Mstari gani au verse ya FID Q umekubamba?

Mstari gani au verse ya FID Q umekubamba?

Wa zamani siwezi muacha na mpya niliyempata huku kwetu, mjanja hawezi ingia dukani kununua viatu akiwa peku, kila msichana anataka bwana mwenye demu inaonakana wanasaka bwana mwenye game,

Mnachana mnachoma picha mnachange namba za phone,inakuumiza kichwa mapenzi yako moyoni, muda unapita unamuenzi hadi ndotoni, unagundua yule mshenzi hakupendi lakini haumkomi,akikutega akijiweka hukohoi, unakesha tu unacheka ushatekwa homeboy.
 
Huyu jamaa hawamuwezi
 
Machizi wa kweli wako wap unakulanao happy Leo kesho wanamtaka mkeo sihitaji rafiki labda bdae akitokea
 
Akiificha itapata kutu kwani hii kitu sio ufunguo,anamuomba mungu amsitiri zaidi ya mwili wake na nguo,kijana akawa mchezaji zaidi ya ronaldo wa brazil,tisa ukiongeza moja bado haikamilishi dazeni
 
We sio fid q!?,ndo mimi alwatan hapa mjini,na huu ndo muda mzuri wa kumlaani shetani.....hapo bwana jambazi katimba kiwanja fid anamuhubiria neno plus kujitambulisha asimdhuru
 
Bifu huletwa wivu
Na wivu sio hip hop
Mc anaetaka bif amlete maza ake kwa stri......
 
Fid Q wa chattle city hajui kitu,
King in A.city ni joh makini.
[emoji4] [emoji444] [emoji441]
 
Fid Q wa chattle city hajui kitu,
King in A.city ni joh makini.
[emoji4] [emoji444] [emoji441]
Joh kaishiwa kitaamboo..joh wa chochote nilimkubali,akaja kuzidisha tambo na majigambo..kisha kaja kwenye..kuandika visivyoeleweka..joh wa rafiki na suma lee alikua mtamu...'mshikaji rafiki gani,si muwazi una mambo ya kichinichini,umediriki kuwatongozea wanaume my honey..'
 
Niite mc anaekuna rhyms nawasha kama upupu
Kama utakua hujavuma ni vip utakua maarufu
Najituma napakua madude ya nguvu,nashtukia nmekuacha nyuma baada ya kunifanyia ushushu,

Najua roho unakuuma unapokohoa mi sikohoi
Unafuga nguvu kwa vyuma kurap we goigoi
 
Back
Top Bottom