Nilivyokua form three nilikata tamaa kabisa ya hesabu. Mwalimu wangu anaitwa Lesle ni Goa ndiye mtu alieniaminisha kuwa nitaweza, alijitolea kunipa extra tuition. Alikua handsome vibaya mno, nilikua ninakwenda just kumuona kwenye ile extra tuition. Alinisaidia kupass hesabu sitamsahau.
utakuwa na matatizo tokea msingi kudate/kutiwer na walimu wako ;mpk nje ukaendeleza kitabia chako!Nilivyokua form three nilikata tamaa kabisa ya hesabu. Mwalimu wangu anaitwa Lesle ni Goa ndiye mtu alieniaminisha kuwa nitaweza, alijitolea kunipa extra tuition. Alikua handsome vibaya mno, nilikua ninakwenda just kumuona kwenye ile extra tuition. Alinisaidia kupass hesabu sitamsahau.
Ndio mwalimu anayeandikisha wanaorudia mtihan aisee kwenye so funnyNamkumbuka mr. Masemele mwl. Wa bookeeping pale Jitegemee! Alikuwa hachapi fimbo moja maana akaunt haita balance, ilikuwa fimbo 2,4,6 nk! Alikuwa anadai aki debit 1 lazima a credit 1 iliusitembee upande upande! Kwa kweli ilikuwa very funny.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Namkumbuka mr. Masemele mwl. Wa bookeeping pale Jitegemee! Alikuwa hachapi fimbo moja maana akaunt haita balance, ilikuwa fimbo 2,4,6 nk! Alikuwa anadai aki debit 1 lazima a credit 1 iliusitembee upande upande! Kwa kweli ilikuwa very funny.