Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,575
- 18,485
Basi tuseme, in shaallahJakaya hajazuiwa kuwa makamu wa rais, bali kazuiwa kuwa rais. Kama unabisha lete ibara ya katiba.
Basi tuseme, in shaallahJakaya hajazuiwa kuwa makamu wa rais, bali kazuiwa kuwa rais. Kama unabisha lete ibara ya katiba.
Vyote mwayaKwa sababu unampenda sana au umahiri wake?
Jiwe hivi sasa Bila Shaka ni cement.Kutoka kwenye korido za siasa huko teeth, Mstaafu mmoja aliyependwa sana awamu ya 5 tayari amedokezwa ajiandae kula kiapo siku chache zijazo kama Makamu wa Rais mpya.
Nawe ni mama kumbe!!!???ASHA ROSE MIGIRO , YANI WANAWAKE OYEEEEE , AKINA MAMA TUCHAPENI BAKORA , HIKI NI KIZAZI CHA WATOTO WATUNDU.
Hivi mafao ya ustaafu ya Unaibu waziri Mkuu si anapata?Hatuwezi kumpa Dotto aliyezaliwa mwaka 1978(48yrs) ni umri mdogo kwa majukumu hayo
Nchi itaingia gharama kumtunza hadi atakapofariki (pengine miaka 75/85 ama 98 ya Mzee Mwinyi).
Kwa maoni yangu, anapaswa apewe mtu ambaye umri umesogea sogea kidogo kuepusha hasara kwa Serikali
HahahahahahaKatiba ingeruhusu wangemrudisha Mh. Jakaya
Anawe sema ni mkali kupindukia huenda akawa na misimamo kama ya magu endapo akija kabidhiwa kamili.sema ni mchapa kazi kiutendaji anaweza wezaKutoka kwenye korido za siasa huko teeth, Mstaafu mmoja aliyependwa sana awamu ya 5 tayari amedokezwa ajiandae kula kiapo siku chache zijazo kama Makamu wa Rais mpya.
Nahisi anapata, kama ilivyokuwa kwa mrema tu miaka ileHivi mafao ya ustaafu ya Unaibu waziri Mkuu si anapata?