Mtandao wa GSM Foundation, RC Makonda na kinachoendelea...

Acha waendelee kubamizana ili tujue mengi zaidi!
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Mimi ni mmoja kati ya watu wanaoamini,labda kwa umri wake na uzoefu wake,Jiji la Dsm limekuwa kubwa sana kwa kijana wetu Makonda.Anapendà kuacha legacy fulani,lkn basi juhudi zake zinashindikana kwasbb kuna mizizi fulani ilishasimikwa.

Lakini pia mi pia namuunga Makonda kwa hatua yake hii dhidi ya madawa.Hawa kina TID ni "bangusilo" tu,nadhani ndio gari imewashwa!!Hii Collabo ya Ngosha na huyu dogo sio ya kuibeza sana.Mmoja anatumwa na mwenzke kusafisha njia kwanza.

Namuunga mkono Makonda sbb mimi ni mmoja wa wahanga wa haya madawa.Mtoto wa dada yangu niliyemsomesha toka kidato cha kwanza mpaka chuo,tulimpeleka Chuo cha Ustawi wa Jamii akiwa anasomea mambo ya Industrial Relations,lkn kwa sasa ni teja,kutoka kumlipia ada hadi kumlipia hela ya Rehab Kigamboni.Na wauzaji aliokuwa mteja wao ni hao jamaa wa Bamaga hapo.Pale wanatuulia vijana wetu.

Nikisikia madawa huwa naumia sana!!Sina tu cha kufanya...Mpwa wangu amekuwa teja,japo kwa sasa anaweza kurudi barabarani.Lakini hao jamaa hapo Bamaga kwa nyuma ndio wameniharibia kijana wangu.

Hawa GSM nao licha ya kuwa tunampa support Makonda,nao tuwamulike:

1)Ndio walidhamini kampeni ya "Bonanza la Afya" pale Mnazi Mmmoja aliloitisha Makonda.Yaani badala ya kuboresha huduma za afya,wao wanaitisha bonanza

2)Ndio walidhamini mabango yote mtaani ya Makonda ktk ile kampeni iliyoanzishwa ya kupanda miti.Mabango yote yale Jiji zima,na mpaka leo mengine yapo,wadhamini ni GSM.(ilikuwa kampeni ya kukabiliana na UKUTA)

3)Hawa ndio Makonda alivyoahidi kujenga jengo la BAKWATA,hawa GSM ndio wanatoa pesa za kujenga jengo hili la ghorofa na kumkabidhi Mufti wa BAKWATA.

4)Hawa GSM ndio walidhamini lile Kongamano la bodaboda wa Dsm kwa kununua helmet na reflectors zaidi ya 1500 na kukutanisha bodaboda wa Dsm pale Leaders Club.

5)Ndio walidhamini safari ya US

6).......,,Mengine mengi tunayahifadhi kwa sasa

Kwa hiyo ni kweli lazima kujiuliza,ktk kuweka mizania sawa.....Wana nini na Makonda hawa??
walidhamini ile tour ya Dar mpya pia"
 
Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je, Petitman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je, kwanini Makonda ajichukulie sheria mkononi na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya?
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani?
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?

Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni suala zito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi

Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwanini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?

Duh ukawa kwa tamthilia .
 
mtoa mada naona unatumiwa na wewe naona ni muuza sembe, hivi kwanini hawajakukamata
 
Kilemakyaaro Duniani kuna kusitiriana madhaifu. Sasa unapoanza kuyaweka hadharani madhaifu ya mwenzako usianze kupiga kelele madhaifu yako yanapowekwa hadharani. SWALI la kujiuliza ni kwa nini orodha ya Paul ifanyiwe kazi lakini orodha ya wengine tujitetee kuwa na makaburi yasiyofukunyulika?
 
Mimi ni mmoja kati ya watu wanaoamini,labda kwa umri wake na uzoefu wake,Jiji la Dsm limekuwa kubwa sana kwa kijana wetu Makonda.Anapendà kuacha legacy fulani,lkn basi juhudi zake zinashindikana kwasbb kuna mizizi fulani ilishasimikwa.

Lakini pia mi pia namuunga Makonda kwa hatua yake hii dhidi ya madawa.Hawa kina TID ni "bangusilo" tu,nadhani ndio gari imewashwa!!Hii Collabo ya Ngosha na huyu dogo sio ya kuibeza sana.Mmoja anatumwa na mwenzke kusafisha njia kwanza.

Namuunga mkono Makonda sbb mimi ni mmoja wa wahanga wa haya madawa.Mtoto wa dada yangu niliyemsomesha toka kidato cha kwanza mpaka chuo,tulimpeleka Chuo cha Ustawi wa Jamii akiwa anasomea mambo ya Industrial Relations,lkn kwa sasa ni teja,kutoka kumlipia ada hadi kumlipia hela ya Rehab Kigamboni.Na wauzaji aliokuwa mteja wao ni hao jamaa wa Bamaga hapo.Pale wanatuulia vijana wetu.

Nikisikia madawa huwa naumia sana!!Sina tu cha kufanya...Mpwa wangu amekuwa teja,japo kwa sasa anaweza kurudi barabarani.Lakini hao jamaa hapo Bamaga kwa nyuma ndio wameniharibia kijana wangu.

Hawa GSM nao licha ya kuwa tunampa support Makonda,nao tuwamulike:

1)Ndio walidhamini kampeni ya "Bonanza la Afya" pale Mnazi Mmmoja aliloitisha Makonda.Yaani badala ya kuboresha huduma za afya,wao wanaitisha bonanza

2)Ndio walidhamini mabango yote mtaani ya Makonda ktk ile kampeni iliyoanzishwa ya kupanda miti.Mabango yote yale Jiji zima,na mpaka leo mengine yapo,wadhamini ni GSM.(ilikuwa kampeni ya kukabiliana na UKUTA)

3)Hawa ndio Makonda alivyoahidi kujenga jengo la BAKWATA,hawa GSM ndio wanatoa pesa za kujenga jengo hili la ghorofa na kumkabidhi Mufti wa BAKWATA.

4)Hawa GSM ndio walidhamini lile Kongamano la bodaboda wa Dsm kwa kununua helmet na reflectors zaidi ya 1500 na kukutanisha bodaboda wa Dsm pale Leaders Club.

5)Ndio walidhamini safari ya US

6).......,,Mengine mengi tunayahifadhi kwa sasa

Kwa hiyo ni kweli lazima kujiuliza,ktk kuweka mizania sawa.....Wana nini na Makonda hawa??

Kudhamini sidhani kama kuna ubaya, kibaya ni source of fund kama ni drugs.
Makonda hafanyi hii kazi kwa manufaa yake, kama GSM wanahusika watatajwa maana ukimbana mtumiaji atamtaja pusha wa kete, pusa wa kete anamtaja suppliers wake na mwisho wa siku kingpin watatajwa kwa mfululizo huo, so kama GSM wamo tusubiri watatajwa na ikumbukwe pia makonda hausiki na kuminya users bali ni kazi ya polisi ambao kwa vyovyote hawafungamani na GSM unless otherwise.
 
Kinachosumbua watanzania ni kuanza kusema maovu ya mtu pale anapoingilia anga zao. Mimi ni kati ya watu ambao wanadhani Makonda ni mwepesi sana kwenye kazi ya mkuu wa mkoa, anapaswa kuwa kwenye uenyekiti wa mtaa au vijiji. Ila kuanza kusema maovu yake baada ya aka ka-operesheni kake ka madala ya kulevya itaonekana kama ni kutaka kumpunguza nguvu, mimi nadhani kuna haja ya kuwa-expose watu waovu mapema kabla ya kusubiri hatua kama hii ya Makonda.

Wauza ngada wamekuja juu,, watanzania wanafiki sana,,mtu amejitolea kupambana na ishu ya drugs mnaanza kumsakama,, kwaiyo mnataka nani aswa apambane na ilo suala la drugs,,au serikal iache tu watu na nguvukazi iendelee kuangamia na madawa
ya kulevya,,, pamoja na mapungufu yake Makonda lakini ktk ili nadhani ingestahili aungwe mkono na aende mbele zaidi kwa kuwakamata na wale mapapa akubwa,,
 
Duuuu Kweli nimeamini Kuna watanzania wanapenda kuona vijana wakiangamia kwa madawa YA kulevya, na wasiwasi hawa wanaopinga juhudi za RC Makonda na Wao watakuwa washirika wakubwa wa Hii biashara
 
Kwani mtuhumiwa ni wema peke yake, mbona watanzania tumekua watu wa ajabu sana. kwanza huyo wema ukiangalia maisha anayoishi si mtu wa kumtetea kama unaipande jamii yako kwa sababu yeye ni kioo cha jamii lakini kuna ushenzi anaufanya unaopelekea ndg
 
Iko hivi...RC alimkamatisha petitman kwa kumwambia aje na Kazi(unga)...jamaa bila ya kujua akaenda nao...baada ya kufika kwa RC baada ya dk chache wazee wakatia timu...
Jamaa akakamatwa na kidhibit ubaoni...
....jamaa kalegezwa kinoma noma(kupigwa) kabla ya kumpeleka kituoni....

RC kamsalit petitman maana ni rafik yake...

Hii ndo Tz bana.....NIMEOTA.
 
Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je, Petitman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je, kwanini Makonda ajichukulie sheria mkononi na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya?
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani?
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?

Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni suala zito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi

Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwanini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?

Yaani watanzania wanatakiwa kuitwa maajabu ya dunia ...eti kisa Makonda kawatia sekeseke sasa wanaanza kumsema, ni kwanini hamkusema mda ule wa tukio mmesubiri leo?
 
Hiyo vx na Magorofa hayatuhusu msihamishe mjadala wa ngada
 
Natumai jibe litaatikana pamoja na haki

Aseee kazi kweli kweli. Mnajitahidi sana kuzuia vita hii ya madawa ya kulevya Mkuu mbona mmeshindwa mapema sana? Makonda aliwatangaza hadharani, akaagiza jeshi la polisi kuwafuatilia na kuwakamata na leo baadhi wapo mahakamani. Ni utaratibu mzuri tu wa kisheria na haki. Kama Makonda alimpiga mtuhumiwa basi ni habari nyingine. Nenda polisi toa tuhuma zako polisi watakwenda kumkamata makonda na atafikishwa mahakamani. Lakini mara kaenda marekani, or ana gari. Usiwatete sana wala unga labda alienda kwa Makonda kumtukana? si unajua hasira. Mimi ninawaomba Mumvumilie Makonda haya yataisha tu na haki itapatika. Muwaeleze akina Wema na Huyo Petit wenu Mchezo huu hautaki hasira unaweza kupata kifungo jela kabla ya kesi ya Msingi. Be Carefully!!!!
 
Kitu cha muhimu kwa sasa ni kwamba jamii yetu ina tatizo la matumizi ya madawa ya kulevya. Intervention inahitajika haraka iwezekanavyo. Haiwezekani aje malaika toka mbinguni aje aanzishe vita hii, ni lazima vita hii ianzishwe na kuendeshwa na mmoja wetu. Kama tunakubalina na ukweli huu basi lazima yeyote ambaye atayejitokeza atamulikwa sana kwa sababu hii ni biashara ambayo watu wamejipatia fedha nyingi na hawako tayari kufanya kitu kingine
 
Mm nilivyo nilewewa huli Saga.....ni hivi...GSM, rz, kinje...ni wana mtandao katika biashara chafu zikiwemo hizi za madawa. hivyo kuna mtandao ambao ni untouchable wanataka ku~dominate hii biashara na kuwaondoa wasumbufu wote na wanao iga biashara zao. jiulize kwann Masogange hajatajwa? tujiulize na tuhoji marafiki wa Makonda hasa GSM wanafanya biashara halali? je ni kweli makonda amempangia Nyumba Masogange?
 
Bora mumuache tu makonda aendelee na kazi yake lakini mkishindana nae mtamuongezea hasira tu,watu wakikaa kimya mwenyewe atatulia na hasira zake zitakwisha na busara zitamuingia.Mkianza kumsingizia mambo hatoweza kutumia busara
 
Back
Top Bottom