Msiri wako ni nani JF?

akuuuu mimi nyuchi yao ya kazi gani mailord😆
Sindo pale! Namsikia mchungaji hapa anasema hakuna changudoa atakepita na bwana ako😆
acha tu nikutangaze unapenda dagaa wa kukaanga na tembele lenye limao ya kutosha😅😅 nakapilipili kichaa mwa mbaaaali
Mate yamentoka mie, mdada wangu kaniita acha nikajilambe!🤤
 
Mi kuna mmoja alinifunguliaga uzi kwa hasira zake baada ya kutojibu ujinga wake pm,alijua nitakuja na paniki kwenye ule uzi niliishia kuusoma na kupita kama sio mimi.
 
safiiii, ila ungeanza kujieleza uone watu wanavyo kukandia,, ila naamini wachochea ugomvi hawakukosa😆
🤣🤣Alafu nilivyo na bahati ule uzi kila mtu aliukataa wakawa upande wangu na ulifutwa chapu kama uwongozi niliwatuma kumbe wala🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…