Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Mimi Naweza Mpa Heko Mwalimu wangu wa Darasa La kwanza Shule Ya Msingi Makuyuni Monduli Mkoa wa Arusha

Sasa Nimarehemu Mungu Amlaze Pema Peponi Na Makazi Yake Yakawe Peponi Inshalla

Mwalimu Mary Alifundisha Mama Yangu Pamoja Nasi watoto

Mwalimu hodari Na Mkongwe Alie Saidia Watoto wengi sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, ninaamini kila mtu amewahi kuhudhuria shule kwa njia moja au nyingine na kila mtu hapa amefundishwa na Mwalimu katika ngazi mbalimbali...kuanzia msingi, Sekondari mpaka Chuo.

Ni mwalimu yupi alikuwa msaada sana kwako hadi umefika hapo ulipo?

Mtaje na ni vyema ukasema na shule aliyokufundisha.
Kuna ustadhi mmoja alikuwa pale Temeke unashukia Serengeti,alikuwa anafundisha language,yule ndiye alisababisha nikafanya vema Language 1,maana shule yetu kulikuwa hakuna kabisa mwalimu wa Language (Government school).......Na Mwl Kweyamba was Mbezi beach high school,alisimamia show ya Language 2.

Ila Ustadhi aliokoa sana jahazi sitamsahau
 
Back
Top Bottom