Mtandao wa GSM Foundation, RC Makonda na kinachoendelea...

Mlikua wapi kusema uovu wake toka zamani, hata huyo Wema kama alijua Makonda ana mahusiano ya kimapenzi na Masogange alngoja nini kisema mpaka adakwe na msokoto ndio aseme sasa hata kama kuna ukwel nani ataamini
Sisi timesha amini tayari
 
Hao akina WEMA na PETIT MAN walikuwa wapi siku zote?

Mpaka watiwe hatiani ndipo waanze kusema?

Kuna Mtu anaitwa MANGE KIMAMBI ndio mpotoshaji mkuu kwenye suala hili.

Huyu hapaswi kuchukuliwa serious!

WEMA na huyo mwenzie hawajasingiziwa!
 
Kinachosumbua watanzania ni kuanza kusema maovu ya mtu pale anapoingilia anga zao. Mimi ni kati ya watu ambao wanadhani Makonda ni mwepesi sana kwenye kazi ya mkuu wa mkoa, anapaswa kuwa kwenye uenyekiti wa mtaa au vijiji. Ila kuanza kusema maovu yake baada ya aka ka-operesheni kake ka madala ya kulevya itaonekana kama ni kutaka kumpunguza nguvu, mimi nadhani kuna haja ya kuwa-expose watu waovu mapema kabla ya kusubiri hatua kama hii ya Makonda.
Kweli kabisa mkuu.

Means asingeanza kufuatilia madawa haya yote ya V8 sijui ghorofa tusingeyajua
 
Mleta uzi kaandika vizuri sana kwa wanaoamini katika mijadala, nisichokuwa na uhakika nacho ni kama alisikia pale ilipotamkwa kuwa "makaburi mengine hayafukuliki" na 'mtamkaji' alikuwa ni nani!
Sasa makaburi hayafukuliki kwanini unagonga gonga misalaba na yale mawe ya kwenye pembe za makaburi? Kama huwezi kuyafukua si yapalilie?
 
Sisi haya hayatuhusu, na kwa nini hamkuyaibua haya mapema au mlikuwa mnasubiri haya yatokee ndo na nyinyi muibuke!?
Wamealikana na kuwa na sura moja kama kundi la punda ambao utawatofautisha kwa unene wa mwili tu.
 
Mlikua wapi kusema uovu wake toka zamani, hata huyo Wema kama alijua Makonda ana mahusiano ya kimapenzi na Masogange alngoja nini kisema mpaka adakwe na msokoto ndio aseme sasa hata kama kuna ukwel nani ataamini
Saa nyengine nashindwa kuwafahamu wa TZ,kwahiyo Wema alikuwa akamshitaki polisi Makonda kwasababu ana uhusioano na Masongange,,,,kweli hiyo nayo kesi,au umbea
 
Kama unafahamu yote hayo na una uhakika nayo kwa nini usiende kutoa taarifa pale Central Police? Unadhani JF ni mahala sahihi? Vinginevyo ni majungu tu
Alianza kuwachoma wenzake ni Makonda,acha na wao wamshulikie,kama si hili sakata la makonda la kuwauza wafanya biashara wenzake kwa polisi ilikuwa hakuna sababu ya wao kwenda kusema chochote kwa polisi,,hiyo ingelikuwa kesi ya umbea ....Huyu mkuu wa mkoa lazima afatiliwe,binafsi naona yeye ndie mdhamini mkubwa ya haya madawa,hofu yangu hata yule dada aliemkodia chumba,yule aliekamatwa South Afrika madawa yalikuwa ya Mkuu wa mkoa
 
Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je, Petitman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je, kwanini Makonda ajichukulie sheria mkononi na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya?
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani?
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?

Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni suala zito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi

Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwanini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?

NAHISI UNASAMBAZA UHALALI WA. MISOKOTOYABANGI HUYU MBUNGE ALITAKA KUHALALISHA BANGI UNAJUAJE KUHUSU MADAWA??
 
RAISI ASAIDII WAVUTA BANGI WEWWWE SUBIRIA MWENZIO UKAMTOE KWA DHAMANA NA KESI YA MISOKOTO UJUE UNATETEAA UJINGA
 
Kinachosumbua watanzania ni kuanza kusema maovu ya mtu pale anapoingilia anga zao. Mimi ni kati ya watu ambao wanadhani Makonda ni mwepesi sana kwenye kazi ya mkuu wa mkoa, anapaswa kuwa kwenye uenyekiti wa mtaa au vijiji. Ila kuanza kusema maovu yake baada ya aka ka-operesheni kake ka madala ya kulevya itaonekana kama ni kutaka kumpunguza nguvu, mimi nadhani kuna haja ya kuwa-expose watu waovu mapema kabla ya kusubiri hatua kama hii ya Makonda.
Sina shaka na tabia ya kusema madhambi ya mtu baada ya kuwa umekorofishana naye. utaratibu huu ukiendelea tutapunguza watuhumiwa wengi kwa njia hii. Baya ni kupakazia mtu.
 
Crashing of titans [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom