Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,135
- 9,405
Sasa kaka hao na samia wana utofauti gani?Hiyo yote ni mizigo
Sasa kaka hao na samia wana utofauti gani?Hiyo yote ni mizigo
Kwa huyo haiwezekani,kwani atakaye chaguliwa safari hii ni mtu tofauti sana.Samia mwenyewe alijichanganya tu,unampaje nchimbi umakamu wakati historia yake inajieleza waziwazi,umakamu unampa mtu mwenye low iq,mtu wa hewala bwana,mtu asiye na ambition yoyote ile,ni kuishi,kula na kusubiri amri ya MunguKutoka kwenye korido za siasa huko teeth, Mstaafu mmoja aliyependwa sana awamu ya 5 tayari amedokezwa ajiandae kula kiapo siku chache zijazo kama Makamu wa Rais mpya.
Wabaya hawafisijui kwanini mabaya hayawakuti wabaya
hata kuumwa tuWabaya hawafi
Kwa sababu unampenda sana au umahiri wake?Katiba ingeruhusu wangemrudisha Mh. Jakaya
Anamdhihaki jakayaKwa sababu unampenda sana au umahiri wake?
Mola apishilie mbali.Anamdhihaki jakaya
Jakaya hajazuiwa kuwa makamu wa rais, bali kazuiwa kuwa rais. Kama unabisha lete ibara ya katiba.Katiba ingeruhusu wangemrudisha Mh. Jakaya
Ruangwa FinestHapo atakuwa Mpango au Majaliwa
Hatuwezi kumpa Dotto aliyezaliwa mwaka 1978(48yrs) ni umri mdogo kwa majukumu hayo..Doto Biteko.
..alikuwa kafungiwa Kizimkazi hivi majuzi.
Hatuwezi kumpa Dotto aliyezaliwa mwaka 1978(48yrs) ni umri mdogo kwa majukumu hayo
Nchi itaingia gharama kumtunza hadi atakapofariki (pengine miaka 75/85 ama 98 ya Mzee Mwinyi).
Kwa maoni yangu, anapaswa apewe mtu ambaye umri umesogea sogea kidogo kuepusha hasara kwa Serikali
Basi wenzetu hawana nia njema kuisaidia Nchi..hoja yako ni ya msingi.
..lakini nadhani wao wana malengo mengine.
..wanajali madaraka yao zaidi.
Basi wenzetu hawana nia njema kuisaidia Nchi
Unajua miaka ya karibuni Wage bill ya Serikali imekuwa kubwa mno
Bado wanataka kuipaisha zaidi, mwisho wa siku hela zote za makusanyo na Kodi zitakuwa zinatumika kulipana mishahara tu badala ya kufadhiri miradi ya maendeleo
Ni kwa sababu wabaya wanacontol nature.sijui kwanini mabaya hayawakuti wabaya
Mtengeneza mabaya ndiye Baba yao.sijui kwanini mabaya hayawakuti wabaya