Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

guys samahn nilikua naomba kuuliza hiv kama ulifungua account ya admission chuo fulan.alaf hukulipia na hukufanikiwa kuendelea mbele mpka dirisha la kwanza likafungwa hiv.tuseme likifunguliwa la pili.je pale ulipoishia kweny application fee ukilipia inakua ni la dirisha la kwanza au lapili
Ngoja waje kukusaidia mkuu
 
Asante mwalimu
Wakuu, ninaamini kila mtu amewahi kuhudhuria shule kwa njia moja au nyingine na kila mtu hapa amefundishwa na Mwalimu katika ngazi mbalimbali...kuanzia msingi, Sekondari mpaka Chuo.

Ni mwalimu yupi alikuwa msaada sana kwako hadi umefika hapo ulipo?

Mtaje na ni vyema ukasema na shule aliyokufundisha.
Asante mwalimu Mpwayungu Village Kwa elimu Yako pale Nangurukuru Sekondari,Mungu akuongezeee maisha marefu

Kwa elimu uliyonipa,nikatamani kuwa mwalimu kama wewe,

Na kweli miye ni mwalimu huku Tanganyika

Asante sana mwalimu wangu,shujaa wangu
 
List ni ndefu ntaanza s/m hadi chuo kikuu;-

P/S
1. Esther Bundala
2. Madam Zonzo
3. Madam Swalehe
4. Jilala bundala
6. Toto Mwalick n.k

O-level
1. Mr Simon Lupogo
2. Mr Buguhi n.k

A-level
1. Kennedy Kishiwa
2. Mr George
3. Musa Msabaha
4. Mr Ng'humbu

University ( Bachelor degree)
1. Mr. William Joseph Njiku
2. Rev. Polycap (PhD)
3. Mr. Ouma Ogallo. N.k
( Sitaji maprofesa, natunza codes)

Kwa sasa:
Ulimwengu/maisha yananifunza😂
 
List ni ndefu ntaanza s/m hadi chuo kikuu;-

P/S
1. Esther Bundala
2. Madam Zonzo
3. Madam Swalehe
4. Jilala bundala
6. Toto Mwalick n.k

O-level
1. Mr Simon Lupogo
2. Mr Buguhi n.k

A-level
1. Kennedy Kishiwa
2. Mr George
3. Musa Msabaha
4. Mr Ng'humbu

University ( Bachelor degree)
1. Mr. William Joseph Njiku
2. Rev. Polycap (PhD)
3. Mr. Ouma Ogallo. N.k
( Sitaji maprofesa, natunza codes)

Kwa sasa:
Ulimwengu/maisha yananifunza😂
najisikia amani sana kwa kunikumbuka
 
Wikolo mwatuli,
Mbuba sasa ofisa Elimu
Taitu kalesa, we utakuwa wa kumwita kabisa, hadi huyo Wilomo unamfahamu, ila hayupo Izia muda huu,n kama yuko pale Mwenge A/B, kada wa kijani
 
Mwalimu wangu wa Shule ya Msingi Mrs. Mwanyembe Mwaka 1992 aliniokoa na kujitoa sana kwetu kwani tulichokoza nyuki wakatushambulia tukiwa wadogo chekechea. Nilikuwa na nyuki hadi nikawa natapika na kuharisha kinyesi kina harufu ya asali. Mwalimu alijitosa na kutuokoa toka kwenye kadhia ya Nyuki.

Namkumbuka Mwalimu Nyemere Mvomero Sekondari Morogoro. Aliifanya chemistry kuwa ya Kawaida sana na kutufanya tuione Chemistry ya Advance kuwa ya kawaida tokana na kutuwekea msingi mzuri wa Chemistry.
 
Back
Top Bottom