Mtandao wa GSM Foundation, RC Makonda na kinachoendelea...

Mtandao wa GSM Foundation, RC Makonda na kinachoendelea...

No no nooooo please!
Hilo la magari ya kifahari si la kupuuzwa. Hivi serikali inaweza kumbadilishia rc gari kutoka v8 hadi lexus? Kama wanunuzi wa magari ya serikali ni GPSA, hilo sidhani kama litawezekana. Ninavyojua serikali imenunua magari mengi sana ya Prado new model kwa viongozi mbali mbali.

Hili la Lexus limekaa ndivyo sivyo. Yawezekana GSM ndio wafadhili.
Makonda achunguzwe. Anaonekana mtata sana kijana huyu.
Juzi nilikuw kigoma kwa shughuli za kikazi nilishuhudia gari la mkuu wa mkoa wa kigoma yaani halina mbwembwe ni land cruiser zile zinazofanana na defender ....sasa nikajiuliza hivi kwanini gari ya mkuu wa mkoa wa kigoma ni tofauti sana na gari ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam? Au mkuu wa mkoa wa dar es salaam ni ana madaraka makubwa kuliko wengine?
 
....sasa nikajiuliza hivi kwanini gari ya mkuu wa mkoa wa kigoma ni tofauti sana na gari ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam? Au mkuu wa mkoa wa dar es salaam ni ana madaraka makubwa kuliko wengine?
Labda ndie kiranja mkuu (head prefect) wa ma RC wote
 
Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je, Petitman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je, kwanini Makonda ajichukulie sheria mkononi na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya?
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani?
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?
7. Bwana Makonda hii LEXUS LX Nyeusi umeitoa wadi?
8. Ni kwa nini Kila unachokifanya kinadhaminiwa na GSM Foundation. Mnamahusiano gani?
9. Umekamata mateja na wasambazaji. Kwa nini haujamkamata wala Kumtaja Agness Masongange? Punda maarufu Tanzania
10. Kwa nini Petitman apigwe, kwa nini apigwe nyumbani kwako. KWa nini watuhumiwa wengine hawajapigwa?
11. Je Mahusiano ya Kajala na Petitit man kimapenzi unayajua, na Je ushawahi kuwa na mahusiano na Kajala?
12. Umegawa pikipiki nyingi za GSM. Umeyagawa kwa lipi?

Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni suala zito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi

Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwanini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?

Kwanza tumalizane na madawa ya kulevya then tutamhoji na yeye. msitutoe kwny mstari
 
hivi kumbe magufuli analindwa na hao jamaa kitambo tokea kipindi cha kampeni, huyo bodigadi hapo nyuma
 
Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je, Petitman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je, kwanini Makonda ajichukulie sheria mkononi na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya?
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani?
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?
7. Bwana Makonda hii LEXUS LX Nyeusi umeitoa wadi?
8. Ni kwa nini Kila unachokifanya kinadhaminiwa na GSM Foundation. Mnamahusiano gani?
9. Umekamata mateja na wasambazaji. Kwa nini haujamkamata wala Kumtaja Agness Masongange? Punda maarufu Tanzania
10. Kwa nini Petitman apigwe, kwa nini apigwe nyumbani kwako. KWa nini watuhumiwa wengine hawajapigwa?
11. Je Mahusiano ya Kajala na Petitit man kimapenzi unayajua, na Je ushawahi kuwa na mahusiano na Kajala?
12. Umegawa pikipiki nyingi za GSM. Umeyagawa kwa lipi?

Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni suala zito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi

Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwanini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?

Makonda anawashukuru waliomtajia majina ndani na nje ya nchi lakini tume ya maadili na utumishi kwa umma kwa habari hizi watakauka na kujifanya hayawahusu kama ilivyo kwa Magufuli na Samia na Majalwa serikali imeoza imeoza
 
Alianza kuwachoma wenzake ni Makonda,acha na wao wamshulikie,kama si hili sakata la makonda la kuwauza wafanya biashara wenzake kwa polisi ilikuwa hakuna sababu ya wao kwenda kusema chochote kwa polisi,,hiyo ingelikuwa kesi ya umbea ....Huyu mkuu wa mkoa lazima afatiliwe,binafsi naona yeye ndie mdhamini mkubwa ya haya madawa,hofu yangu hata yule dada aliemkodia chumba,yule aliekamatwa South Afrika madawa yalikuwa ya Mkuu wa mkoa
Umeiona orodha ya leo ya Makonda? Mbowe yumo!
 
Kinachosumbua watanzania ni kuanza kusema maovu ya mtu pale anapoingilia anga zao. Mimi ni kati ya watu ambao wanadhani Makonda ni mwepesi sana kwenye kazi ya mkuu wa mkoa, anapaswa kuwa kwenye uenyekiti wa mtaa au vijiji. Ila kuanza kusema maovu yake baada ya aka ka-operesheni kake ka madala ya kulevya itaonekana kama ni kutaka kumpunguza nguvu, mimi nadhani kuna haja ya kuwa-expose watu waovu mapema kabla ya kusubiri hatua kama hii ya Makonda.

..ukiishi kwenye nyumba ya vioo..................?
 
Sio tetesi kilaza wewe,hivi ulishawahi kujiuliza zile zawadi za pikipiki za GSM alizokuwa anagawa Makonda alizipataje au magari ya matangazo (Sound system)ya GSM kutumika katika kampeni za Makonda kusikiliza kero za wananchi wa Dar es salaam miezi michache iliyopita.Kalaga bao...

Sikia we mbulula 1st class,
Hii nchi haiendeshwi kwa majungu na umbea umbea..Hakuna cha kujiuliza hapa, kama una ushahidi weka humu JF au peleka mamlaka husika wamshugulikie. GSM kufadhili au kusaidie kampeni za chama au kiserikali sio kosa la jinai, kwani ni shughuri ngapi za serikali zinatafuta wazamini ambao ni sekta binafsi ?.Tunachotaka ni ushahidi kuwa GSM ni wazungu wa unga.

Hivi unafikiri DPP na DCI wanapeleka umbea mahakamani ? wanapeleka vivid evidence vinginevyo utasikia "Case dismissed". So kama huna cha kuongea "Shut the Fuc* Up"
 
Adui HATARI kabisa ni yule aliye nyumbani kwako . . !

Huwezi kuwa na nguvu nji hii, kama wewe si mwana Chama wa Chama cha Mashetani . .

Na wote wenye pesa, HALALI au HARAMU . . , lazima wachangie/wajiunge/wakiabudu/wawe viongozi wa chama hicho ili kujihakikishia ULINZI wa pesa, nguvu, na mali zao . .

Huwezi kuwa MHALIFU ULIYEBOBEA ktk nchi hii kama wewe uko nje ya chama cha mauza unga . . !

Mtego mbaya kabisa upo ktk Katiba yetu iliyopitwa sana na wakati . . , ndio maana hawataki iguswe . . , wanadai WANAINYOOSHA NCHI KWANZA etii . . !?

Na sinema hii itaisha bila lolote la maana . . , watakamatwa wapiga kelele, akina Tundu Lissu, wanachama wa upinzani, na Drug Lords wataendelea kupeta wakifaidi ulinzi wa chama Chao kitukufu . .
 
Tuombe.....Mola wetu muumba wa mbingu na ardhi tunakuomba utujaalie tufanikiwe katika kutokomeza madawa ya kulevya.
Tunakuomba utuoneshe Batwil ili tuweze kuiacha
Tunakuomba utuoneshe Haki ili tuweze kuifuata.
Aaamin.....
 
Kinachoendelea katikanchi yetuni uongozi kushika kisu mgongoni, yaani kujua naovu ya mwenzako na akiingilia anga zako tu unanmfyatua. Kumbuka sakata la bosi wa TAKUKURU na wabunge, walimoomsakama akasema na yeye akisema anayoyajua bungeni hamtakalika. Unafiki huu umejijenga mno.

Nahisi mimi na wewe baba yetu ni mmoja..maana tunaelewa precisely the same...hahahaha. Just Jokin!
 
Yangu macho.... Mtajane tu list ikifika mwisho msituambie mmewapeleka mahakamani.... Mtuambie mmewafanya nn... Maana hata huko watakutana tu wanajuana... Ikaishia hewani
 
Umeiona orodha ya leo ya Makonda? Mbowe yumo!
List nimeiona kaka,wanasema kama una husiano na mtu anaefanya kazi ya kuhuuza madawa ya kulevya kuna uwezekano mkubwa kuwa na wewe umo katika mtandao;

Kutokana na Audio na Video zilizozagaa mitandaoni Mkuu wa mkoa ana uhusiano na muuzaji mkubwa wa madawa ya kulevya ambae aliwahi kukamatwa South Africa.

Cha kujiuliza kwanini katika list huyu dada hayumo,Je mkuu wa mkoa anaogopa kuwa akimtaja huyu mpenzi wake labda atashindwa kuhimili vishindo vya polisi hatimae siri zitatoka............loading
 
sasa si ukamtaje??
 
Back
Top Bottom