Msomaji alitolea uvivu 'Raia Mwema'

Msomaji alitolea uvivu 'Raia Mwema'

Niwapatie background kidogo: Gazeti la Jumatano la Raia mwema lilipata matangazo toka Hazina kuhusu masuala haya ya malipo ya walimu na hivyo likachapisha matangazo hayo na ndiyo msingi wa email hii:

Mwandishi bulogu yake: kijana; nyegerage, karibuni, hiki ndo kijiwe chetu sema utakachokusema!!

My Take:
Natumaini Raia Mwema watachapa hiyo barua.

MwanaKijiji,

Nyagerage anapaswa kufahamu kuwa bila matangazo magazeti hayawezi kujiendesha. RaiaMwema sio gazeti la kupata faida, ni gazeti la huduma zaidi ili tupate kusoma makala kama za kina Lula etal.
Matangazo ambayo raiamwema imepata wiki iliyopita yaweza kusaidia kuchapa raia mwema kwa wiki kama tano zijazo na hivyo kutusaidia kupata ambacho hatupati kutoka magazeti mengine - habari za uchambuzi na uchunguzi.

Ninashauri tu kwa raiamwema kuwa inapotokea kuna matangazo mengi kama yale, basi waongeze ukubwa wa gazeti kwani wasomaji tunaonewa kwa kukosa makala. Pia waandishi wa makala kazi zao zakosa nafasi.

Barua hiyo ichapwe, lakini with a note ya mhariri kuwa gazeti haliendeshwi kwa mauzo tu ya gazeti bali kwa matangazo.

Mmesikia kuwa serikali imetoa notice kwa wizara kutopeleka matangazo yake kwa vyombo vya habari vya Mengi? Lengo ni kuua vyombo hivi na kumfanya Mengi aache kusimamia habari za ufisadi. Tanzania mtangazi mkuu ni Serikali - wanaJF tujue hilo.
 
Nimependa jibu lako hilo.
Ninashauri tu kwa raiamwema kuwa inapotokea kuna matangazo mengi kama yale, basi waongeze ukubwa wa gazeti kwani wasomaji tunaonewa kwa kukosa makala. Pia waandishi wa makala kazi zao zakosa nafasi.

Nadhani ni kuwa na mtindo mzuri wa kupanga ni kuchagua. Wakati mwingine mnaweza kupewa matangazo mengi zaidi ili msifanye mlichotakiwa kufanya wiki hiyo. So, nadhani mhariri awe na uwezo wa kusema hapana pia.

Barua hiyo ichapwe, lakini with a note ya mhariri kuwa gazeti haliendeshwi kwa mauzo tu ya gazeti bali kwa matangazo.

absolutely
Mmesikia kuwa serikali imetoa notice kwa wizara kutopeleka matangazo yake kwa vyombo vya habari vya Mengi? Lengo ni kuua vyombo hivi na kumfanya Mengi aache kusimamia habari za ufisadi. Tanzania mtangazi mkuu ni Serikali - wanaJF tujue hilo.

Sidhani kama order hiyo ya serikali inaweza kusimama mahakamani kwani tuna "non-discrimination clause" kwenye Katiba. Kama agizo hilo ni rasmi Mengi akienda mahakamani atashinda kirahisi tu. Serikali haiwezi kuwatendea wananchi wake kwa ubaguzi.

a. Makampuni ya Mengi yanalipa kodi kwa serikali? Kama analipa kwanini kodi yake iweze kwenda kwenye makampuni mengine kwa mkono wa serikali hiyo hiyo?

b. Serikali inachotumia kupelekea matangazo siyo fedha ya CCM. Sasa CCM wanaweza kukataa kupeleka matangazo yao kule lakini serikali haiwezi kutoa agizo la kibaguzi na inapofanya hivyo Mahakama inatakiwa iingilie kati na kusema "no you can't do that".

Vinginevyo watakuwa wameamua kumtengeneza shujaa!
 
hata sielewi...
Gazeti ni biashara ya mtu na inategemea unataka kuwatangazia wananchi kitu gani.. Hupendi Matangazo usinunue, tafuta gazeti lenye kurasa nyingi za habari unazotaka wewe kusoma.
Inawezekana kabisa Raia mwema wana wateja wengi wanaotaka kununua vitu, kutafuta kazi, kutafuta wachumba na kadhalika, hivyo soko lao la biashara limehama toka habari za Kudanganyana kwenda habari za maisha halisi..
It's all business!

See..this is why I like Bob Mkandara...he calls it as he sees it....
 
Sidhani kama order hiyo ya serikali inaweza kusimama mahakamani kwani tuna "non-discrimination clause" kwenye Katiba. Kama agizo hilo ni rasmi Mengi akienda mahakamani atashinda kirahisi tu. Serikali haiwezi kuwatendea wananchi wake kwa ubaguzi.

a. Makampuni ya Mengi yanalipa kodi kwa serikali? Kama analipa kwanini kodi yake iweze kwenda kwenye makampuni mengine kwa mkono wa serikali hiyo hiyo?

b. Serikali inachotumia kupelekea matangazo siyo fedha ya CCM. Sasa CCM wanaweza kukataa kupeleka matangazo yao kule lakini serikali haiwezi kutoa agizo la kibaguzi na inapofanya hivyo Mahakama inatakiwa iingilie kati na kusema "no you can't do that".

Vinginevyo watakuwa wameamua kumtengeneza shujaa!

Upo sahihi kabisa. Tatizo Watanzania ni wazito kutetea haki zao. Amri kama hii ilishatoka kwa Tanzania Daima na MwanaHalisi. Lakini wakaresort to mazungumzo na serikali badala ya kuinvoke non-descrimination clause.

Amri kama hii ilitoka kwa mwananchi pia, wao waliamua kuachana na serikali na kuanza kuwachapa kweli katika habari zao mpaka serikali ikasalimu amri. Mwananchi waliweza kwa sababu wana fedha nyingi sana - The Nationa Media Group under Aghakhan....
 
Hilo agizo ningependa kweli kuliona. Lakini siamini kama liko kwenye letterheads za serikali ni agizo la mdomo tu. Hakuna haja ya mazungumzo na serikali you just sue it. Haya mambo ya kuwapigia magoti ndiyo yanayowapa kichwa.
 
Wewe uliyandika ujumbe huu hauna maana hata blogu yako sitembelei -- kama kutangaza blogu ni kwa hoja kama hizi na lugha hizi basi wabongo tuna safari ndefu za mafanikio nina uhakika wewe utakuwa ni mhitimu wa mlimani

Shy;

Ngoja nikupashe kidogo.

Wewe kufanya kazi eneo la Chuo kikuu Mlimani kama PC technician na kuzoeana na baadhi ya wanafunzi KUSIKUFANYE udharau chuo kikuu cha 13 kwa ubora Africa!.

Angalau ungekuwa na angalau Advanced diploma ungestahili angalau kudhiaki degree za hapo Mlimani. KULE KUTOKUWA NA ANGALAU DIPLOMA KUNAKUFANYA KUWA MIONGONI MWA WATANZANIA WENGI WASIO NA DEGREE.

Kijana binafsi sikuelewi kabisa, jiunge na kozi za jioni hapo chuoni angalau upate degree yoyote tu angalau. Kuna tofauti kubwa tu kati yako na hao wahitimu.
 
Hoja anayo licha ya lugha yake kwamba wasomaji wa Raia Mwema wanastahili kupata gazeti ambalo linalingana na bei wanayonunulia!! As for gazeti kutumiwa bila wao kujua , hilo linawezekana kwani huoni Ulimwengu alivyo'tone-down' makali yake kwa awamu ya nne sio kama alivyokuwa zamani; mwanaume aliyebakia katika rika yao ni Johnson Mbwambo basi!!.
 
Shy;

Ngoja nikupashe kidogo.

Wewe kufanya kazi eneo la Chuo kikuu Mlimani kama PC technician na kuzoeana na baadhi ya wanafunzi KUSIKUFANYE udharau chuo kikuu cha 13 kwa ubora Africa!.

Angalau ungekuwa na angalau Advanced diploma ungestahili angalau kudhiaki degree za hapo Mlimani. KULE KUTOKUWA NA ANGALAU DIPLOMA KUNAKUFANYA KUWA MIONGONI MWA WATANZANIA WENGI WAIO NA DEGREE.

Kijana binafsi sikuelewi kabisa, jiunge na kozi za jioni hapo chuoni angalau upate degree yoyote tu angalau. Kuna tofauti kubwa tu kati yako na hao wahitimu.

Kaka mdogo wako sijui haioni UCC wakati kila siku anashinda hapo mlimani? Ila FP wewe unajua waliomfundisha hacking of websites na utundu utundu wa ICT tunao humu humu ndani!! Hao ndio wa kuwalaumu!!!
 
Jamani tusisahau kuhusu ecommerce magazeti mengi makubwa sikuhizi hayategemei mauzo ya karatasi pekee wanatakiwa waanzishe utaratibu mwingine wa kutangaza kupitia tovuti yao naamini huko watapata mauzo zaidi na mafanikio haswa tovuti hiyo ikijengwa kwa umakini zaidi
 
shy;

ngoja nikupashe kidogo.

Wewe kufanya kazi eneo la chuo kikuu mlimani kama pc technician na kuzoeana na baadhi ya wanafunzi kusikufanye udharau chuo kikuu cha 13 kwa ubora africa!.

Angalau ungekuwa na angalau advanced diploma ungestahili angalau kudhiaki degree za hapo mlimani. Kule kutokuwa na angalau diploma kunakufanya kuwa miongoni mwa watanzania wengi waio na degree.

Kijana binafsi sikuelewi kabisa, jiunge na kozi za jioni hapo chuoni angalau upate degree yoyote tu angalau. Kuna tofauti kubwa tu kati yako na hao wahitimu.

ahhaa yaani katika vyote umeona uandike hicho sijui mara yangu ya mwisho mimi kufika hapo ucc na udsm sijui ni lini nina kitambo sana sasa nashangaa unavyonifananisha
 
Jengeni tabia ya kusoma. Watanzania wengi hatuna muda wala tabia ya kusoma. Gazeti hili kama mengine mengi linauzika kwa TAABU sana. Watanzania WAVIVU wa kusoma.
 
Mimi nimewashauri waonane na wataalamu waijenge tovuti yao vizuri ikiwezekana wawe na upande wa kiingereza pia ili kuvuta watu zaidi watapata matangazo mengi na biashara zingine nyingi sana za kuweza kupata masoko kuliko liyosasa hivi hata mwanahalisi wangekuwa makini wangewekeza katika mtandao basi wasingekuwa na taabu hizi wanazozipata sasa hivi
 
Shy;

Ngoja nikupashe kidogo.

Wewe kufanya kazi eneo la Chuo kikuu Mlimani kama PC technician na kuzoeana na baadhi ya wanafunzi KUSIKUFANYE udharau chuo kikuu cha 13 kwa ubora Africa!.

Angalau ungekuwa na angalau Advanced diploma ungestahili angalau kudhiaki degree za hapo Mlimani. KULE KUTOKUWA NA ANGALAU DIPLOMA KUNAKUFANYA KUWA MIONGONI MWA WATANZANIA WENGI WAIO NA DEGREE.

Kijana binafsi sikuelewi kabisa, jiunge na kozi za jioni hapo chuoni angalau upate degree yoyote tu angalau. Kuna tofauti kubwa tu kati yako na hao wahitimu.
Kumbe ndio maana huwa hatuelewani na baadhi ya watu.
 
Mmesikia kuwa serikali imetoa notice kwa wizara kutopeleka matangazo yake kwa vyombo vya habari vya Mengi? Lengo ni kuua vyombo hivi na kumfanya Mengi aache kusimamia habari za ufisadi. Tanzania mtangazi mkuu ni Serikali - wanaJF tujue hilo.[/QUOTE]

Kwa hiyo Mengi na yeye anategemea kula pesa kutoka serikalini. Hivyo bila kupata tenda za serikali na yeye amekwisha?

Badala ya kusikia tungependa Mengi mwenyewe aandike kwenye magazeti yake alalamikie notice hiyo. Vinginevyo habari za kusikia sikia itakuwa njia ya mafisadi kutumia watu wengine kupambana na mafisadi wengine. Kwa hiyo kama Mengi huwa anapata tenda hizo za matangazo kwa usafi kabisa basi alalamike kwenye media yake. Hapo atakuwa kweli anapambana na ufisadi. Lakini kutumia wapambe haitasaidia. Maana tunajua huo mtindo serikali haijaanza leo, iliufanya kwenye magazeti ya Rai vile vile. Mengi mwenyewe miaka ya tisini alitumia mtindo huo huo kuwablock akina Rai wasitangazwe kwenye vyombo vyake kwa sababu walimsema kama yeye ni mmoja ambaye alikuwa hataki kulipa madeni NBC.
 
Hoja anayo licha ya lugha yake kwamba wasomaji wa Raia Mwema wanastahili kupata gazeti ambalo linalingana na bei wanayonunulia!! As for gazeti kutumiwa bila wao kujua , hilo linawezekana kwani huoni Ulimwengu alivyo'tone-down' makali yake kwa awamu ya nne sio kama alivyokuwa zamani; mwanaume aliyebakia katika rika yao ni Johnson Mbwambo basi!!.

Jenerali ameanza kuchoka kwani ampambana miaka mingi sana bila "efforts" zako kuwa "rewarded" na Watanzania walio wengi ambao ni mambumbumbu (lets call a spade a spade here and not a big spoon!)

Prof Lipumba aliwahi kusema kwamba, kama watu masikini kama Watanzania ambao wengi wao wanakula mlo mmoja kwa siku, kisha wakamchagua Rais toka CCM kwa 80%, basi hawasitahili kuhurumiwa....Na kweli Watanzania walio wengi wanaendelea kuteseka kwenye lindi la umasikini.

Swali hapa ni nani wa kuwarithi hao akina Jenerali Ulimwengu, Prof Issa Shivji, Mwesiga Baregu, Maina na wengine wanaofanana na wao? Mbona nahisi kama kuna "vacuum" kubwa sana kati ya wao na vijana walipo sasa?
 
may be the guy had a point.
isnt it tru that most of us save money from thursday of this week to the next wednesday just to get a copy of Raia mwema?
what do we expect from it? matangazo? yes, but not kwa kiwango cha three quarter ya gazeti zima.
so raia mwema must explain to us and moreover apologize if not reducing the price of the newspaper on events like this.
[/B][/B][/B][/B]
[/B][/B]
[/COLOR]
 
Labda jamaa anataka kupendekeza kwamba ukurasa wa kwanza wa magazeti uwe na table of contents, ili ukiona hakuna kinachokufaa unaliacha, badala ya sasa ambapo unagundua wakati tayari ulishanunua! Kwi kwi kwii!
 
Kwa maoni yaliyowasilishwa humu, inadhihirisha kwamba Raia Mwema ni gazeti la watu na kwamba hawataki likaelekea liliko Rai ya sasa. Kwa msingi huo, wahusika wakiongozwa na Jenerali Ulimwengu, wanapaswa kuwa makini zaidi maana tatizo la tangazo tu limeibua mjadala na hasira zaidi kwa wenye gazeti lao RAIA WEMA wa Tanzania, ambao naamini hawatakubali gazeti lao likachezewa.

Nakumbuka kuna watu waliwahi kusema hata wakikosa fedha wako tayari kuchangia uendeshaji wa gazeti hilo badala ya kutokea mtu kama Rostam akalinunua. Changamoto lingine ni kwa kina Jenerali kujiandaa kuliweka katika soko la Hisa gazeti la Raia Mwema ili limilikiwe na Watanzania wengi zaidi kwa dhati japo hilo nalo linapaswa kufanywa kwa umakini mkubwa lisitokee la NMB (mjadala mpya).

Lakini nina hoja moja ambayo naamini katika wanaolalamika waalimu si miongoni mwao maana kwao hata habari ya ukurasa wa mbele na makala za kina Lula hazina maana kwao zaidi ya hilo tangazo. Walimu watanunua gazeti kwa ajili ya kusoma tangazo hilo na hivyo nao wana haki ya kupata wanachopaswa kupata katika gazeti la Raia Mwema. Lakini pia hata wadau wengine hilo tangazo lina maana kubwa kama litasomwa kwa umakini ikiwa ni kwa kulifanyia kazi ili kuweza kutoa changamoto zaidi kwa wadau wa sekta ya elimu wakizingatia yalitokea kuhusiana na migomo ya walimu.
 
hata sielewi...
Gazeti ni biashara ya mtu na inategemea unataka kuwatangazia wananchi kitu gani.. Hupendi Matangazo usinunue, tafuta gazeti lenye kurasa nyingi za habari unazotaka wewe kusoma.Inawezekana kabisa Raia mwema wana wateja wengi wanaotaka kununua vitu, kutafuta kazi, kutafuta wachumba na kadhalika, hivyo soko lao la biashara limehama toka habari za Kudanganyana kwenda habari za maisha halisi..
It's all business!

Mkandara, you are right, lakini kumbuka tangazo hilo liliwekwa ndani. Hata mimi Raia Mwema waliniudhi sana maana 75% ilikuwa tangazo la Wizara ya Elimu na Majina ya Walimu wanaostahili kupata pesa.

Wangekuwa waungana kweli basi wangeongeza kurasa ili tuendelee kupata uhondo wa kupata uchambuzi wa wachambuzi. Kama ningejua Gazeti limejaa matangazo matupu nisingenunua!
 
Nimependa jibu lako hilo.

Nadhani ni kuwa na mtindo mzuri wa kupanga ni kuchagua. Wakati mwingine mnaweza kupewa matangazo mengi zaidi ili msifanye mlichotakiwa kufanya wiki hiyo. So, nadhani mhariri awe na uwezo wa kusema hapana pia.

absolutely

Sidhani kama order hiyo ya serikali inaweza kusimama mahakamani kwani tuna "non-discrimination clause" kwenye Katiba. Kama agizo hilo ni rasmi Mengi akienda mahakamani atashinda kirahisi tu. Serikali haiwezi kuwatendea wananchi wake kwa ubaguzi.
a. Makampuni ya Mengi yanalipa kodi kwa serikali? Kama analipa kwanini kodi yake iweze kwenda kwenye makampuni mengine kwa mkono wa serikali hiyo hiyo?

b. Serikali inachotumia kupelekea matangazo siyo fedha ya CCM. Sasa CCM wanaweza kukataa kupeleka matangazo yao kule lakini serikali haiwezi kutoa agizo la kibaguzi na inapofanya hivyo Mahakama inatakiwa iingilie kati na kusema "no you can't do that".

Vinginevyo watakuwa wameamua kumtengeneza shujaa!

Sawa, Mengi ameenda Mahakamani na tukubali kashinda kesi. Sasa akishinda ndo Mahakama itaiamuru Seriakli na Taasisi zake zipeleke Matangazo IPP? Kama ndiyo, kwa kigezo gani? Maana nijuavyo mimi Magazeti yako mengi sana na si yote yanapata matangazo ya Serikali sasa yote yakilazimisha yapate matangazo ya serikali itawezekana kweli? Naona hakutakuwa na uhalisi.
 
Back
Top Bottom