goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
Siyo chuki ukweli ndiyo huoAcha chuki za kimkoa FID anajua sana hata Fareed kubanda anajua hilo.
Joh makini ni fundi wewe the real mc of all time.
Fid Q ana bahatisha..
" Freshi kama pipi ya mint, pipi ya binti p p ya lifti p ile please pf3 ya polisi "
" nikipata cash nakuwa freshi kama cucumber, nikiwa deshi nakuwa mjeshi bila full gwanda "
Sasa anaimba utumbo gani hapo. [emoji4] [emoji13] [emoji23] [emoji1]
KING JOH MAKINI ATAWANYOOSHA HUU MWAKA.