Mtajeni Mwanasiasa Aliyetema Pumba Zaidi 2012

Mtajeni Mwanasiasa Aliyetema Pumba Zaidi 2012

Baba riz 1... Ni upepo tu utapita

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ila Mwigulu na Lusinde ni funika bovu lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
1. Liwalo na liwe ..... Mtoto wa mkulima, 2. Kova kwa habari ya mkenya aliyemteka ulimboka 3. Aliyekuwa waziri wa afya Dr. Mponda kuwa madaktari wa internship ni wanafunzi wa mwaka wa nne, 4. Mwenyekiti wa bunge, alimwambia Mnyika anawashwawashwa. 5. Spika wa bunge ndo janga kabisa. 6. Nape 7. Baba riz1 8. Waislamu kugoma kuhesabiwa na kaulimbiu yao (tuacheni tupumue).
 
Wakati tukisaka wanasiasa bora na waliofanya kazi zaidi mwaka 2012, nadhani ni bora tuwataje pia wanasiasa waliotia fora kwa pumba nyingi zaidi. Tupendekeze majina halafu nitawaweka kwenye poll. Mimi binafsi nampendekeza Cyprian Majura Musiba kama mwanasiasa aliyetema pumba zaidi mwaka huu. Naomba majina mengine wadau


Waziri Shukuru Kawambwa na matokeo ya FORM IV; anadanganya umma kuwa watoto wengi zaidi wamefaulu wakati MADUDU YANAZIDI NA WAMESHUSHA KIWANGO CHA UFAULU......
 
YUSUF MAKAMBA mkutano wa juzi ccm 2012 nilimsikia kupitia super mix eatz radio akimwombea kura Mwenyekiti wake wa chama
 
Asiyejua jiografia na historia wakati yeye ndio ana dhamana ya kuongoza wizara ya elimu...mulugo
 
Back
Top Bottom