Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Namkumbuka sana mwl Chialo(Mwenyez Mungu amlaze mahala pema peponi). Alinifundisha mathematics nikiwa Iyunga Tech
Namfaham..si yule alipata ajali ya pikipiki? Namfaham san, nakumbuka tulikotoka usiku mida ya saa 2 hiv kwenda pale darajan alipopata ajali..dah alikua peace sana! Alikua ni kiongozi makini!
 
Sitamsahau mwalimu mlimandago chona primary ,somo la history na English(darasa la sita) maana nilikuwa mtoro pia mtukutu ila alinibadilisha kwa kiasi kikubwa Sana hadi nikaanza kuongoza darasa ,namshukru zaidi maana binti yake wa kwanzo ndo mama Wa watoto wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oooh mkuu hongera, Hadi binti yake ukamchukua!
 
Madam Sika, Shule ya Msingi Makuburi Jeshini.

Philip Pambe, shule ya sekondari Makoka.

Mr Karanga. Shule ya sekondari Makita.

Mr. Emannuel Yohana, COED
 
Miaka hiyo Mwalimu MOHAN KUMAR (mhindi - expatriate toka India) wa Accountancy na Mwl. BUSHUMBA wa Commerce pale SHYCOM. Hawa walikuwa ni zaidi ya walimu. walikuwa walimu na nusu.
 
Back
Top Bottom