Mtaalamu wa masuala ya computer science na software engineering anahitajika

Mtaalamu wa masuala ya computer science na software engineering anahitajika

Kutoka kuomba vocha za jero jero kwa Antonnia, mpaka kuja kuajiri watu. Kweli maendeleo ni hatua, hongera sana coca

Huyu dogo mshamba_hachekwi ni computer scientist, mpe ajira atakusaidia
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ Nimecheka hadi kutaka kutapika.
Sijawahi kuomba vocha za jero kwa huyo, nilikua naomba hela, ila kulingana na kazi yangu kwake.
Uchawa bila malipo?? We ulisikia wapii??

Vipi sahivi hujasikia naomba kwa nani?? Au files hazijafika masijala kwako??
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ mabwakuuu!!!
 
Unatafuta watu wa 6 tofauti wawe ndani ya mtu mmoja.
1. Graphic designer
2.Software developer
3. Mobile app developer
4. Bloger
5. Photographer
6. Videographer
Kwa kifupi natafuta Digital markerter. Ieleweke hivyoo.
 
Hao wanaosema huyo sio mtu mmoja wapuuzie mbali.

Hizo fani ni tofauti ndio ila kuna watu wamafanya vyote hivo.

Mfano mmoja tu, mimi nimesoma economics ila website development na logo design nazipiga fresh tu.

Ni uvivu tu watanzania
Bora hata wee unisaidie hapa, maana Wajaa wana nongwa hatariii. Lol
 
Unatafuta watu wa 6 tofauti wawe ndani ya mtu mmoja.
1. Graphic designer
2.Software developer
3. Mobile app developer
4. Bloger
5. Photographer
6. Videographer
2&3 mtu mmoja tu aitwae software developer.
1,5 & 6 anaweza kuwa mmoja aitwae Graphic designer hasa aliye bobea kwenye multimedia.
Note: Wapo wanaofanya hizo zote kwa ufanisi lakini itakuwa very unprofessional.
Atazidiwa na kazi.
 
Back
Top Bottom