Mstari gani au verse ya FID Q umekubamba?

Mstari gani au verse ya FID Q umekubamba?

Napokuja, siji kwa speed ya kishamba

Wanashtuka fid siku hiz ana kifrij
Sio mwembamba

Mimi ndo gwiji toka jiji lenye miamba
Siwapig kamba sauti ya rock city itazid tamba ha ha ha fid Q fet Nako - hakuna
 
Machungu unapozimwa,ili ufunikwe na asiyeweza/ Mbaya zaidi wanampa Promo halafu kwenye Show unammeza/ hautaki kuwa tatizo sababu unaweza tatuka/hauwezi jua wapi nitatua ka Jiwe gizani likitupwa/ wanaficha ili nisione wakati tayari nishajua/hamkomi? igeni nione jinsi msamba mnaupasua/ hivi mnaishi ili mle au mnakula ili muishi?/ kumbuka a small leak will sink a ship/ mazingira hatarishi, Mabwana afya wanamaPesa Mob/ uswazi tunaomba mvua zinyeshe ili tutapishe vyoo/ ogopa kuoa haraka kama unaogopa talaka/ na ukivote in a hurry ujue unaproduce corruption/ maneno yao ni matamu lakini midomo yao inanuka/ ukipewa usisahau,ukitoa TOA bila kukumbuka/ usihofie kupitwa ilimradi muda haukuachi/ amini kesho itafika kama ipo ili uipate/ tunachukiana kwasababu tunaogopana/ tunaogopana kwa sababu hatujajuana/ hatujuani kwasababu tunatengana/ dunia ni nzuri.. walimwengu hawana maana/
 
Mkali wa rhymes ambae sogidogi amtaki, anamwita kobe hawezi mzidi mbio farasi
 
Achana na jamaa anaependa kujiita King,,haja Fanya kitu chochote kwenye Rap Game ya Bongo,,but kwa Ngosha,Bandidu,Jasiri.,mwanamalundi..ndio Real MC kwenye Game,,size yake wengi wapo hoi kwa madawa,baadhi wapo kwenye Siasa,Wengine Wapo Busy na maisha Nje ya Music..RIP Langa&Ngwair..


Dondosha Mstari wa Fid unaoupenda,Ku prove kwa haters kua NGOSHA sio wa kawaida..naanza

''The Pablos and the Narcos are Formal,Bro's like Warner so the options are PLATA OR PLOMO"
Ng'ombe kula nyasi halafu anatoa maziwa
 
Hatuna kesi ikiwa manyunyu ya mvua kwa siafu ni mafuriko

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3] Fresh
 
Wabana pua kuimba mapenzi ,je itafanya ukimwi usepe?
Media zinapromoti beef ‘’wanadai zinakuza muziki’’

Sijui nini na nini nimesahau uko mbele huhuhuu[emoji125] [emoji125]
hizo ni propaganda, usiulize ni nani, ni wapi saa ngapi ilikuwaje ili iweje..

Hizo ni propaganda,utaibiwa ukicheza blunder
 
Back
Top Bottom