malivawan10
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 541
- 310
Zito hana jipya yupo kwa ajil ya tabaka tawala
Nasema tena: Zitto bado ana fursa ya kukua ndani ya CDM na sijamdelete bado pamoja na yote hata.
Tatizo langu kubwa ni hawa wapambe, wanachefua sana. Hivi Zitto akiwa rais hawa si ndio watakuwa washauri wake???
Kama unaongelea ubora wa Zitto kuna ulazima gani wa kubomoa wengine?? Mnyika, Wenje, Sugu n.k wanaingiaje kwenye hoja ya umahiri wa ZK??
ZK talk to your boys: hakuna haja ya kukutetea acha hiki kimbunga kitulie then come out humbly na waeleze viongozi wenzio yote unayoyajua kisha kubali ushauri wao na maamuzi yao.....
Usifanye kosa la kutoshughulikia jambo hili maana linaweza kutulia lakini mark my words, litakuandama siku za usoni na wapinzani wako watalitumia kama kuna siku umetapata fursa ya kugombea uongozi wa juu iwe kwenye chama ama kwingineko....
mazezeta mnateseka sana poleni sana ila mjue kwamba zitto hazuiwi,fanyeni lolote ila mlijue hilo
Kweli mlitengeneza ID nyingi
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiw
a atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa
wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwna atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Masalia PM7 munachekesha munavyofurukuta mkasafisha huyu mweshimiwa mr Matunguri Zitto kwa kauli yake muuwa mapanya ha ha ha too late hata mumkoshe kwa jiki mchawi yule yu mtupu by the way masalia mumesikia Lema karudi kwa kishindo anataka aondoke amesimama hapati hiyo nafasi mumiani wa kisiasa zitto
Piriton Mara huwa hamna watu wenye akili finyu kama hizo zako wakiamua mtu wao hawageuki na wala huna uwezo wa kuwashawishi wamchague nani usijitafutie ujiko kwa wasiokufahamustupid- like,jenga hoja we nyani usikurupuke kama ke..,kama kenge
We mnafiki umetumwa kuongea upuuzu kama huu mpumbavu, uko nyuma yake peke yako usituchanganye wana mara wapenda hakiHili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!