fact only
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,228
- 3,544
- Thread starter
- #41
Of course alikosea kwa wakati ule ndiyo maana akaachilia mawazo mpya ya mzee Mwinyi ila Mwl.Nyerere hakuwa mzembe kwa wakati wake.Miaka 20 wasema mwanzo hapana hadi kambona alimuambia akakaza fuvu matokeo yake nchi imekuja kuokolewa na mwinyi huo ndio ukweli ujamaa ulishashindwa sera za ujamaa ni za kijima kuishi kwa dhiki kwa kulazimisha serikali imiliki ardhi, mitaji na biashara badala ya watu. Serikali kazi yake kukusanya kodi na kuwawezesha watu kumiliki fursa za kiuchumi
Kambona aliona ndio, mbona hata wewe leo unaweza kushauriwa jambo zuri na mke wako, rafiki, mama yako au mtu yeyote wa karibu yako na ukapinga kwa kuona kama sio ushauri mzuri kwa wakati huo alafu baadae unakuja kutambua kumbe walikuwa sahihi.
Vipi tukuite wewe ni mjinga au ni bado ulikuwa haujajua ukweli kwa wakati huo na sio kwamba wewe ni mjinga?