Mtandao wa Gazeti la Tanzania Daima una virusi

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,169
10,786
Kwenu Tanzania daima:

Ni siku ya sita sasa kila nikifungua mtandao wa Tanzania Daima (Tanzania Daima - Sauti ya Watu) naona una virusi.

Nimejaribu kompyuta tatu tofauti naona tatizo ni hilohilo, Hili tatizo halikuwepo siku za nyuma.

Nimeweka hapa hili tangazo hili mrekebishe hilo mkiweza.

Sijawatumia e-mail moja kwa moja, kwa sababu hakuna e-mail yeyote niliyoishawahi kutuma (kwa miaka 2 sasa) nikajibiwa hata zile nilizotoa information muhimu kabisa.

Hii sina tatizo nalo nilishaconclude kuwa mna poor customer care!

waberoya
 
Mbona kwangu hakuna matata kamanda.Tusubiri maoni ya GT
 
Mbona kwangu hakuna matata kamanda.Tusubiri maoni ya GT

Inawezekana your computer iko 'juu'

natumia Mcafee, na ofisini antnorton, zote zinaonyesha

detected as JS/Obfuscated

detection type trojan

haikuwa hivi mwanzoni, unajua kirusi cha trojanni normal sasa, na almost antivirus zote zina weza kusafisha, lakini kama mtandao una virus ni alama ya kirusi kingine kibaya zaidi kupita root hiyohiyo( sijui siyo mtaalamu wa kompyuta)!

na ninakuwa naogopa kufungua kwa sababu hiyohiyo , naona nitumie pc ya ofisini ....si unajua tena fedha za kuungaunga hizi

asante

waberoya
 
Kwenu Tanzania daima:

Ni siku ya sita sasa kila nikifungua mtandao wa Tanzania Daima(Tanzania Daima - Sauti ya Watu) naona una virusi.

Nimejaribu kompyuta tatu tofauti naona tatizo ni hilohilo, Hili tatizo halikuwepo siku za nyuma.

Nimeweka hapa hili tangazo hili mrekebishe hilo mkiweza.

Sijawatumia e-mail moja kwa moja, kwa sababu hakuna e-mail yeyote niliyoishawahi kutuma (kwa miaka 2 sasa) nikajibiwa hata zile nilizotoa information muhimu kabisa.

Hii sina tatizo nalo nilishaconclude kuwa mna poor customer care!

waberoya

Sidhani kama hiyo email ya freemedia wanaitumia. Watumie kwenye daimanews@yahoo.com au mtumie mhariri kupitia absakib@yahoo.com. Kwani web manager wao ni nani? Maana wanachelewa sana ku-update!

PM
 
Ni kweli hata mimi tatizo hilo nimeliona kama mara mbili nilipofungua "Tanzania daima " system yangu ikanialifu kuwa imedetect kirusi!!
 
Leo nimejaribu kuingia kwenye tovuti ya gazeti la Tanzania Daima nikakuta bado kuna toleo la tarehe 18 Januari 2009, Jumapili. Kibanda na wenzako, tafadhali tuleze kunani huko? Mmekumbwa na balaa gani?
Tanzania Daima - Sauti ya Watu
 
afadhali wewe hata hiyo umeona mimi sijawahi kuona sura ya Tanzania Daima toka mwezo October 2008, haifunguki kabisa. nimekwenda hata internet bar bila mafanikio.
 
afadhali wewe hata hiyo umeona mimi sijawahi kuona sura ya Tanzania Daima toka mwezo October 2008, haifunguki kabisa. nimekwenda hata internet bar bila mafanikio.

Nziku,

Pole sana. Naamini Mr Kibanda (Mhariri wa Tanzania Daima) na timu yake watasikiliza kilio chetu na wengine ambao wanapata shida.
 
Mimi kila nikiattempt kufungua nakumbana na virus !!

opaque-albums-op-pics-picture332-virus.jpg
 
DC

Umefanya la maana kuulizia,nilihisi nakosea kufungua maana kila siku habari ileile.

Watusaidie maana wengi tunategemea habari za magazeti yetu kupitia mitandao.
 
Thanks mkuu Mfumwa. Nimejaribu kuifungua website hiyo huku nikiwa nimeongeza /daima mbele ya link niliyokuwa naitumia, na imefunguka vizuri tu bila alert yoyote ya virus. That's why I like JF !! Ila inabidi jamaa wamuambie webmaster wao awe anaupdate news, lakini sijui, huenda ni swala la kibiashara zaidi!
 
washazoea vya Bure!!!....halafu ndio gazeti mbadala!!!...Tunakazi watz ya kupata serious people ktk nchi yetu!!!
 
Thanks mkuu Mfumwa. Nimejaribu kuifungua website hiyo huku nikiwa nimeongeza /daima mbele ya link niliyokuwa naitumia, na imefunguka vizuri tu bila alert yoyote ya virus. That's why I like JF !! Ila inabidi jamaa wamuambie webmaster wao awe anaupdate news, lakini sijui, huenda ni swala la kibiashara zaidi!

Webmaster wao anaweza kuwa na matatizo kuongeza stori kwenye page lakini kuhusu matatizo ya website nadhani wakulaumiwa ni africaonline kwa sababu nadhani wamefanya mabadiliko ambayo yameleta usumbufu mkubwa. nawafahamu watu kadhaa na taasisi ambazo zimeathirika na mabadiliko yaliyofanywa na africaonline
 
Hello JF

Kama kuna mtu anawafahamu hawa ma system administrator wa Tanzania Daima - Sauti ya Watu kuna virus kwenye web site yako toka mwanzoni mwa wiki hii...sijui wiki iliyo pita ila kila mara uingiapo kwenye sekunde 8 kabla ya kwenda kwenye tanzania taima kuna virus anakuwa detected aitwai Trojan.maliframe!html...

Sijui kama wameshapata malalamiko haya...ila kwa kuboresha web yao na kupata wasomaji ni vyema wakashughulikia hili....

Regards
Buswelu
 
Back
Top Bottom