunzi aliyefeli mtihani akasema amefeli kwa sababu walimu walikuwa hawaingii darasani. anahamisha lawama upande wa pili.
 
Back
Top Bottom