lynxeffect22
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 626
- 250
Unafiki upo hapo Jasusi. Tena ni dhahiri kabisa. Na kisiasa it's a bad look.
Na mimi kama mpiga kura nina haki kabisa ya kutumia sababu hiyo kumuona yeye ni mnafiki na asiyestahili kura yangu. Utapingaje ufisadi kwenye majukwaa ya kisiasa halafu mahakamani ugeuke na kuwa mtetezi wa hao hao watu unaowachana kwenye majukwaa ya kisiasa? It's stupid.
Na mfano wako wa daktari na dadaye hata haulingani na unafiki wa Marando.......
Acha uvivu wa kufikiri ndugu yangu, tofautisha siasa na kazi ya mtu...mbona mawakili hao hao ndio mnawakimbilia pale ndugu zenu wakiwa na kesi nzito kama wizi, rushwa, mauaji.....si muwaache waozee jela......kazi ni kazi na siasa ni siasa