Nasema tena:
Zitto bado ana fursa ya kukua ndani ya CDM na sijamdelete bado pamoja na yote hata.
Tatizo langu kubwa ni hawa wapambe, wanachefua sana. Hivi Zitto akiwa rais hawa si ndio watakuwa washauri wake???
Kama unaongelea ubora wa Zitto kuna ulazima gani wa kubomoa wengine?? Mnyika, Wenje, Sugu n.k wanaingiaje kwenye hoja ya umahiri wa ZK??
ZK talk to your boys: hakuna haja ya kukutetea acha hiki kimbunga kitulie then come out humbly na waeleze viongozi wenzio yote unayoyajua kisha kubali ushauri wao na maamuzi yao.....
Usifanye kosa la kutoshughulikia jambo hili maana linaweza kutulia lakini mark my words, litakuandama siku za usoni na wapinzani wako watalitumia kama kuna siku umetapata fursa ya kugombea uongozi wa juu iwe kwenye chama ama kwingineko....