amsr
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 259
- 303
Akiipumzisha itaota kutu wakati hii kitu sio funguoSiku zote Adam hakosi Eva kumshawishi haijarishi maji ni ya moto lazama angeurudia ubaridi.
Anamuomba mungu amsitiri zaidi ya mwili wake na nguo
amsr.
Akiipumzisha itaota kutu wakati hii kitu sio funguoSiku zote Adam hakosi Eva kumshawishi haijarishi maji ni ya moto lazama angeurudia ubaridi.
Torati ya mtaa tunaishi wabishi tunaishi kwa peaceAnaekuchukia ni lazIma atakutia hila,Anaekusifia nia ni kukupunguzia hasira/ So cheza na hawa wawili vyema,ki clever ki akili tena/mkakati safi ndi ndi ndi classic ki jiii dena/ Msaada ni sadaka kuupokea haulazimishwi/unaeza fuata unachotaka au ukangojea URITHI/Na ukibebwa jishkize hiyo ndo LOVE, usiwe kambale..mwenye mali asivunjike mbavu/ usipigane pale utapoona haushindi/au simama upambane,uwabane mtaani usionekane pimbi/ Ugomvi wa mtaani mpaka mawe yanahusika/ili wapagawe,usichachawe we yagawe kiuhakika/ Wachachawe kabisa, wainawe hii vita,mawe ukiyashika ili nawe ukipita pawe na sifa mawe yanatishaaa/ shika mpini chanika ili usife njaa,na ukifika mjini DILI ikalipa we jipe raha..
Wakumbuke waliokusapoti kabla hujaanza kuwaita wanaafikiWasameheee wanaokuchukia sababu unavaa vizuri
Ngoma inaitwa star
Umenikumbusha mbali sana mkuu hahaha ile usiku silali kama haunambii g9t ,siendi safari kama haunambii gud bye....kwako nimedata longtime leo nahitaji uwe na mimi/ penzi lako ni tamu zaidi ya bao la usingizini/penzi ni kikohozi kulificha hauwezi/lina nguvu zaidi ya umeme na halijengwi kwa simenti/apendaye vingi... hatoshiba nyongeza/jambo moja tu la msingi naomba ujue NAKUPENDA..FID Q
Nice nice ila nimeona makosa mkuu hahahaKorombwea hayo maisha ya kuungaunga, hiyo shughuli mi naiweza
Hapa utaambulia ushauri ukihitaji msaada wa kifedha
Mi kujiita rasta, wenye chuki tu wanapinga
Wanashangaa na kula nyama, hawajui nyota yangu ni ya simba
Asiye fikiri kabla ya tendo, atatendwa pale akidamka
Na usinidiss kwa kiswahili kama hujui hata kukitamka
Kuongea sio kusema na kufumbua macho sio kuamka
Wasiwasi ukiwanyima raha, mistari itawafanya kuchangamka
Mnapagawa na baadhi ya mambo ambayo nayajua
Pia nna uwezo kufanya mpaka madawa yanaugua
Hii ni I level, sio high level ndio maana hunioni
Waulize wenzako, Fid Q yupo juu zaidi yako homie
Nipo juu, je utanibana kama kizibo cha soda?
Kushuka ngazi tu unahema, je kuzipanda hupati uoga?
Amini usiamini, Fid Q ndiyo sauti ya mtaani
Je, mtafurahi nikishuka chini kama mademu wa marubani
Bora kuogopwa, wakikupenda watakuchukia
Nilipo na nilipo anzia, sipo napo hitaji nibaki pia
Si hofii kupitwa ilimradi muda usiniache
Hii ni kwa wote, popote
Siogopi kuomba mvua najua mnayahofia matope
Mwingine anakurupuka ananiiga, anasema sifai
Naona vibaya kumjibu, sahau kutupa mawe juu ya mayai
Chipukizi chapeni kazi ili mng'atuke mlipokwama
Vumilieni kama nyota mtatoka jua likizama
Ni binadamu sijakamilika, kuandika rhymes sikosei
Japo miluzi ni mingi lakini jibu huwa sipotei
Nitaendelea kuwa mshindi wa juu ka majani na record Bongo
Nakutembea kifua mbele utadhani nimedundwa ngumi ya mgongo
Kwa ulipofikia naona unataka nigombane na kijilima cha poriniNa sitosita kusema asante au kuwasifia mkinisaidia,washkaji baadhi hawana haki ya kuipressure hii medula,wako radhi kukupa pombe na siyo pesa ya kula
[emoji445] [emoji441]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa ulipofikia naona unataka nigombane na kijilima cha porini
amsr.
Akupenda kuonekana kama kifaranga cha kuku,kila siku atanyonya wapi wakati maziwa iko huku,kijana akawa mchezaji zaidi ya Ronaldo wa brazil 9 ukiuongeza moja bado aikamilishi dozen,wote walivishwa kofia wote hawakua na kitu alichopoteza hakiesabu anaesabu alichobakiza.Akiipumzisha itaota kutu wakati hii kitu sio funguo
Anamuomba mungu amsitiri zaidi ya mwili wake na nguo
amsr.
Amazing !!Nimekupenda free kabisa!Akupenda kuonekana kama kifaranga cha kuku,kila siku atanyonya wapi wakati maziwa iko huku,kijana akawa mchezaji zaidi ya Ronaldo wa brazil 9 ukiuongeza moja bado aikamilishi dozen,wote walivishwa kofia wote hawakua na kitu alichopoteza hakiesabu anaesabu alichobakiza.
Give me some mom[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna kinachokauka mapema zaidi ya machozi,japo mwili ubaki na udhuni na usoni ishara ya majozi,kizuri ni kizuri lakn chenye ubora ni ubora,kwa bahati mbaya akaja mchimba madini wakapora,akashoka na huyu binti wa mjini aliemsafisha macho akasahau jasho mchozi na damu kipindi anahustle siku si nyingi anaamini atarudi hapohapo,siku zote Adam hakosi eva kumshawishi haijalisha maji ni ya moto lazma ataurudia ubiridi.Amazing !!Nimekupenda free kabisa!
Alipenda kwenda na tarehe akasahau kua siku hazilingani
Pesa huja na starehe na matatizo humohumo ndani
amsr
Naomba uniweke ndani ya chupa kwako nifike kabisaHakuna kinachokauka mapema zaidi ya machozi,japo mwili ubaki na udhuni na usoni ishara ya majozi,kizuri ni kizuri lakn chenye ubora ni ubora,kwa bahati mbaya akaja mchimba madini wakapora,akashoka na huyu binti wa mjini aliemsafisha macho akasahau jasho mchozi na damu kipindi anahustle siku si nyingi anaamini atarudi hapohapo,siku zote Adam hakosi eva kumshawishi haijalisha maji ni ya moto lazma ataurudia ubiridi.
Greeting's, Alisina ."Asiye mpenda ndugu yake anayemuona hawezi kupenda Mungu asiye muona"
"Ya juzi si ya jana na hata ya Jana si yaleo,enyi vifuata upepo kesho mtakosa muelekeo"
Mwanza-fid q.