Madege
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 526
- 109
Kwanza toa hata twenty umsaidie yule msela anaehitaji jiwe na ishirini kulipa kodi ya nyumba.
Uzi wake upo humu.
good hakika umenena
Kwanza toa hata twenty umsaidie yule msela anaehitaji jiwe na ishirini kulipa kodi ya nyumba.
Uzi wake upo humu.
wekeza kwenye vibiashara visivyo tumia fedha nyingi kwanza. Maxmum mtaji usiozidi laki 1. Ilikujenga ujuzi na akili za kibiashara. Ukiweza kukontol. Iyo laki moja ikazalisha zaidi ya iyo laki moja utakuwa mfanya biashara mkubwa kwa muda mchache sana. Mimi nakushauri anza na mtaji wa laki moja kwanza. Walau uwe unazalisha elf 10 - 20 kwa siku ili kujenga tabia za biashara anza na laki1 kadiri unavyokua unaongeza mtaji.
Fungua duka la madela mkuu.habari wakuu,,nimejikusanya toka mwaka juzi sasa nina mpango wa kufanya biashara ambayo haitaathiri masomo yangu..karibuni
wekeza kwenyw usambazaji wa cement biashara haiharibiki na kwa jiji kama mbeya linajengeka sana ukihitaji dangote kuanzia mwakani tuwasiliane kwa bei nafusu kuliko cement zote Tanzania
Kumbuka huyu kijana yupo Chuo na hii biashara ni kitu cha ziada....
Je tuseme nusu ya hio pesa anaweza kuagiza mzigo kiasi gani, ili inayobaki aweze kukodi chumba na storage yenye security ya kutosha na ili mzigo usiharibike ?, Pia kupata muuzaji na msimamizi muaminifu.
Kwenye kila mfuko anaweza kutoa kiasi gani faida ?
Na umeongelea usambazaji anakuwa anasambazia watu kwa transport ipi ?
Baada ya majibu hayo yote hapo juu bado unadhani hii ni biashara nzuri ya kufanya part time kwa mwanafunzi wa Chuo ?
We acha masihara bwana! Mtaji wa laki moja uzalishe elfu kumi kwa siku!!!
wekeza kwenye vibiashara visivyo tumia fedha nyingi kwanza. Maxmum mtaji usiozidi laki 1. Ilikujenga ujuzi na akili za kibiashara. Ukiweza kukontol. Iyo laki moja ikazalisha zaidi ya iyo laki moja utakuwa mfanya biashara mkubwa kwa muda mchache sana. Mimi nakushauri anza na mtaji wa laki moja kwanza. Walau uwe unazalisha elf 10 - 20 kwa siku ili kujenga tabia za biashara anza na laki1 kadiri unavyokua unaongeza mtaji.
Nini cha ajabu mkuu? Mtaji wa laki moja unaweza zalisha hata 60,000 kwa siku
Biashara ipi Halali,toa mfano?Nini cha ajabu mkuu? Mtaji wa laki moja unaweza zalisha hata 60,000 kwa siku
Unaijua biashara ya matunda? Ukichukua mzigo wa sh 20000 ukiuza unapata 45000. Biashara ya chakula pia ukiweka laki unapata laki nyingine. Watu wote so msbilionea kwa sababu si watu wote wameamua kuwa mabilionea.laki moja ikikuzalishia hivyo watu wote tungekuwa mabilionea
Swali hili ni ili kuwasaidia wanachuo wengine : Uliwezaje ku raise 4m ukiwa chuoni? Ni pesa ya boom ulikuwa unaserve (ambayo vijana wengi wanasema haitoshi) au ulikuwa na other sources?habari wakuu,,nimejikusanya toka mwaka juzi sasa nina mpango wa kufanya biashara ambayo haitaathiri masomo yangu..karibuni
Urongo
Kwa maeneo ya chuoni, bei ya jumla ya kalamu ni sh 4500, ambapo ukiuza sh 200 unapata sh 10000. Karatasi,zile ruled papers zinauzwa 3500, zinakuwa 400. Ukizibana sita sita ukauza sh 100 unapata 7000 kwa rimu moja. Nimetaja hivi kwani vinatoka kwa wingi chuoni. Ina maana ukichukua mzgo was laki unapata laki nyngne faida... Inawezekana kutajirika kihalal kabisa wakuuBiashara ipi Halali,toa mfano?
we acha masihara bwana! Mtaji wa laki moja uzalishe elfu kumi kwa siku!!!