Msiri wako ni nani JF?

Asante kwa kunibeba angalau leo😅😅 ila mimi na Grahams ni wazee sasa!!

Sema kaka Mshana anastahili tuzo ya Nobel, sio kwa kuichangamsha jf, daily asee!!
Kwa kweli tumekula kula chumvi hasa 🤗

Ila niwajuavyo vijana humu, hawachelewi kusema ni ile chumvi nyingine 🤪
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤪🤪
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namalizia mwezi wangu ndani ya chitchat nisepe zangu kulekule..!

Kila mtu kila mahali ana MSIRI wake kwenye kila Jambo.

Je wewe MSIRI wako ni nani JF?

Una hakika hata akilewa hawezi kufunguka?
Hata huku nje sina msiri ndio itakuwa Jeiefu...siri zangu ni zangu nazijua mimi na Mungu tu
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hata huku nje sina msiri ndio itakuwa Jeiefu...siri zangu ni zangu nazijua mimi na Mungu tu
KIJIKO ULICHOTUMIA HOTELINI AU KWENYE MGAHAWA KILISHATUMIKA KWENYE MIDOMO YA WATU WENGI, HUENDA HATA KWENYE MDOMO WA ADUI YAKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…