Mtaa wa kwa Kindande Temeke visa vyake

Mtaa wa kwa Kindande Temeke visa vyake

Ukifika Temeke kuna mtaa unaitwa Mji mpya ndani yake kuna kamtaa korofi kanaitwa KINDANDE.

Kindande kuna maskani maarufu inaitwa Lebanon.

Huu mtaa kwa kindande ni mtaa ambao unaogopeka kupita bila taadhari kwa saa 24..Mambo yote maovu yapo hapo kuanzia wizi kukaba mchana umalaya uvutaji bangi ulio kubuhu.

Katika maisha yangu yote sijawai kuona wanawake wanavuta bangi kupita wanaume ni mewaona kwa Kindande.

Mabinti wa kwa Kindande wanatabia ya kukaa nje wakikuomba hela ukakataa kutoa hayo matusi yake ni balaaha.

Mabinti wa kwa Kindande wanaongoza kucheza vigodoro wakiwa uchi sometimes wanakodishwa kwenda kusasambua kwenye vigodoro vya majirani zao Mtongani,Tandika,Wailes, na Mbagala.

Hawa mabinti wana tabia ya kukodi boda boda usiku mishale ya saa 7 usiku na kuendelea wana tegesha sehemu za starehe ukijiroga ukampakia mkifika tu kwa Kindande kuna makaburi mitaa hiyo litakuja kundi litakupiga piki piki inaondoka.

Kwa Kindande ukimpenda demu ukichepuka kazi unayo utapigwa na kundi lake plus matusi juu hila yeye kuchepuka ruksa.

Wana maskani yao inaitwa Lebanon hiyo na polisi ni kufukuzana kila siku hapo unawapata madogo wa miaka 12 waliopinda wapiga bangi hatari.

Huku unakuta dogo naye ni baba vibinti vidogo navyo ni single mother.

Huu mtaa unaongoza kwa matusi kwa lika zote hakuna heshima kwa mkubwa wala mdogo.

Hiki kimtaa kimepakana na Tandika Kwa Aziz Ally Temeke mwisho na Mtoni mtongani.

Kama sio mtu wa vulugu usipange mtaa huu...
Iyo mitaa niilingia nmekunywa valiamu na pangi namtafuta aliyenizingua mbona walisema yesu awabebe.
 
Hahaha sema wahuni wenyewe wa kindande wanakwambia kuna sehem kunaitwa kaburi moja huko ndio hakufai kabisa3
Kuna siku nilikwenda huko yombo kila Kala. .yaani nilivyokuwa na pita mtaani kila mtu alikuwa ana nitizama. .Vijana wame-choka hatari. ... nilipo ondoka salama nikajiapiza kuwa sinto rudi tena --- hiyo ilikuwa ni mwaka 2014. ...na kweli mpaka Leo sija kanyaga kule
 
Dar !!ni kubwa mkuu it's depending Unaishi sehemu gani '' Tabia kama hizo hauwezi kuzikuta sehemu kama mbezi Luis yote. .kimara. .tabata. Boko. .na sehemu nyingine zenye mfanano huo
Tabata kimanga chimbo jipya la wanga na magaidi
 
Ukifika Temeke kuna mtaa unaitwa Mji mpya ndani yake kuna kamtaa korofi kanaitwa KINDANDE.

Kindande kuna maskani maarufu inaitwa Lebanon.

Huu mtaa kwa kindande ni mtaa ambao unaogopeka kupita bila taadhari kwa saa 24..Mambo yote maovu yapo hapo kuanzia wizi kukaba mchana umalaya uvutaji bangi ulio kubuhu.

Katika maisha yangu yote sijawai kuona wanawake wanavuta bangi kupita wanaume ni mewaona kwa Kindande.

Mabinti wa kwa Kindande wanatabia ya kukaa nje wakikuomba hela ukakataa kutoa hayo matusi yake ni balaaha.

Mabinti wa kwa Kindande wanaongoza kucheza vigodoro wakiwa uchi sometimes wanakodishwa kwenda kusasambua kwenye vigodoro vya majirani zao Mtongani,Tandika,Wailes, na Mbagala.

Hawa mabinti wana tabia ya kukodi boda boda usiku mishale ya saa 7 usiku na kuendelea wana tegesha sehemu za starehe ukijiroga ukampakia mkifika tu kwa Kindande kuna makaburi mitaa hiyo litakuja kundi litakupiga piki piki inaondoka.

Kwa Kindande ukimpenda demu ukichepuka kazi unayo utapigwa na kundi lake plus matusi juu hila yeye kuchepuka ruksa.

Wana maskani yao inaitwa Lebanon hiyo na polisi ni kufukuzana kila siku hapo unawapata madogo wa miaka 12 waliopinda wapiga bangi hatari.

Huku unakuta dogo naye ni baba vibinti vidogo navyo ni single mother.

Huu mtaa unaongoza kwa matusi kwa lika zote hakuna heshima kwa mkubwa wala mdogo.

Hiki kimtaa kimepakana na Tandika Kwa Aziz Ally Temeke mwisho na Mtoni mtongani.

Kama sio mtu wa vulugu usipange mtaa huu...
Pole sana Kunde Ekeke niliwahi kukuuliza uliswagwa wapi ukarukaruka weeeee leo umeamua kumwaga hahahaha!!! hao siyo watu wazuri. kamanda Muroto atakua niliwahi kuishi Kindande.
 
Kaburi moja na pajua. .ila nilikuwa sijui kama ni wahuni. ...Si Kuna bara bara ya lami ukiifuata waenda kutokea tandika kwenye ile petrostation..yenye njia ya kuelekea Yombo vituka. ..?
Hahaha sema wahuni wenyewe wa kindande wanakwambia kuna sehem kunaitwa kaburi moja huko ndio hakufai kabisa3
 
Hahaha sema wahuni wenyewe wa kindande wanakwambia kuna sehem kunaitwa kaburi moja huko ndio hakufai kabisa3
Kaburi moja kule juu kuna barabara ambayo kulia inakwenda kutokezea tandika kushoto inaungana na barabara ya mbagala maeneo ya darajani
 
Kaburi moja na pajua. .ila nilikuwa sijui kama ni wahuni. ...Si Kuna bara bara ya lami ukiifuata waenda kutokea tandika kwenye ile petrostation..yenye njia ya kuelekea Yombo vituka. ..?
Ndio huko mkuu kote huko hakufai kabisa
 
Kuna rafiki yangu mmoja Magereza aliwahi kuibiwa mwaka 2010, akanitaarifu tukakutana kama washkaji 15 hivi, unaambiwa wahuni wote walihama mtaa siku hiyo, maana tulitokea kwa Azizi Ali, kuingia tu maeneo yao wahuni wote walikimbia
Tuliwatembezea kichapo, wakizunguka mtaa wa pili tupo ni mwendo wa kichapo tu , ndani ya masaa mawili kila kona tukikatisha wao ni mwendo wa kukimbia

Yes huko huko mkuu ni habari nyingine pande hizo wahuni wakindande wanakwambia kule ndio watu wamechanganyikiwa hatari
Duh --- Kuna jamaa yangu Alipanga area zile. .Yeye alikuwa Amepanga nyumba nzima. ..aliwahi kuni fuata sinza Kuna biashara tuliifanya akaniambia nikafuate pesa kwake. ..ndio ilikuwa Mara yangu ya kwanza kufika huko .....ila mpaka naondoka sikuwa nazijua sifa za huo mtaa
 
Back
Top Bottom