Msinitag threads

Msinitag threads

Honestly utakuwa na matatizo ya kisaikolojia. kama kitu huelewi si unapotezea?Mtu anapoku tag maana yake ka value uwepo wako kama rafiki au mchango wako ni wa maana..lkn kila mtu nadhani ana ajenda zake hapa jf hivo kwa wale wanaokutag message sent and delivered

Umeongea pwenti.
 
Invisible .... Ban ni haki ya kila mwanaJF. Mpeni haki yake tafadhali!
Mwambie kama anataka kuchezea ban, amnyang'anye Maxence Melo ugali wake.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom