Mtakufa nyie, mie nitawazika

Mtakufa nyie, mie nitawazika

1789303437014.jpeg
 
Alafu zikija list za matajiri duniani watu hao huanza kukalamika kwamba watu wao kutoka nchi yao mbona hawapo.
Ujamaa ushaangukia pua na raisi ajae asiendekeze ujamaa atatoka madarakani kwa aibu zama hizi huwezi kulazimisha serikali imiliki pesa yalimshinda nyerere miaka ya 60 huko akang'atuka kwa aibu itawezekana leo

Watu waache fikra za kijima mtu kumiliki utajiri sio ufisadi serikali haiwezi kumili fedha na ikafanya biashara na ikashinda watu waachwe wamiliki pesa ndio uchumi unataka hivyo
 
Mwl.Nyerere hapasi kuonekana mzembe kwasababu mwanzo ni mgumu.

Hawa viongozi wa leo wakishindwa ndiyo wanapaswa kuhojiwa kwasababu kila kitu kipo open uchumi unajielezea wenyewe waziwazi.
 
Miaka 20 wasema mwanzo hapana hadi kambona alimuambia akakaza fuvu matokeo yake nchi imekuja kuokolewa na mwinyi huo ndio ukweli ujamaa ulishashindwa sera za ujamaa ni za kijima kuishi kwa dhiki kwa kulazimisha serikali imiliki ardhi, mitaji na biashara badala ya watu. Serikali kazi yake kukusanya kodi na kuwawezesha watu kumiliki fursa za kiuchumi
 
Back
Top Bottom