Mtake msitake Zitto ni jembe

Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.
Masalia huna aibu nakumbia wewe na mshirikina wako aliyekutuma pambafu enu hamna shape ya kuendelea kubaki kwenye chama makini mkafie mbali hatuwataki. Na Mboye na Slaa waelezwe kabisa maana sasa huyu mshirikina akienda kwenye mikutani watu wataanza kuanguka na wengine hawatahudhuria wakihofia maisha yao. We dont want to see him with witches
Hakuna masalia ya zitto hapa,lazima ukweli uwekwe wazi! Lengo la chadema si kuwakomboa watz wote bali kuikomboa kanda ya kaskazini na hilo liko wazi.Baada ya kuona hakuna uwezekano wa kupata madaraka yajuu serikalini kupitia ccm,wakaskazini na hasa wachaga wakaamua kuja na huu mkakati,wengine mob psychology na njaa zao tu zilizowasumbua kujiunga chadema.most of tanzanians are not focussed,they are ready even for matangopori!
 
Kamanakuona unavojipendekeza kwa zito ili akiwa raisi uwe makamu wake tetetetete! huna lolote we unadhani watu fata upepo kama wewe ?maana wataka kutoa watu roho zito zito nenda kigoma kaishi kwao au nawewe umepewa tenda ya kumsafisha? jembe kwenu kijijini .
 
Kamanakuona unavojipendekeza kwa zito ili akiwa raisi uwe makamu wake tetetetete! huna lolote we unadhani watu fata upepo kama wewe ?maana wataka kutoa watu roho zito zito nenda kigoma kaishi kwao au nawewe umepewa tenda ya kumsafisha? jembe kwenu kijijini.ua name as ua brain we mwanamara wa wapi kiporo hivi.
 
mi nafikiri baada ya kumshambulia zzk mje na hoja ya utendaji wa mbunge mmoja mmoja wa chadema alivyotenda vyema ktk jimbo lake kumshinda zitto kabwe. Mapenzi yetu yasitufanye tuwe vipofu wa kuuona ukweli.
 
Ndugu zangu, mnabishana nini wakati CDM hakuna mgawanyiko? Wote mko pamoja na mtachukua nchi hivi karibuni.
 
Unataka ujibiwe hoja zipi wewe Salia?naona unahangaika sana upo hedhi?pole narudia tena Zito ni sifuri atawadanganya nyie wachumia tumbo msio na akili, bongo zenu za samaki ila sio mimi sinunuliki! Viva Dr slaa tunajua ni mwiba kwa wapuuzi kama masalia ambao changanya akili zao zote hawamkaribii Kamanda ben saanane!

acha ujinga wee nguchiro;nani salia? Mpuuzi nini,safari hii mtaweweseka sana nyie mang'ombegenge,hamna jipya! Mmebaki mkilalama tu khs zitto,wimbi la zitto linawatesa eeh,jinyongeni! Zitto yuko imara na tayari ameshatangaza kugombea urais kupitia chadema! Mnamwamini sana slaa,lile ni debe tu kaishiwa sera sasa,ile ya ufisadi imechuja sasa, hana jipya apumzike
 
Una haki ya kutokumpenda kama ambavyo na yeye ana haki ya kumpenda na kutambua mchango wake.
Sasa kama anampenda Zito si angebaki na upendo wa kumpenda Moyoni Mwake na sio kuleta hapa, ukisha leta hapa ushindani wa hoja ktk kumjadili lazima uchukue nafasi umesikia?
 
Ben saanane hana lolote ,njaa inamsumbua yule
 
Zitto anatakiwa aangalie alikoteleza si alikoangukia
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Nawe kubali usikubali zitto ni MWANA MASALIA na P7
 
haaaa...zito ndio kichwa cha CDM!!Tulitegemea mtu kama Lissu angeleta mabadiliko kwenye bunge kumbe ndio hamna kitu hawezi kabisa kujenga hoja...kwa kelele sawa
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

Mwacheni Zitto apumzike si kila siku Zitto no naye ni mtu mwacheni na wewe muleta hoja you deserve a ban maana una provoke na kuleta mjadala juu ya Zitto mwacheni kijana apumzike
 
Zito ndio nani?..mpaka mseme lissu ni mropokaji msiwe mnapenda kuchafua viongozi wa CHADEMA maana wote ni kitu kimoja sio kama CCM na zito bado xana kugombea u rais namuomba,ajipange kwanza..lkn namkubali ni jembe langu..
 
acha ujinga wee nguchiro;nani salia? Mpuuzi nini,safari hii mtaweweseka sana nyie mang'ombegenge,hamna jipya! Mmebaki mkilalama tu khs zitto,wimbi la zitto linawatesa eeh,jinyongeni! Zitto yuko imara na tayari ameshatangaza kugombea urais kupitia chadema! Mnamwamini sana slaa,lile ni debe tu kaishiwa sera sasa,ile ya ufisadi imechuja sasa, hana jipya apumzike
Uwe na a.d.a.b.u kijana hamna mtu anaye mkataza Zitto kugombea urais au ufalme, Zitto analaumiwa kwa kuwa Msaliti na Ndumilakuwili hilo ndio lina mkosti Zitto. Zitoo anananunulika hivyo hatufai kuwa Rais bora na afadhali niwe mimi Rais ingawa hamnijui ila nina misimamo mikali sana hasa haki inapopotoshwa. Pia zito anapenda kupendwa hata akifanya madudu siasa hizo zimepitwa na wakati. Hivyo kama anaweza ajirekebishe haraka na kuomba msamaha. Pia muono wangu zito anaweza kuwa anatumika na usalama wa CCM kuivuruga CHADEMA. Mungu atuepushe na Huyu Zito
 
mi nafikiri baada ya kumshambulia zzk mje na hoja ya utendaji wa mbunge mmoja mmoja wa chadema alivyotenda vyema ktk jimbo lake kumshinda zitto kabwe. Mapenzi yetu yasitufanye tuwe vipofu wa kuuona ukweli.

Nawe mapenz yako kwake yasikufanye kipofu wa kuona ni mwana masalia na p7 wenye uroho wa kuua hata panya wasio na makosa kwa kosa la mwingine tena anadai anaweza kuwaua yeye akiwa amekufa kubali ukatae huyo ndio zk wako
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Uko sawa kaka! huyu jamaa ni zaidi ya yanavyomfikiria.Najua wanatambua uwezo wake na ndo maana wanamzushia mengi sana.
 
Ukiacha kusifia jembe kwenye kazi ya trekta, badala ya kuongelea taasisi na sera tunajikita kuzungumzia watu.

I don't always dig Nyerere, ila kwenye interview /press conference yake ya Kilimanjaro Hotel waandishi wa habari walipomuuliza kuhusu Mrema alisema yeye hakwenda kuzungumzia mtu, alienda kuzungumzia masuala.

Tujadili masuala, sio watu.
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

Watu wengine sijui akili zao ziko katikati ya miguu yao????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom