hakika nyie wachaga endeleeni kumchafua zzk lakini watanzania tuliowengi tunafahamu uwezo wake na mungu ata muinua
ponda atamuinua
hakika nyie wachaga endeleeni kumchafua zzk lakini watanzania tuliowengi tunafahamu uwezo wake na mungu ata muinua
Umehongwa shiling ngapi?
humu ndani tunatkiwa tu discuss issues siyo watu lakini kwa muda sasa issue ni majina ya watu tu unakumbuka uchaguzi wa USA zilkuwa zina discusiwa issues uchumi, ajira uhamiaji etcKwa nini unamuuliza hivyo mkuu??!!
Waasisi wa CHAUMA ni kafulila na mbunge mmoja wa chadema nani vile?ZZK hawezi kuwa jembe wewe kwani Zitto ana kadi mbili? Jembe ni Babu si umeona ana kadi mbili na bado hatumwambi kitu? ss kwa Babu kama vile Kibwetere na Wafuasi wake.
Cdm wachunge sana ccm wanambinu nyingi uckute ni ccm wana frem haya mambo nyie mna chechetuka Take care...!!!!
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Hakika nyie wachaga endeleeni kumchafua zzk lakini watanzania tuliowengi tunafahamu uwezo wake na Mungu ata muinua

Mkuu Mwita Maranya eti kule kwetu Mara kuna watu viazi hivi?