Hivi huyu Mwalimu Samwel wa Nyarigamba PS yupo wapi kwa sasa?Mwalimu Samweli pale Nyarigamba Primary schoo,
Mwalimu Joseph Nyamuhanga pale Makoko seminary, Mwalimu Mwita(Preamble) pale Musoma Technical High school,....
100%Mchwampaka!
HahahaaaKwahiyo ambao hatujatajwa atujawasaidia watu au,
mbona mimi simo sasa!
[emoji28][emoji28][emoji3][emoji16] ila watu wabaya mwalimu muhimu kuliko wote ni aliyefundisha darasa la kwanza wengine ni chaguo la pili
Utakuwa mw wa kiswahiliKwahiyo ambao hatujatajwa atujawasaidia watu au,
mbona mimi simo sasa!
Pole mkuu.Kitendo cha kuchapwa fimbo kwa mara ya kwanza nikiwa darasa la pili, kwa sababu kijinga za akili ya huyo mwalimu, kwa kufungua daftari langu na kukuta sijajibu maswali yake, bila hata kuniuliza kama nimeelewa au ni sababu zilizonifanya kushindwa kujibu, ilifanya niwaone walimu wote ni adui zangu na mpaka namaliza sekondari sikuwa na mazoea na mwalimu yoyote...
Mpaka niliposoma kwa mabeberu ndio nikajua nini maana ya mwalimu....na kuweza kujenga ukaribu kwenye course work...