Mtake msitake Zitto ni jembe

Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.
kwani kuna ubaya gani wa kumfananisha zitto na wabunge mwenzake vijana ambao wengi wameingia kwenye siasa kwa kuvutiwa na siasa za zitto.
Kuna haja gani ya kumlinganisha nakina Mnyika huku ukiwabomoa??
 
zito oyeeeeeeeeeeeeeee! zito juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! jembeeeeeeeeeeeeee la ukweli!
 
Kama ni jembe la kubomoa chama, nakubaliana na wewe! Vinginevyo, ni sisimizi tu mbele ya CDM
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!


Mimi pia ni wa kanda ya ziwa, husitusemee. Labda Zitto ni jembe kwako.
 
Mtapata shida sana nyie, hao akina wenje,mnyika,nassari,msigwa, mbilinyi,Lissu, Slaa ni WACHAGA!???? siasa za hivyo hazina mashiko tena na zimeshachuja, na hakuna aliyekataa kama Zitto ni jembe

wewe ulie weka kauli izi nakuurumia kwani wewe umekufa akili umeacha mwili duniani ujui unacho sema ila pole
 
Jembe halifanyi kazi bila mpini. A wise leader should know the source of his/her power. Zitto hilo linamshinda.
 
fikra ndogo huwa zinachukua kipande cha neno na kukijadili na kuacha hoja nzima ya msingi iliyobeba kipande hicho cha maneno, sishangai kwani ukweli utajitenga siku moja na waongo tutawajua, ukweli, na uwazi pamoja na misimamo yake ya wazi ndivyo vinavyomhukumu zitto kwa wanafiki wenye tabia ya kuficha maovu kwa kuwachafua wenzao
 
We acha ujinga Zitto hana jipya kazi yake ni kuchanganya chama na viongozi wa juu kwa ujinga anaoufanya namuomba awe na subira juu ya madaraka ya urais mpaka kamati kuu ya chama kupitisha mgombea anayofaa kukomboa nchi.
 
Ndugu yangu Zitto Ihope you are doing pretty well!
Nataka niseme tu kati ya watu walio ni-influence mpaka nikaona pengine CDM yaweza kuwa an alternative party ktk politics za Tanzania ni ww ZZK.Na hii ni kutokana na jinsi ulivyokuwa unajenga hoja za uhakika iwe ni bungeni na hata kwenye public rallies na vijana wengi tukavutiwa na CDM.
Ukiachilia mbali uwepo wa DR.ktk kinyang'anyiro cha Urais ambapo kiliitia Fora CDM, Mi nazani hata kupatikana kwa wabunge wengi vijana makini 2010 kama kina Mnyika ,Mdee na wengineo ni kutokana na Imani ya wananchi iliyokuwa imeanza kujengeka kwamba kumbe hata vijana tunaweza baada ya Mhe.Zitto kilithibitisha hilo from 2005 - 2010 bungeni na hata nje ya Bunge.

Nakumbuka Zitto jinsi alivyokuwa anatoa hoja nzitonzito za kizalendo ambazo ziliibeba sana CDM na kupata umaarufu kwa wanainji.
Zitto alikuwa in front line na viongozi wengine wa CDM kuzunguka huku na huko kujenga chama during this time.( 2005 - 2010)

Natamani kumuona Zitto anaongeza SPIDI 120 wkt huu (2013 - 2015 ) ktk kujenga CDM kuliko hata kipindi kile, Maana naona ukombozi wa pili umekaribia, ila sasa kuufikia ukombozi huo lazima ku-toil sana na hasa ktk mazingira ya sasa ya siasa za MAJITAKA za kina Mwigulu na wengineo wengi ...
Hebu Fikiria CDM inaingia kuingia kwenye Uchaguzi wa 2015 na Tume ileile, System ya Uchaguzi ileile ya wakuu wa wilaya wa ccm na wakurugenzi wa mikoa na wilaya ndo wasimamizi wa uchaguzi hivi unategemea nn?
Yaani lazima juhudi ifanyike sasa kuawafikia wanachi ili kama ni kushinda basi iwe ni ushindi wa kimbunga mpaka waone aibu kuchakachua

Sasa ktk kuwafikia wananchi moja kati ya watu wengi ambao ni strategic CDM Na anakubalika hata kwa wanachi achilia mbali mambo yanayozungumzwa juu yako ni ww Mh.ZITTO.Kuna maeneo sugu bado hayapata uelewa wa mambo yalivyo na kwa nn unaitajika ukombozi wa pili na Huko CDM sizan kama wame invest vya kutosha na ndiko kwenye ngome za ccm, Mfano. Tanga kwa (bwana kisandu), Ukanda wa kusini wote, DAR ES SALAAM, Dodoma,Singida, Pwani,Tabora,Mkoa mpya wa Njombe, Rukwa , Morogoro n.k kote huko kuna kura nyingi sana
Iam Convinced that Mr.ZZK you already have a political base,! kama kuna kitu kime kukwaza in your political road! am advising u to forget it and be born again. Road to 2015 is very rough and Long
Iwant to see you in frontline (MY role Model ZZK) in CDM Public Rallies towards 2015 ktk ujenzi wa chama
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

Bange nibangue Bange nibangue nikamtetee Drogba JF ,Bange Bange Bangi Bangiii nikamtetee Drogba JF,Masalia mmebakia kuvuta Bange iwabangueee mpeni na Drogba Bange imbangueeee
 
Hakuna mtu yeyote anayeitakia mema CHADEMA nayeweza kuungana na Drogba au kumtetea Drogba,wote wanaomtetea Drogba nawahakikishieni Drogba ataenda CCM A,B au C ,au CHAUMA siku sio nyingi na nyie wote mtabaki na AIBU kuuuu
 
Prezo aka Kigagula mara hii amekuwa jembe?Kweli hata panya hawatabaki:majani7:
 
kumbe na wewe unajikwaa tu kushabikia siasa za tz wewe hujui kuwa zito ndio anaua chama kwa siasa za u-ccm?
 
ukiona zitto anasifiwa ujue anayemsifu ni gamba maana katika mikakati yao ni pamoja na kuwa zitto agombee urais ili wao gamba washinde, it can't happen, RAIS wa mabadiliko yuko na hatuwazi kumtaja kwamba ni nani but gamba kwaheri 2015
 
Zito zito zito..mie nadhani hamjamjua zito vizuri na mtajua pindi atakapo nyanganywa kadi ya CDM na kuingia CCM.hilo sio jembe ni shida.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom