Mtake msitake Zitto ni jembe

Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.
Kaanzishe uzi wako na uandike hayo!
Msaliti habadiliki kamwe!
mi nafikiri baada ya kumshambulia zzk mje na hoja ya utendaji wa mbunge mmoja mmoja wa chadema alivyotenda vyema ktk jimbo lake kumshinda zitto kabwe. Mapenzi yetu yasitufanye tuwe vipofu wa kuuona ukweli.
 
Zitto anatakiwa aangalie alikoteleza si alikoangukia

niambieni zitto aliteleza wapi? Acheni ushabiki usiofaa.Ni vizuri ubaya wa ztto ukawekwa wazi kuwa alifanya au anafanya moja,mbili na kuendelea ili nasi tujue ubaya wake na siyo kuburuzwa kwa maslahi ya waroho wanaoona zitto ni tishio kwao.zitto amesemwa sana na tena sana,kundi linalomwandama zitto limeandaliwa na hilo liko wazi likiratibiwa na jmnyika.wanachotakiwa kujua ni kuwa zitto siyo mchanga kwenya siasa kama ilivyo kwa wapuuzi wanaomwandama,ni kati ya vijana wachache waliokomaa kisiasa,wanaoendesha siasa za urafiki siyo siasamajitaka kama vijana wengine walivyo ndani ya chadema! Zitto akipiga picha na jk ni kosa,maajabu kweli! Chadema hawakumtambua kikwete kama rais mara baada ya uchaguzi wa 2010,hao hao wapuuzi tukashuhudia wanaongozana kwenda ikulu,juzijuzi tu mwenyekiti wao mbowe amemsifia sana jk mbele ya umma wa watz,njaa ni mbaya sama! Chadema kuna tatizo,jiangalieni sana la sivyo mtazika chama
 
Zitto, Zitto! Ni yule anayetaka Katiba ya nchi ibadilishwe ili aweze kugombea? Anayetaka ujana iwe ni sifa muhimu kuwa Rais wa nchi?

Labda iko siku atajifunza maana naona siku hizi kaachana na zile suti zenye mabega mustatili.

Kwani amesha tueleza urafiki wale na Rais unahusu nini? Na makamba je urafiki wao ukoje?

He is just another kappo in this coming (2015) film.
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

Next time usikubali kupost thread kwa ushabiki au kumfurahisha mtu mwingine, ni afadhali ukapost pumba lakini inatoka kwako moja kwa moja.

Sema wewe uko nyuma yake na sio watz, binafsi siko nyuma ya mshirikina.Mambo yote unaweza sema amesingiziwa, lakini hili la kujivunia uchawi!.. limevunja mpini wa jembe na kumaliza makali yote ya jembe.
 
ZITO,hawa wanaokutetea kama hujawatuma basi wakanye,namna wanavyokutetea ni sawa na kukubomoa maana
wanakuchonganisha na viongozi wenzio na hasa wanapotaja majina yao ili hali watajwa wametulia na wanaendelea na kazi zao binafsi na zile za ujenzi wa chama.

Tena mbaya zaidi wanaunga mkono swala la kipuuzi lililoibuliwa na PUNGUANI NAPE,swala la kadi ya Dr SLAA.
vINGINEVYO MDOGO WANGU ZITO,inatufanya tuamini kwamba wewe ni kibaraka wa CCM,kuleta mvurugano
ndani ya chama chako
 
Hakuna anebisha kuwa Zitto anao uwezo mkubwa tu wa kisiasa. Watu wanataabika juu ya CHARACTER yake. Kuwa na akili ni suala moja, kuwa na mwenendo (CHARACTER) nzuri ni suala lingine ambalo mara nyingi halihusiani na kuwa na akili.

Kuna watu wengi sana CHADEMA ambao hawana uwezo mkubwa wa kujenga hoja. Lakini tunapenda Kujitoa kwao kutumikia wananchi kwa mioyo yao yote. Hawana Uchu wa madaraka, hawatumii uchawi kutishia wenzao maisha, Sio arrogant etc.

Issue sio jembe, isuue ni Uroho na jeuri.
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

Huyu wala sio Masalia M-7, huyu ni gamba tena gumu na fisadi mkubwa. Anatumia udhaifu huu wa Zitto kwa kuongeza chokochoko nyingine akidhani kuwa anazidi kuipigilia msumali zaidi CDM. Huyu wala hana nia ya kumsifia Zitto, lengo lake ni kutia porojo zaidi akidhani kuwa anaiharibia zaidi CDM. Jitu zima hovyo!! Nenda kajipange upya mwehu we!
 
SAWA..... NI JEMBE LINALOHITAJI MPINI! Mara ni wanaume we mlisya, na tuna msimamo! hatuyumbiyumbi kama huyo dogo. mwenyewe unaona umemsafishaa! hujui ndio unazidisha hasira za watu kwa huyo dogo!?
nafikiri anaetoa hizi statement atakua ni dogo mwenyewe! unless otherwise dogo angeshawaambia waache kwanza huu upuuzi kwani bahari ishachafuka! na kwa kukaa kimya yeye na hawa misukule angewin sympathy kwa wale wanaomshambulia. but his arrogance ya kutowakataza hawa vilaza kukaa kimya inathibitisha either ni yeye au anawatuma misukule yake kuleta ushuzi hapa jamvini! bt kwa jinsi upepo unavyovuma harufu yote inaishia puani mwake! what a stupid game!
 
Next time usikubali kupost thread kwa ushabiki au kumfurahisha mtu mwingine, ni afadhali ukapost pumba lakini inatoka kwako moja kwa moja.

Sema wewe uko nyuma yake na sio watz, binafsi siko nyuma ya mshirikina.Mambo yote unaweza sema amesingiziwa, lakini hili la kujivunia uchawi!.. limevunja mpini wa jembe na kumaliza makali yote ya jembe.

umebanwa haja kubwa,nenda chooni kakamue kila kitu kisha ufikirie upya,nadhani utapost kitu cha maana.Wewe ulivyo na akili ya kulazimisha unadhani kila anayekuja na hoja ya kumtetea zitto ametumwa,acha ujuha wewe.Eti zitto hafai,nyie hamfai kweli
 
Oya..kuwa Zitto ni jembe hatukatai lkn tusiwe basi watu wa kuchafua viongozi wengine wa chama chetu kwa ajili ya tatizo la,Zitto kutaka,kugombea,urais pia tujue swala la kutoa Rais kwa chama chetu kichanga ni utaratibu wa kamati kuu ya chama na wala sio mtu kutoka na maamuzi yake na kutaka kugombea bila kupitishwa na kamati kuu ya chama..nawaomba watu wanaye ijua siasa si kuponda viongozi wa chama bali nikuchambua ni kivipi chama kitachukua dola 2015....
 
Zitto yuko fit,huwezi mlinganisha na waliokimbia shule akina mbowe,dogo anajua kujenga hoja! Na hata akisimama bungeni kila mtu huwa makini kumsikiliza!
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

thread ya tisa ya kumsafisha zitto.............. kweli shoka moja mbuyu chini, Ben alipiga moja tu, sasa mnara wa babeli unapururuka
 
umebanwa haja kubwa,nenda chooni kakamue kila kitu kisha ufikirie upya,nadhani utapost kitu cha maana.Wewe ulivyo na akili ya kulazimisha unadhani kila anayekuja na hoja ya kumtetea zitto ametumwa,acha ujuha wewe.Eti zitto hafai,nyie hamfai kweli

Afadhali nimejua kuwa tatizo lako ni kubwa kuliko nilivyokuwa nadhania, sometimes hata mpumbavu akinyamaza huonekana ana hekima.
 
Sawa kaka, hatukatai ila sio ndio anaweza kugombea urais maana bado hajakomaa kisiasa ila yuko vizuri kisiasa hata mie namkubali lkn tusitumie hoja ya Zitto kutaka kugombea urais kuchafua viongozi wengine wa chama maana tutajenga misunderstanding kati yao..wote wanaweza kwahiyo tukubali hilo bila kutofautisha umakini walionao.
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

Na wewe umejiunga JF kwa ID hii lini? Natumia simu ya kichina muda huu, ndio maana nimekuuliza, otherwise ningejua!
 
Binafsi simkubali, hivyo jisemee nafsi yako siyo kujidai unawasemea watanzani wala wa kanda ya ziwa. Mimi hapa ni Mtanzania na ni wa kanda ya ziwa. Big no simkubali Zitto.
 
Sawa kaka, hatukatai ila sio ndio anaweza kugombea urais maana bado hajakomaa kisiasa ila yuko vizuri kisiasa hata mie namkubali lkn tusitumie hoja ya Zitto kutaka kugombea urais kuchafua viongozi wengine wa chama maana tutajenga misunderstanding kati yao..wote wanaweza kwahiyo tukubali hilo bila kutofautisha umakini walionao.

Umesahau kusema kuwa anaamini kuwa uchawi ni deal!
 
Oya..kuwa Zitto ni jembe hatukatai lkn tusiwe basi watu wa kuchafua viongozi wengine wa chama chetu kwa ajili ya tatizo la,Zitto kutaka,kugombea,urais pia tujue swala la kutoa Rais kwa chama chetu kichanga ni utaratibu wa kamati kuu ya chama na wala sio mtu kutoka na maamuzi yake na kutaka kugombea bila kupitishwa na kamati kuu ya chama..nawaomba watu wanaye ijua siasa si kuponda viongozi wa chama bali nikuchambua ni kivipi chama kitachukua dola 2015....

alichokifanya zitto ni kutangaza nia yake ya kugombea urais,kipi alikiuka? Akipitishwa na chama chake vema, asipopitishwa pia shwari na alisema atamsupport atakayepitishwa! Tatizo linatoka wapi? Lack of reasoning is the problem,an idiot like- habit most of tanzanians face!
 
acha ujinga wee nguchiro;nani salia? Mpuuzi nini,safari hii mtaweweseka sana nyie mang'ombegenge,hamna jipya! Mmebaki mkilalama tu khs zitto,wimbi la zitto linawatesa eeh,jinyongeni! Zitto yuko imara na tayari ameshatangaza kugombea urais kupitia chadema! Mnamwamini sana slaa,lile ni debe tu kaishiwa sera sasa,ile ya ufisadi imechuja sasa, hana jipya apumzike

Hahahaaa wee kweli kinanda eti ametangaza kugombea urais...labda awe rais wa waganga wa kienyeji au rais wa ti efu efu. Ivi unafikiri zitto anachochote? Kama hoja iliyomweka ktk peak ni ile ya buzwagi ambayo ilikua ni study aliyokua amefanya Tundu lisu and by that time tundu lisu alikua sio mbunge na alikua ashapambana sana na serikali, so the remaining technique was to pass that kwa zitto! Nikwambie tu zito hamfikii Sugu kama unazungumzia mtaji wa wananchi, hamfikii Lema kwa chochote. Najua unalipwa kuja kujibu post na kila thred mnalipwa elfu mbili fanya kama kazi ila ukweli uyo kiazi wenu zito hawez kua rais wa hii nchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom