mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
Kaka niache nikaange chipsi kwa amaniπKutoka kuomba vocha za jero jero kwa Antonnia, mpaka kuja kuajiri watu. Kweli maendeleo ni hatua, hongera sana coca
Huyu dogo mshamba_hachekwi ni computer scientist, mpe ajira atakusaidia
Boss ni boss acha kuwaza umalaya π€£π€£Nawaza yaani cocastic awe boss wangu
Mkuu mali ama Rinda?coca akiwa boss wangu lazima niombe mali
Maisha hayana formula asee, eti Leo hii coca ni CEOKaka niache nikaange chipsi kwa amaniπ
πππππ Nimecheka hadi kutaka kutapika.Kutoka kuomba vocha za jero jero kwa Antonnia, mpaka kuja kuajiri watu. Kweli maendeleo ni hatua, hongera sana coca
Huyu dogo mshamba_hachekwi ni computer scientist, mpe ajira atakusaidia
Matani mkuu, nisije nikaharibu.Kuwa serious bas.
Bora hata wee unisaidie hapa, maana Wajaa wana nongwa hatariii. LolHao wanaosema huyo sio mtu mmoja wapuuzie mbali.
Hizo fani ni tofauti ndio ila kuna watu wamafanya vyote hivo.
Mfano mmoja tu, mimi nimesoma economics ila website development na logo design nazipiga fresh tu.
Ni uvivu tu watanzania
2&3 mtu mmoja tu aitwae software developer.Unatafuta watu wa 6 tofauti wawe ndani ya mtu mmoja.
1. Graphic designer
2.Software developer
3. Mobile app developer
4. Bloger
5. Photographer
6. Videographer
ππΌππΌππΌππΌWote nawahitaji, ila akiwa m1 mwenye ujuzi wa hayo yote, itapendeza zaidi.
Ahsante kwa ufafanuzii.2&3 mtu mmoja tu aitwae software developer.
1,5 & 6 anaweza kuwa mmoja aitwae Graphic designer hasa aliye bobea kwenye multimedia.
Note: Wapo wanaofanya hizo zote kwa ufanisi lakini itakuwa very unprofessional.
Atazidiwa na kazi.
kwamba cocastic ni soda iliyoisha gesiMkuu mali ama Rinda?