Kalicharan
Member
- Dec 20, 2012
- 98
- 13
Mheshimiwa wa muungano wa visiwa vya pemba na zimbabwe
kuna mmoja ni mbunge kwenye kampeni za udiwa kupitia ccm wilaya ya mpwapwa alisema 'wanaume wote wasio pigia ccm wana mimba'
Muhongo..."Hakuna mgao wa umeme Tanzania."....really!!! seriously!!!
kwangu umeme ndo umerudi, kweli muhongo ni hatari
Hiyo Avatar kama ya Ndallo.... am confused...Ni JK kupitia kwa Nape na the great thinker Mulugo!
Wakati tukisaka wanasiasa bora na waliofanya kazi zaidi mwaka 2012, nadhani ni bora tuwataje pia wanasiasa waliotia fora kwa pumba nyingi zaidi. Tupendekeze majina halafu nitawaweka kwenye poll. Mimi binafsi nampendekeza Cyprian Majura Musiba kama mwanasiasa aliyetema pumba zaidi mwaka huu. Naomba majina mengine wadau
. Nnauye Jr sasa kwa fikra zake anaamini kuwa, karatasi ya manila iliyochapiswa kama kadi ya ccm na kumilikiwa na Dr. Slaa ndiyo sababu kuu ya matatizo ya Watanzania! Anaona hiyo ni hoja yenye tija hata kuliko nini kiwe kwenye Katiba na yumkini atahitaji suala hili la Dr. Slaa kurudisha kadi liwe la Kikatiba! Hawa ndiyo vijana wetu wa Tanzania wanaotuvusha mwaka 2012…. BABAANGU JEETU PATEL…..
Lakini hivi karibuni akihojiwa na JF alioonyesha kutokuwa nadhifu wa kile analichoanzisha kwa kuleta hoja mpya akitaka kila mpiga kura awe na aweze pia kugombea![MENTION]Zitto[/MENTION] "Umri wa kugombea urais, Rwanda wenzetu wanaruhusu miaka 35, Burundi miaka 35, Kenya miaka 35, Marekani miaka 35, Afrika Kusini miaka 35…Sisi ni ushamba tu, hakuna sababu ya kuweka umri mkubwa," alisema Zitto ambaye wakati akianza kuchangia alitania akisema kuwa itakapofika mwaka 2015 atakuwa na umri wa miaka 39.
Ni mtu yuleyule aliwahi kuandika haya:Kila raia mwenye haki ya kupiga kura awe na haki ya kupigiwa kura! Tatizo ni nini?
Baada ya kauli zake kumuelemea akageuka na kuandika hivi:[MENTION]Zitto[/MENTION] Mimi ninaamini kabisa kuwa Rais ajaye wa Tanzania ni lazima atokane na kizazi cha baada ya uhuru. … Hili ni Taifa la vijana. ….… .Wazee wameishi maisha yao. Wameishi yetu na sasa tunataka kuwakopesha maisha ya watoto wetu?
Ubaguzi wa aina yeyote ile ni ushamba, ujinga na upuuzi tu.
Halafu soma na vitendo alivyomfanyia huyo amfananishae na Baba yake!… MAREHEMU KYARUZI NI SAWA NA BABA YANGU....
Nape aliingia Bukoba tarehe 25/05/2012. …baada ya hapo alielekea Missenyi ambako tunaarifiwa alikuwa na mikutano ya hadhara. … Labda ili Watanzania muweze kupima vema uelewa na akili za Nape, tuwafahamishe kuwa Missenyi ndiko iliko Kyaka na ambako maziko ya Dr. Kyaruzi yamefanyika. Tunashindwa kuelewa, hiyo mikutano ilikuwa safisha njia ya mazishi au inahusiana vipi na mtu aliyepeleka ujumbe wa maombolezo?
Linalochanganya zaidi ni hili la Jumamosi tarehe 26/05/2012. Hii ndiyo siku ambayo Dr. Kyaruzi alipumzishwa rasmi kaburini alale kwa amani. Lakini kwa Nape akiwa Kyaka hii ilikuwa siku maalumu ya kufungua matawi na kutangaza operation yake mpya ya kisiasa iitwayo "Vua Gamba, vua Gwanda, Vaa Uzalendo"…...
Nadhani Mohamed Mtoi kamjibu vema hapa:…. Nape ambaye amekiri kumheshimu Dk Slaa kama babu yake...
...Leo Nape anajinasibu kuwa Jeetu Patel ni baba yake?! (Najua si vibaya kuwa na baba muhindi halafu yeye mswahili wa Manzese) Halafu Samweli Sitta (67) mwenye umri mkubwa kuliko Dr Slaa (63) kwa Nape ni Mzee lakini Dr Slaa ambaye ni mdogo kwa Sitta yeye ni babu?! Logically, huyu jamaa ana mtindio wa mawazo kama sio vision disorder.