Mtakufa nyie, mie nitawazika

Mtakufa nyie, mie nitawazika

Hayo maneno ukimwambia mdemokrasia kama kikwete atacheka tu na kukuambia nenda kijana ila ukimwambia mjamaa magu utapigwa kipondo kwa order maalum

Kukaza fuvu ni maneno ya vijana yakimaanisha kubisha hata Obama au trump asinge mind so hamna dharau hapo mkuu
😀😀 sisi wajamaa tuna visukari mkuu kuwa makini.

Unakumbuka yule jamaa(Mayalla kama sikosei) alimuulizwa swali Magufuli.

Magufuli hakumjibu ila ilimwambia jina lako kwa kilugha Chetu ni njaa so inawezekana kijana una njaa.
 
Twende taratibu Mkuu kwani nilicho kwambia ni uongo?

JK atakufa wakati wake ukifika kama una imani tunasema(Mungu akipenda) sio kwa mapenzi yako wewe mwanadamu.

Kama unabisha muue basi kwa amri yako kesho asubuhi tumzike.
Huyo ni maiti tayari kama hujui.
Haya unayosema wewe kayasema yeye ni harufu tu inayotokana na hali yake ilivyo.
 
😀😀 sisi wajamaa tuna visukari mkuu kuwa makini.

Unakumbuka yule jamaa(Mayalla kama sikosei) alimuulizwa swali Magufuli.

Magufuli hakumjibu ila ilimwambia jina lako kwa kilugha Chetu ni njaa so inawezekana kijana una njaa.
Ndio ujima wenyewe ninaouzungumzia kwa maana mtu hataki mawazo mbadala mzee wa msoga anakwambia "wazo halipigwi lungu" sasa kusema mtu anakaza fuvu ni wazo tu kwanini nipigwe lungu mkuu
 
Tuko pamoja mkuu tulishatoka huko kwenye kukaza fuvu.
 
Mwalimu alisema ana hakika ya kumuona raisi wa awamu ya nne. Hakufika.

Kifo kina siri kubwa.
 
Sasa mtu kama wewe utajuwaje hoja?
Mkuu nilikwambia.

JK atakufa wakati wake ukifika kama una imani tunasema(Mungu akipenda) sio kwa mapenzi yako wewe mwanadamu.

Kama unabisha muue basi kwa amri yako kesho asubuhi tumzike.

unakuja kusema oohoo Jk tayari ni maiti kivi yani(au siku hizi maiti zina pumua)?
 
Kwa kuwa wewe ni mjinga huwezi kuelewa chochote unachoambiwa.
Huyo mtu wako ni maiti ytayari.
 
Punguza chuki Mkuu mzee bado yupo yupo time yake itafika ila sio kwa wewe kutaka.
Chuki ipo wapi. Nikukufahamisha tu wewe unayejitoa akili kichwani kutooana hali halisi aliyo nayo huyo unayemtumikia.
 
Back
Top Bottom