Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je, Petitman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je, kwanini Makonda ajichukulie sheria mkononi na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya?
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani?
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?
7. Bwana Makonda hii LEXUS LX Nyeusi umeitoa wadi?
8. Ni kwa nini Kila unachokifanya kinadhaminiwa na GSM Foundation. Mnamahusiano gani?
9. Umekamata mateja na wasambazaji. Kwa nini haujamkamata wala Kumtaja Agness Masongange? Punda maarufu Tanzania
10. Kwa nini Petitman apigwe, kwa nini apigwe nyumbani kwako. KWa nini watuhumiwa wengine hawajapigwa?
11. Je Mahusiano ya Kajala na Petitit man kimapenzi unayajua, na Je ushawahi kuwa na mahusiano na Kajala?
12. Umegawa pikipiki nyingi za GSM. Umeyagawa kwa lipi?
Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni suala zito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi
Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwanini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?