Nabii kibonge
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 277
- 310
sumungoma gani hii
sumungoma gani hii
iyo kali sana hata mm naikubal ile ile yanMachizi sikusoma nao, tulikutana tu mtaani,udogoni sikucheza nao lakini ndo machizi wa ukubwani
haki ya mungu tena chuki humchoma anayehifadhiDawa sio chungu ndugu,chungu maradhi
Uswahilini kwetu ndio wanaimba hvyo.... sijawahi sikia neno boss wala ballmmmh hiyo yako.
ninaitwa boss na Nina ball kama babangida
Weeeeeeeeraweeera niljua ni sias pekee ndo unaziwezaMe ndio yure jamaa anajua mpaka anaboa!.. hautaki kuja wakati muuno kama bily jean!..
Me nina asili ya mjini na utajiri amini!..unajua mie najitambua toka kitambo naonyesha uhalisia ili mcheua ule ukweli wa mambo!..[HASHTAG]#Upo[/HASHTAG] hapo [emoji2]
salsa salsangumu kuitafuna usiimeze haraka, sumu ushainywa jiandae tuu kucheza ....