Mtake msitake Zitto ni jembe

Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.
wewe na wenzako mupo kwenye kazi maalumu ya kumchafua zitto,mpango wenu upo mikononi na mutaumbuliwa muda si mrefu.

kama umezisoma comment zote nadhani utakuwa umeshatambua..na haiwezekani kama nikumchafua basi achafuliwe na idadi kubwa ya watu...kweli mtafanya kazi sana kumsafisha huyu jamaa..a.k.a panya killer
 
Kweli nimeani njaa mbaya sana coz mtu yuko radhi kujidharirisha kisa njaa. Nakuhurumia shabiki lakini jali uzalendo.
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
 
KUENDELEA KUKAA NA ZITTO ndani ya CDM,Ni sawa na kuishi nyumba moja na mwizi!.hafai hata kuwa na vyeo ndani ya chama,nashauri wamfukuze maramoja kwenye chama pamoja na masalia yake yote.ni mnafiki na msaliti mkubwa HAFAIIIIIIIIIIIIIIII
 
Bora hao lakini ww as an individual ndio hovyo kabisa. Kwani hujui siasa na mkabila mkubwa. Shame on you.
Mtapata shida sana nyie, hao akina wenje,mnyika,nassari,msigwa, mbilinyi,Lissu, Slaa ni WACHAGA!???? siasa za hivyo hazina mashiko tena na zimeshachuja, na hakuna aliyekataa kama Zitto ni jembe
 
Last edited by a moderator:
ukiwa kama mpembuzi wa mambo ZITO sahvi inshabikiwa na wana CCM ambao si watu wema kwa CDM.kwanini media za CCM ziko kimya kwa hili?,JIULIZE CHUKUA HATUA THEN AKILI KICHWANI.
 
Kam anao wafuasi wengi nyuma yake kwanini asianzishe chama chake auone moto wake.
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

Hivi kweli wewe unatoka kanda ya Ziwa e.g Mara? Watu wa mara kama mimi hawawezi kuwa na akili finyu kama yako. Kama unatoka Mara kweli, watu wenye akili timamu, walio na misimamo dhabiti, wasio wanafiki, wasio fitina, wasio na hila wala ukabila usingedhubutu kumtaja Mnyika or any one else katika hili isipokuwa Zitto na Washirikina wenzake.

Are only myopic few like you who dare to support inconceivable behavior and character of Zitto a.k. a Prezoo, Dogo, Sangoma.

Zitto hawezi kuwa kiongozi wa kutegemewa na watu si tu wa mkoa wa mara bali pia wa Sehemu yoyote Tanzania ikiwemo kwao Kigoma, aliko aga.

Dont mention unatoka kanda ya ziwa alafu unamwaga povu hapa.

Pathetic!!!!
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

Kama kweli ni jembe basi aimarishe CHADEMA kigoma kama anavyofanya Lema (Arusha), Sugu (Mbeya) au Msigwa (Iringa), sisi huku Mara tuna Mh. Vicent Nyerere hatumuhitaji Zitto, yeye ajenge cdm Kigoma ili nayo iwe imara kama huko unakokuita kaskazini. Umaarufu wa kijumla jumla na wa kishaabiki bila kuzingatia hoja ni wa wafuasi wa ccm na wajinga wengine na umepitwa na wakati, hauna nafasi kwenye watu makini na chama makini wanaotafuata ufumbuzi wa maendeleo ya nchi yao
 
ukiwa kama mpembuzi wa mambo ZITO sahvi inshabikiwa na wana CCM ambao si watu wema kwa CDM.kwanini media za CCM ziko kimya kwa hili?,JIULIZE CHUKUA HATUA THEN AKILI KICHWANI.

rudi darasani kajifunze upya,unadhani chadema itaingia madarakan bila kura za wanaccm? We ni bendera mfuata upepo,toa umbumbumbu wako hapa,nani alikwambia siasa ni uadui wewe ***** kweli
 
Hakuna masalia ya zitto hapa,lazima ukweli uwekwe wazi! Lengo la chadema si kuwakomboa watz wote bali kuikomboa kanda ya kaskazini na hilo liko wazi.Baada ya kuona hakuna uwezekano wa kupata madaraka yajuu serikalini kupitia ccm,wakaskazini na hasa wachaga wakaamua kuja na huu mkakati,wengine mob psychology na njaa zao tu zilizowasumbua kujiunga chadema.most of tanzanians are not focussed,they are ready even for matangopori!

Wewe ndio hauko focussed ndugu yangu kama CDM ni ya ukabila na ukanda kama unavyosema na umesema moja kwa moja eti kanda ya kaskazini aliyekutuma mwambie tu kwa ufupi akutajie kati ya kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini wapi CDM wana wabunge wengi?
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Pilitoni kwani sisi tunakula hoja? Hata Hitler alikuwa anatoa hoja nzuri.
 
Last edited by a moderator:
Zitto kwa knunua wapiga debe uko fiti sana mAaana naona mavuvuzera kibao hakuna aliyekataa kuwa Zito si jembe tatizo ni jembe la mchina chadema tunataka trekta sasa jembe likae pembeni.namuona mmoja eti wanamara tunakukubari koma kabisa kutujumuisha jisemee wewe nafsi yako.
 
Zzk anaendesha siasa za msituni ambazo zimepitwa na wakati. Atoke hadharani aeleze kinachomtesa kuliko kuingia kwenye mitandao ya kijamii kwa majina lukuki mara tuntemeke, mara piriton! Jitokeze hadharani jitetee kama kweli ww ni jembe kama inavyodaiwa.
Ndugu ninakuunga mkono kabisa.
Japokuwa mimi ni CCM!(mwanaTANU asilia) lakini nawadharau sana watu kama Zitto, Nape, Mwigulu nk kwa namna wanavyofanya ''Siasa za kichawi'' kama hizi wanazofanya hawa misukule humu.

Siasa za namna hii huwa zinatabia za Backfire, leo unawatuma vijana wachache wakatukane watu na kukusifia lakini kesho Vijana hao hao watakuja kukuvua nguo hadharani na kukutukana wewe uliyewatuma pia.
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

zitto ni jembe kweli ndio maana tunamshangaa vitendo vyake anavyo vifanya ambavyo havisitahili kufanywa na jembe kama zitto.hata hivyo ya ukanda ukabila na udini hayo ni ya kwako mwenyewe isipokuwa vimekudhihirisha kuwa wewe ni mtu wa namna gani.hao uliowataja mnyika lisu mbilinyi wanasifa zote za jembe,usafi n.k. Sifa ambazo zimepunguwa kwa zitto.ila umeamuwa kuwataja hivyo kwa saba bu wamekataa kuufuata ujinga wa jembe zitto.
 
Nakuona unajipendekeza kwa zito ili akiwa raisi uwe makamu wake huna lolote we unadhani watu fata upepo kama wewe ?maana wataka kutoa watu roho zito zito nenda kigoma kaishi kwao au nawewe umepewa tenda ya kumsafisha jembe kwenu kijijini .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom