Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,900
- Thread starter
- #341
Ni Fid Q rado Ali twist mstari kumdiss FidYa Rado hii
Ni Fid Q rado Ali twist mstari kumdiss FidYa Rado hii
Hahaha umetisha ya Rado..!Ya Rado hii
and fid alisanda hadi akashindwa Ku respond..rado wonHahaha umetisha ya Rado..!
Vita baridi ilikuwa imetanda...Fid vs rado
Rado aliichezea chezea mistari ya fid.
Ile ngoma ya rado "Usiulize" ilikuwa ni moto wa kuotea mbali.and fid alisanda hadi akashindwa Ku respond..rado won
unajua kwa nini Rado alimdiss fid??Ile ngoma ya rado "Usiulize" ilikuwa ni moto wa kuotea mbali.
Mpaka kitaa ulikuwa ukiuliza swali wana wanakujibu Pigia msitari.
Hapana sina taarifa sahihi,nipe habari man ilikuwaje jamaa kumdiss fid.unajua kwa nini Rado alimdiss fid??
Usiache kile ulichotaka maishani ghafla tu na kufata kile ulicho tamani.
Asiye mpenda ndugu yake anaye mwona hawez mpenda mungu asiyemwona!!!!!! Halafu !!!!! Adui yako unaye mmudu ni vyema kumuombea dua kwa mungu unayemwamini ili aendeleee kumuumbua ! Tisha mbaya mbovu
kaka mubaya.haha Kemosabe